VIASHIRIA VYA MAJINI MWILINI

VIASHIRIA NA DALILI ZA MTU MWENYE MAJINI NDANI YA MWILI WAKE HIZI ZISOME

Unapoziona Dalili Hizi ujue Jeshi unalopaswa ulipige Jeshi la Majini

Mstari wa Maombi👉🏿2 Wakorintho 10:2-6

[5]tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo;


(1)            kizunguzungu.


(2)            vitu kutembea tumboni.


(3)            vicheza mwilini.


(4)            kichwa kuuma mara kwa mara.


(5)            kuhisi mtu anatembea nyuma yako.


(6)            kupiga miayo sana.


(7)            macho kukosa aibu.


(8)            hasira za mara kwa mara.


(9)            kupoteza kumbukumbu.


(10)      ugomvi wa mara kwa mara hasa kwa wana ndoa.


(11)      maradhi ya kujibadilisha badilisha.


(12)      kuhisi baridi mara kwa mara.


(13)      kutojisikia kuongea hasa wakati unaposemeshwa na mtu unaona kama anakusumbua.


(14)      masikio kupiga kelele.


(15)       kuhisi vitu vinaongea masikioni.


(16)      kupoteza hela mara kwa mara kwa njia ya kutatanisha.


(17)      kuharibikiwa na vitu hasa vya moto.


(18)      matatizo ya hedhi kufungika au kutoka kwa wingi au kukosa kabisa.


(19)      kufungika kwa kizazi.


(20)       kustuka stuka wakati wa usiku au kustuliwa.


(21)      moyo kuongopa sawa na mtu mwenye presha.


(22)      kupungukiwa damu na kukonda au kuishiwa maji mwilini mala kwa mala.


(23)      kupungukiwa nguvu za kiume au za kike.


(24)      kusikia uchungu wakati wa tendo la ndoa au unapomaliza hata unapo anza hasa kwa kina mama tatizohili lipo sana.


(25)       kuhisi kichefuchefu unapomaliza tendo la ndoa.


(26)      kuhisi manukato au harufu mbaya.


(27)      kukosa hamu ya kula au kubagua chakula.


(28)      mimba kupotelea tumboni.


(29)       kuhisi watu wanakusemesha na hauwaoni.


(30)      kifafa, kuna vifafa vya kawaida na vifafa vya kulogwa pia kuna vifafa visababishwavyo na jinni maiti.


(31)      kichaa, mara nyingi vichaa hutumiwa majini waitwao asahha.


(32)      pia majini humsababisha mwanamke kuwa mkali wakati anapoombwa tendo la ndoa.


 


(1)            DALILI KATIKA NDOTO.


1.    ndoto za kufukuzwa na wanyama wakali.


2.    ndoto za kuota unajifungua (kuzaa).


3.     kuota unapigwa.


4.    ndoto za kuogelea.


5.     ndoto za kupaa.


6.    ndoto za kuota umepandishiwa jini.


7.     ndoto za kuota umeoa au umeolewa.


8.    kuota umevalishwa pete au mkufu.


9.    kuota unapigana.


10.                       kuota unapiga kelele.


11.                       kuota moto mkubwa.


12.                        kuota unazika.


13.                       kuota umekufa.


14.                       kuota unafukua kabuli.


15.                       kuota sherehe mara kwa mara.


16.                       kuota unaongea na watu waliokufa.


17.                       kuota unaona visuguu.


18.                       kuota unaona mafuvu ya watu.


19.                       kuota unapiga ramli.


20.                       kuota unavaa bangili au shanga, mizimu au majini.


21.                       kuota watu wanachunga ng,ombe.


22.                       kuota watu wamevaa nguo nyeupe wame kusimamia.


23.                       kuota unakabidhiwa mkuki,fimbo,mundu,mbuzi,kondoo,ng,ombe


24.                       na kitambaa cheupe, chekundu au cheusi ni dalili ya mizimu au majini.


25.                       kuota vijumba vya mizimu.


26.                       kuota vibuyu ni dalili ya mizimu..


27.                       kuota unakunywa au unanyweshwa damu.


28.                       kuota watu wamevaa kanzu.


DALILI ZA KULONGWA NA MAJINI UCHAWI WA MAJINI

  • Jini kupanda na likaanza kuongea lenyewe
  • Kuota ndoto za kufanya mapenzi na watu au wanyama
  • Kuchanjwa au kuwa na mikaruzo mikubwa ukiamka asubuhi
  • Kuota unalishwa nyama au vyakula na watu
  • Kuota uko makaburini au unaongea na watu waliokufa siku nyingi mara kwa mara
  • Kuingia hedhi muda mwingi au kukosa hedhi kipindi na hospitali hawapati chanzo
  • Kuhisi umekata tamaa ya maisha
  • Kuchukiwa na watu wengi hata mume au mke wako
  • Kuwa mwoga na kuhisi moyo unadunda bila sababu
  • Kuhisi tumbo lina vitu vinatembea na kujiviringisha na minyoo huna wala mimba huna
  • Kuona mke au mme humpendi hata kuongea naye au kukaa naye au kutembea naye
  • Kuona mwenzio mke au mme anayo sura mbaya kama mbwa au nguruwe wakati wengine wanaona mzuri sana
  • Kupata misuko suko isiyoeleweka na kazi kuvurugika na biashara kuharibika bila chanzo cha wazi
  • Kuweka pesa ndani na kukuta imepungua mara kwa mara na hakuna mwizi na ilikuwa kabatini au sehemu umefunga na fungua lakini inapungua kiasi
  • Kuhisi moto baadhi ya viungo kama miguu na sehemu za mwili
  • Kufa ganzi baadhi ya sehemu za mwili
  • Kuhisi vitu vinatembea mwilini
  • Kuhisi unapapaswa mwilini utadhani sisimizi au umeguswa na ukicheki huoni kitu
  • Kuota sehemu chafu kama vyoo na mitaro
  • Kuota nyoka na mapaka yanakutisha
  • Kuota uko msituni mara kwa mara
  • Kufikiri kujiua na kukata tamaa ya maisha na shida zako za kawaida tu
  • Kuongea peke yako usingizini
  • Kutingishika wakati wakukaribia kusinzi na ukastuka
  • Kukosa nguvu za kiume ukiwa na mke au mme wako lakini ukiwa pekee au mahala pengine unatamani sana na mkiwa wote hakuna kitu mpaka unapata aibu
  • Kusahau sana mambo muhimu na ya maana kimaisha na kukumbuka mambo yasiyo ya maana na wala faida kwako hayo hayatoki kichwani
  • Kuota unazaa watoto au umebeba watoto
  • Kupata mipango ya kazi au pesa au biashara kisha yule anayekuahidi anajikata ghafla na wewe unashangaa. Hii inatokana na majini kumfuata kifikira na kumfanya asipende au anakuota unamtisha kisha anakuogopa na kujikata.
  • Kuuma meno na kupiga kelele ukiwa kwenye usingizi mizito
  • Kukuta asubuhi umegeuzwa kitandani mara kwa mara sehemu ya miguu iko sehemu ya kchw
Unapoona Dalili Hizi Unatakiwa wahi kwenye huduma za Kiroho kwa Wachungaji wakuombee Au Mpigie Simu Pastor Richard kwa Namba Hizi Jioni saa 12:00 mpaka Saa 8;00 Usiku

Naitwa Pastor Richard
Nipo Morogoro Veta Dakawa
@2021

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.