VIASHIRIA VYA MAJINI MWILINI

VIASHIRIA NA DALILI ZA MTU MWENYE MAJINI NDANI YA MWILI WAKE HIZI ZISOME

Unapoziona Dalili Hizi ujue Jeshi unalopaswa ulipige Jeshi la Majini

Mstari wa Maombi


(1)            kizunguzungu.


(2)            vitu kutembea tumboni.


(3)            vicheza mwilini.


(4)            kichwa kuuma mara kwa mara.


(5)            kuhisi mtu anatembea nyuma yako.


(6)            kupiga miayo sana.


(7)            macho kukosa aibu.


(8)            hasira za mara kwa mara.


(9)            kupoteza kumbukumbu.


(10)      ugomvi wa mara kwa mara hasa kwa wana ndoa.


(11)      maradhi ya kujibadilisha badilisha.


(12)      kuhisi baridi mara kwa mara.


(13)      kutojisikia kuongea hasa wakati unaposemeshwa na mtu unaona kama anakusumbua.


(14)      masikio kupiga kelele.


(15)       kuhisi vitu vinaongea masikioni.


(16)      kupoteza hela mara kwa mara kwa njia ya kutatanisha.


(17)      kuharibikiwa na vitu hasa vya moto.


(18)      matatizo ya hedhi kufungika au kutoka kwa wingi au kukosa kabisa.


(19)      kufungika kwa kizazi.


(20)       kustuka stuka wakati wa usiku au kustuliwa.


(21)      moyo kuongopa sawa na mtu mwenye presha.


(22)      kupungukiwa damu na kukonda au kuishiwa maji mwilini mala kwa mala.


(23)      kupungukiwa nguvu za kiume au za kike.


(24)      kusikia uchungu wakati wa tendo la ndoa au unapomaliza hata unapo anza hasa kwa kina mama tatizohili lipo sana.


(25)       kuhisi kichefuchefu unapomaliza tendo la ndoa.


(26)      kuhisi manukato au harufu mbaya.


(27)      kukosa hamu ya kula au kubagua chakula.


(28)      mimba kupotelea tumboni.


(29)       kuhisi watu wanakusemesha na hauwaoni.


(30)      kifafa, kuna vifafa vya kawaida na vifafa vya kulogwa pia kuna vifafa visababishwavyo na jinni maiti.


(31)      kichaa, mara nyingi vichaa hutumiwa majini waitwao asahha.


(32)      pia majini humsababisha mwanamke kuwa mkali wakati anapoombwa tendo la ndoa.


 


(1)            DALILI KATIKA NDOTO.


1.    ndoto za kufukuzwa na wanyama wakali.


2.    ndoto za kuota unajifungua (kuzaa).


3.     kuota unapigwa.


4.    ndoto za kuogelea.


5.     ndoto za kupaa.


6.    ndoto za kuota umepandishiwa jini.


7.     ndoto za kuota umeoa au umeolewa.


8.    kuota umevalishwa pete au mkufu.


9.    kuota unapigana.


10.                       kuota unapiga kelele.


11.                       kuota moto mkubwa.


12.                        kuota unazika.


13.                       kuota umekufa.


14.                       kuota unafukua kabuli.


15.                       kuota sherehe mara kwa mara.


16.                       kuota unaongea na watu waliokufa.


17.                       kuota unaona visuguu.


18.                       kuota unaona mafuvu ya watu.


19.                       kuota unapiga ramli.


20.                       kuota unavaa bangili au shanga, mizimu au majini.


21.                       kuota watu wanachunga ng,ombe.


22.                       kuota watu wamevaa nguo nyeupe wame kusimamia.


23.                       kuota unakabidhiwa mkuki,fimbo,mundu,mbuzi,kondoo,ng,ombe


24.                       na kitambaa cheupe, chekundu au cheusi ni dalili ya mizimu au majini.


25.                       kuota vijumba vya mizimu.


26.                       kuota vibuyu ni dalili ya mizimu..


27.                       kuota unakunywa au unanyweshwa damu.


28.                       kuota watu wamevaa kanzu.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.