MAOMBI YA KUBOMOA MADHABAHU YA KALE
MAOMBI NA MAELEKEZO YA KUJIONDOA KWENYE MADHABAHU ZA KALE.AU WENYEJI.
Madhabahu za kale Ni tabia ulizokuwa nazo kabla hujafika Veta Dakawa Ukafundishwe Nini maana Ya Madhabahu Ni Mahusiano Yako Kati ya Mungu na mwanadamu au shetani
Neno la Kusimamia
Kutoka 34:13
[13]Bali utabomoa madhabahu zao, na kuvunja-vunja nguzo zao, na kuyakata-kata maashera yao.
MADHABAHU ZA KALE
1:Wizi wa Fungu la Kumi umejua umhimu wa zaka lakini hutoi kisa huna kazi au Mungu Hajibu kwa Wakati anachelewa.
¶Hiyo Ni Madhabahu inayoshikiria hatua zako
2.KUENDELEA KUZINI WAKATI UMETOKA HUKU UKAFUNDISHWA MADHARA YA KUZINI
¶Hiyo Ni Madhabahu Ambayo unaifanya ikushirikilie usivuke.
3.KUKATA TAMAA AU KUNUG,UNIKA ETI MUNGU HAJATENDA.
Sasa wewe unataka Madhabahu ngani itapeleka mbele za Mungu au Mungu ngani wa kukata Tamaa maana Yeye Amesema Usihofu wewe Unakuwa na hofu nae na pia hata Tabia zako zinamhubiri shetani Ni ngumu kumshawi Mungu ATENDE kwa mtu aliyekata Tamaa.
¶Hiyo Ni Madhabahu inayoshikiria hatua zako usipokee
4.Kutokuomba au Kufunga Maombi.
Wapo watu wanataka waombewe wao kuomba walishasema hawawezi kwanini wewe mhusika mwenye Tatizo usiombe mwenyewe Kama hujui tafuta mtu akuelekeze uombaje.
UKIWA UMETOKA HUKU UKAFUNDISHWA MAOMBI halafu uombi Hilo Ni Tatizo la kushikilia Madhabahu Yake.
TUNAJITOAJE SASA
Kwanza lazima Tuamue Kubadilika Kabisa
Kama Tulikuwa sio watoaji wa Zaka toa Zaka
Kama ulikuwa unazini acha kuzini unaendelea kujitesa mwenyewe.
Kama ulikuwa huombi Omba na Simama
BAADA YA HATUA YA KWANZA HATUA YA PILI
OMBA MAOMBI YA KUFUNGA SIKU.3
1;Ombea Tabia yako mpya kataa Tabia ya kale
2;Ombea kila kitu kiwe kipya kataa kuishi kale
3;Ombea Madhabahu yako uliyonayo unapotolea Zaka.
OMBA HIVI.
Kila Madhabahu iliyojenga mateso ndani Yangu MAUMIVU kutokuoa au Kuolewa Kutokuomba Kutokuwa mwaminifu naibomoa katika jina la Yesu Naibomoa katika jina la Yesu(Endelea kuomba)
ANGALIZO.
Maombi Yote ya Kufunga huendana na Sadaka usije ukafunga Maombi Yako halafu usitoe Sadaka Kila unapoomba Maombi ya Kufunga andaa Sadaka unapokuja kufungulia Sadaka Yako itume katika M-PESA +255759861768 Kama Upo nje Tumia Jina RICHARD JULIUS KUSHOKA Kama Ni Bank CRDB No.0152361572400
Naitwa Pastor Richard
Nipo Morogoro veta Dakawa
Toleo Jipya 2022
Maoni
Chapisha Maoni