SOMO; ACHA KISINGIZIO KWA BWANA

SOMO; ACHA KISIGIZIO KWA MUNGU

Tufunue Kitabu Cha KUTOKA;4;10-31

USHUHUDA
Mtu mmoja Alifika Kanisani nikapewa ujumbe kuwa Yeye Ni Mtumishi wa Mungu Mkubwa nikamuelekeza Cha Ajabu yule mtu alisema Mimi mbona natumika Kanisani Kama Shemasi wa Kanisa nikamwambia wewe unatakiwa utumike Kama mchungaji Okoka usali makanisa ya Kiroho yatakufungua Sasa hivi Ni mchungaji Mkubwa Lakini mpaka akatumike kwake alikuwa na Visingizio Vingi Mimi Sina hela Ya Kujenga Kanisa Sasa Ni Mtumishi mwenye Kanisa Kubwa.

Inawezekana Kabisa nawe ulishaambiwa UMTUMIKIE MUNGU MPAKA LEO HUJAFUGUKA KWENDA KUTUMIKA KAMTUMIKIE MUNGU.

KISIGIZIO KWA MUNGU NINI👉NI Kuleta Ugumu Mbele Za Mungu au Kuwa na Sababu.

KUNA MAKUNDI MAWILI YA KISIGIZIO
1; KISIGIZIO KWA MUNGU KINACHOTOKANA NA MAZINGIRA
2: KISIGIZIO KWA MUNGU KINACHOTOKANA NA AFYA

KISIGIZIO KWA MUNGU KINACHOTOKANA NA MAZINGIRA.
_______________________*_________________*_________________
Hii Huwa inalenga mtu anaanza Kuleta Ugumu wa Kwenda Kumtumikia Mungu Kutokana Na Ugumu wa Mazingira Sehemu anapoenda Hana Uzoefu Uchumi Hakuna Pia SI rafiki kwake.

Utaona Mtu anaanza Kukuambia Wito umeisha Vijijini nahamia Mjini au Wito huu Sio Mungu MUNGU Hawezi Kukuita Pangumu hivi.

KISIGIZIO KWA MUNGU KINACHOTOKANA NA AFYA
👉👉👉👉👉👉👉👉👉👉👆👆👆👉👆👆👆👆👉👉
Hii Huwa Mtu Anakuwa na Visingizio vya kuumwaumwa ukimwambia Kanisani uje ufangie haji anakuambia niliumwa.

SASA HASARA ZA KUWA KILA UNACHOAMBIWA NA MUNGU UNALETA VISABABU.
1:Utamfanya Mungu akuazibu Kwa Fimbo
2;Utamfanya Mungu Akuache Kukutumia
3; Utamfanya Mungu Aondoe Kibali Kwako
4; Utamfanya Mungu amuruhusu Shetani akutese
5:Mtatengana na Mungu

FAIDA NI KINYUME CHA POINT HIZI JUU

HITIMISHO
Usiwe Mtu wa Kuleta Ugumu KUTUMIKA Kwa MUNGU MTUMIKIE TENA JITOE KULINGANA Na NAFASI MUNGU ALIYOKUWEKA UTUMIKE

WITO
MUNGU Ndiye Mkuu Kuliko Vyote Unavyovitumikia Kwa hiyo Mpende Mungu Wako na umheshimu.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.