SOMO: SAUTI
SOMO: SAUTI UNAYOISIKIA NI YA NANI NDANI YAKO
_____________________________________________________
_____________________________________________________
Tufunue Vitabu: Hesabu:7:89 Kumb.Torati:1:45👉5:22-30
1wafalme:19:12-14👉Kutoka:4;1-8👉Isaya:40:1-10
Huwa Kuna Sauti Nyigi Ambazo Unaweza Kusikia Ndani Yako na Katika Mazingira lakini inatengemea wewe Sauti Ipi Unaifata Kati Ya Hizo Maana Zingine Zitakukumbusha maovu yako Zigine Hazitakuwa na maana utasikia Sauti Zigine Zitakuogoza Usipotee Zigine Hazitakuwa na Maelekezo Zigine zitakupotosha Zigine Zitakuamuru Usiende Kanisani.
Kuna Sauti Moja TU Yenye FAIDA Kwako nayo Ni Sauti Ya MUNGU.
Ili Uweze Kuelewa Sauti Ya MUNGU Unapaswa utulie Sababu Sauti ya Mungu huhitaji Utulivu Unapoisikia Sauti Inayokuamrisha Utende kitu Chochote Kwa Amri ndani Yako Ujue Ni Shetani na Puuza Sauti inayotaka ikuendeshe.
SAUTI HUWA NDIYO INAMUOGOZA MTU KUTENDA CHOCHOTE ATAKACHO
SAUTI YOYOTE ITAKAYO KUWA INAKUAMRISHA UFANYE VITU NJE YA MUNGU
Mfano: Jumapili inafika inakuamru Usiende ibadani au tukana au Cheka au ondoka au inakosoa kosoa Neno la Mungu
UNACHOTAKIWA UFANYE NINI
1;Kuwa makini Kusikia Sauti
2:Kuwa makini kupambanua Sauti inayokuogoza vibaya ujue Siyo ya Mungu
3:Kuwa Mkali Kwa Kuikemea Sauti hiyo inayokutenga na Mungu
4;Fata Sauti Inayokuogoza Kwa Utulivu Taratibu
5:Chukua hatua Kuigia Maombi uonapo uharibifu huo.
HITIMISHO
Kuwa makini kuzipambanua Sauti unazozisikia Ili Zisikutenge na Mungu
WIto
Tumia Namba hizi kwa msaada wa Kiroho: +255759861768
Muda SAA 12 00 Jioni ongea na Pastor Richard mwenyewe
Maoni
Chapisha Maoni