SOMO; MAJUKUMU YA MWANAMUME. KWA MKEO

SOMO; MAJUKUMU YA MWANAUME KWA MKEWE KIBIBLIA

Karibuni Sana Wapenzi Wasomaji na Wafatiliaji wa Masomo Mbalimbali Ambayo Yamekuwa UPONYAJI Tosha Kwenye Ndoa Zetu Na Leo Nataka nizungumzie MAJUKUMU ya mwanaume ndani ya ndoa maana Wengi Wamekuwa Wakitamani Wajue

Karibu Naekuletea Elimu hii Naitwa Pastor Richard Mwalimu wa Wanandoa Nipo Morogoro veta Dakawa Simu+255759861768

1:MWANAUME NI KICHWA CHA MKEWE.(1Wakoritho:11:3)

"Na Kichwa Cha Mwanamke Ni mumewe."Biblia jnamtambua mwanaume aliyeoa Ni Kiongozi wa Familia Ni Kiongozi wa MKEWE Yeye ndiye Anapaswa Asimame Kumuogoza mkewe katika njia za Kumjua Mungu" Mwanaume hapaswi Ajirudishe nyuma au Kumtengemea mkewe Ndio Amuogoze Amlishe Amvishe.

2: MWANAUME MPENDE MKEO  KAMA MWILI WAKO
Waefeso;5:25"Enyi Wanaume Wapendeni Wake Zenu"
Jukumu la Kupenda Ni la Mwanaume Sio Mwanamke Jukumu la mwanamke nikumtii mumewe katika Mambo Yote yahusuyo Bwana.

3:KUMCHUKULIA MADHAIFU YAKE
(1wathesalonike 3;1
"Basi tulipokuwa hatuwezi Kuvumiliana Tulikubali Kuachwa"
Kama Mwanaume Unapaswa Uvumilie madhaifu ya mkeo na Uwe Tayari Kumsaidia kumuelimisha nakumfundisha mkeo

4;KUZALISHA Na KUTUNGISHA MIMBA
(Mwanzo;4;1 "Adamu Akamjua  Hawa Mkewe.Naye Akapata mimba Akamzaa Kaini"
Ni Jukumu la Mwanaume Kuzalisha na kuleta Matunda kutii angizo la Bwana nendeni mkazaane
Mwanaume Unapaswa Uelewe Jukumu lako Kama  Mume Kupanda mbegu itakayoleta Matunda

5;KUMPA TENDO LA NDOA MKEO
(1Wakoritho:7:5)
"Msinyimane msipokuwa mmekubaliana kwa Muda"
Mwanaume Usimunyime mkeo Tendo la ndoa Ni Jukumu lako Kumtimizia mkeo Tendo la ndoa

6:ISHI NAE KWA AKILI ILI KUEPUKA KUKWAZANA
("1Petro:3;7"Kadhalika Ni Wanaume  Kaeni na Wake Zenu Kwa Akili

Mwanaume Unapaswa Ujue Kuishi na Mkeo Kwa Kuagalia Udhaifu wake unaomfanya akasirike Ni Nini Usipende Kumuuzi mkeo Sababu umeambiwa uwe na Akili na Uishi naye kwa Akili ukiliganisha MWEZAKO mwepesi wa kuumia.

7:USITOKE NJE YA NDOA YAKO
(KUTOKA;20;14
Ni Jukumu lenu msizini au Kutoka nje ya Patano lenu la ndoa mwanaume hupaswi ukafanye Tendo la Ndoa

8; Msamehe Mkeo:
Mathayo:6;14
Mkisamehe watu makosa yao na Mungu Anakusamehe

Mwanaume Ni Jukumu lako Kusamehe mkeo alipokosa usiweke chuki au kunyamaziana kwenye ndoa hutakiwi

9;MLINDE MKEO NA KUSIMAMA KUMUUGA MKONO.
1Petro:2:25
MLINDE mkeo nakushikamana nae wewe Ndiyo Unapaswa  ukemee tabia Zote hatarishi Simamia Vizuri Mahusiano Yenu Yasiingiliwe na uharibifu
Uwe Kama mchungaji mwema anaetazama kondoo wake

10:MPENDE MUNGU NA UMTANGULIZE
Kwenye ndoa yako ijenge katika misingi ya Mungu Asimamie nakuendesha ndoa Yako

Ansateni mbarikiwe Kwa Kufunguliwa

Share SoMo hili

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.