SOMO: MOYO WA IBADA
SOMO; MOYO WA IBADA
Tufungue Biblia
ISAYA:1:13👉🏿AYUBU:15;4👉🏿Sefania;3;18
Matendo;13:2👉🏿Warumi:12:2👉🏿Waebrania;12:28
Mwalimu Pastor Richard
NIPO Morogoro veta Dakawa
WhatsApp+255759861768
🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦
Ushuhuda wa mtoto Aliyekuwa Amechukuliwa Msukule.
Mtoto mmoja Aliyeitwa Saidi aliletwa Jumanne Usiku Akiwa hajiwezi na wazazi wake hapa Kanisa katika Ibada ya Maombi ya mkesha wakanikuta wazazi wakilia kwa kumpoteza mtoto wao nikawaambia muwekeni hapo chini Baada ya Kumuweka chini Niliaza kusifu nakumchezea Bwana mpaka mtoto Akafunguliwa Wazazi na waliongozana nao Waliokuwa waislamu Baada ya kuona hayo kwa macho Yao walisema Huyu Yesu wako Tunataka nasisi Nikawaongoza ukiri wakaokoka Watu Sita Huu Ni Ushuhuda wa Mtu mwenye Moyo wa ibada.
Moyo wa ibada👉🏿Ni moyo uliojitoa katika masuala ya ibada
MAANA YA MOYO WA IBADA 👉🏿Unyenyekevu wenye nguvu ndani Yake.
KUNA TABIA TATU ZA MOYO WA IBADA NDANI YA MTU
1:Tabia Ya Moyo Uliojitoa kwa ibada
2:Tabia ya Moyo Uliojeruhiwa kwa Ibada
3:Tabia ya Moyo Uliofikia Mwisho kwa ibada.
TABIA YA MOYO ULIOJITOA KWA IBADA
Hawa Ni Watu waliosimama na kujitoa kwa kumanisha masuala ya ibada
Sifa Zao
1:Watu Wenye nguvu ya ibada
2:Watu Wasiokata Tamaa
3:Watu walioamua Kutembea na Mungu
4;Watu wasioenda kanisani kwa Sababu ya Mtu
5;Watu Wenye Imani na Yesu sio Dini au dhehebu.
TABIA YA MOYO ULIOJERUHIWA KWA IBADA
Hawa Ni Watu Walioacha ibada kwa Kukata Tamaa na Mambo ya ibada wanaamua kukaa nyumbani bila Kwenda Kanisani
SIFA ZAO
1:Watu waliorudi nyuma Kiroho
2:Watu wasioenda Kanisani lakini wanamjua Mungu
3:Watu Waliochukia ibada
4:Watu waliokosa imani na Wachungaji wao
5:Watu Wasiofanya maamuzi ya kurudi kanisani.
TABIA YA MOYO ULIOFIKIA MWISHO.
Hawa Ni Watu wasiomjua Kabisa Mungu hata ibada
SIFA ZAO
1:Watu Wasio Kwenda Kanisani
2;Watu Wasiotenda maovu au Wanatenda maovu lakini wanakuwa hawafanyi ibada
3;Watu Waliojikatia Tamaa nakusali
4;Watu Wasiohubiriwa Wabishi
MOYO WA IBADA FAIDA ZAKE
1:Utakufanya uwe na mahusiano mazuri Kati yako na Mungu
2:Utakufanya uutawale ulimwengu wa roho na shida zake
3;Utakufanya ukubalike na uaminike na watu
4;Utapokea uzima wa milele ukifa
5:Utakukuza imani yako
KINYUME Cha haya Ni HASARA zakukosa moyo wa ibada
HITIMISHO
Tunapaswa tuwe na ibada na Mungu yenyekujitoa
WITO
Wewe Upo Tabia ipi Mpigie Jioni Saa 12 00 Pastor Richard+255759861768
________________________________________________________________
SEHEMU YA PILI;MAANDALIZI YA IBADA
__________________________________________________________________
Vitabu rejea ;Waebrania;9:1-21.1Petro:4:3 Matendo;17;23
MAANDALIZI Ya IBADA Huandaliwa ndani ya Moyo kabla ya ibada kuaza
MAANA YA MAANDALIZI; Kujiweka Tayari nakujisafisha.
Kuna Makundi Matatu Ya MAANDALIZI
1:MUDA WA MAADALIZI YA IBADA
2:USIMAMIZI WA MAADALIZI YA IBADA
3: UTEKELEZAJI WA MAADALIZI WA IBADA
1:MUDA WA MAADALIZI YA IBADA
Huu huwa Ni mhimu kwa mkristo na Hujenga ushirika mzuri Kati Yake na Mungu
MUDA WA IBADA HULEGA UFANYE HAYA
1:Pangilia Nguo zako utakazovaa
2:Andaa Pen Notbook Biblia
3:Wahi muda wa Ibada kanisani
4:Safisha Moyo wako uwe Tayari Kupokea Mafundisho ya Neno.
2:USIMAMIZI WA MAADALIZI YA IBADA
Hii humfanya mkristo Asimamie Vyema Moyo umuogoze kuwahi nakumkubusha Taratibu na MAADALIZI ya ibads
USIMAMIZI WAKO SIMAMIA HAYA.WAKATI WA IBADA.
1:Muda wako wa ibada na Wahi.
2:Sadaka Zako Adaa na Ziombee
3:Masikio yako na Utulivu usimamie uwapo kanisani Tulia.
4;Fatilia kwa umakini unachofundishwa na Kifanyie kazi
5;Moyo wa ibada wenye nguvu usimamie.
3; UTEKELEZAJI WA MAADALIZI YA IBADA
Hii Huwa inaitaji nguvu ya kutekeleza ulichokiadaa ndani ya Moyo wako kinachohusu ibada.
UTEKELEZAJI WA IBADA HUHITAJI
1:Muda wako UFANYE Kama ulivyokusujudia
2;Pangilia MAADALIZI Utaratibu wa Ibada ndani yako
3;Simamia Utekelezaji uwe na Nguvu.
FAIDA ZA MAADALIZI YA IBADA
1;Unamfanya Mungu Akuhudumie
2;Unamfanya Mungu atembee na muda wako kukujibu
3;Mungu huongozwa na Muda na Utaratibu uliomzuri.
4;Utamfurahisha Mungu
5;Utakuwa mtu Mwenye nguvu ya Kimungu.
6;Utakuwa mtu Mwenye Imani Kubwa.
HASARA ZA KUKOSA MOYO WA IBADA YA MAADALIZI NIKINYUME CHA FAIDA HIZI JUU.
Naitwa Pastor Richard
Usikose sehemu ya Tatu moyo wa ibada
SEHEMU YA TATU;👉:-| MOYO WA IBADA
_________________________________________
MOYO WA IBADA WA TARATIBU
____________________________
MOYO WA IBADA WA UTARATIBU👉: Ni moyo unaoweza Kupangilia
Ibada na Kujitawala wenyewe.
MOYO WA IBADA WA UTARATIBU
__________________________________
HUGAWANYIKA SEHEMU KUU MBILI
1; MOYO WENYE UTARATIBU MBAYA WA IBADA
2; MOYO WENYE UTARATIBU MZURI WA IBADA
1;MOYO WENYE UTARATIBU MZURI WA IBADA
Huu huwa Ni moyo uliobeba Utaratibu Wa Ibada mzuri
Unaelewa Nini nijiadae Nini nisijisafishe nacho
Ibada huwa unatakiwa uiwekee Utaratibu uliomzuri Ndani Yako.
2:MOYO WENYE UTARATIBU MBAYA WA IBADA
Huu Ni moyo ulionautaratibu mbaya wa ibada ndani Yake
Ibada Yenye Utaratibu mbaya wa Ibada
Maoni
Chapisha Maoni