SOMO; UTAFIKA KANISANI

SOMO; UTAFIKA HAPA KANISANI
Ayubu 38:11
[11]Nikasema, Utafika mpaka hapa,

Mbarikiwe Watu mnazidi Kuchukua Hatua Ya Kuamua Kufika Kanisani Kama Angizo la MUNGU Kuweza Kuwasaidia nakutatua mateso Yenu Kupitia Masomo Yaani Neno la MUNGU na Hakika watu Wanafunguliwa na Wanamuona MUNGU Mtu anayefika nitofauti Sana na mtu anayeishiakusoma TU mtandaoni na unamuombea kwenye Simu. Sasa Chukua hatua Ya Kutafuta Suluhisho ya Tatizo lako na Kutafuta uso wa MUNGU Kwa Kufika Madhabahu ukiwa na Biblia Yako Notbook Yako Pen na Ukija Utaratibu utakaa SIKU Tatu Kula Utajigharamia Pakulala papo LAKINI Mkija MKE na mme mtalazimika muwe na hela ya kulala nyumba za wageni.
Wewe Ukiishia Kukaa TU Unatengemea MUNGU atakuhudumia umekaa hapo utaendelea kusubiri Mkono wa Bwana utende kumbe unaitajika TU ufundishwe Neno la MUNGU SI Kila Tatizo unaitajika uombewe kwenye Simu au ukiwa nje na Kanisani.

KWANINI MUNGU ALIANGIZA MNAFIKA KANISANI 🌳
Mara ya KWANZA nilikuwa nikiombea kwenye Simu TU watu Wanafunguliwa laki MUNGU Akaja Akasema watu wangu wanateseka Sana Nataka wanakufikia wakifika hapa Mimi nitasema nawewe nakukuelekeza Tatizo lao na Waenende Njia ipi ili waupendezeshe moyo wangu nakujibu kwako nikamhoji MUNGU watu Hawa walivyo na moyo mgumu wabishi Elimu yao ya ujuaji imewakaa watanielewa MUNGU Akasema waangize wanafika watafika niliitii Sauti nikiwa Kama Siamini Kama watatii Ni Kweli Mamia ya watu Sasa wanafika Morogoro Veta Dakawa Na huu Utaratibu wa kukaa siku tatu na mje na Biblia Yeye aliniangiza Naona Neno limesimama. Nataka niwaambie mliokuwa mnafikiri Kuna gumu kwenye Neno Nataka ujue Hakuna Ngumu.

MATOKEO YALIYOPATIKANA TOKA MUAZE KUFIKA
1:Mmefanya Kanisa lienee na Kuutangaza Utukufu wa MUNGU Matendo Yake.
2:Maisha ya wengi wamepatana na MUNGU na Wamebadilika

3:Mamililni ya watu wanaokoka kila siku Kupitia Shuhuda Zenu na Matendo ya MUNGU

4:Mmesimama na Kuwa barua Nzuri inayoeleza MUNGU anatafutwa kwa bidii

5:Mmejenga Imani za Wengi Kupitia Shuhuda mbalimbali

6:Mmewapa SHAUKU ya wale ambao hawakujua uweza wa MUNGU.

WITO WA NENO FIKA KANISANI
Linasimama Ayubu;38:11
Utafika hapa na hutapita nakuendelea na Maisha yaleyale kwakuwa ukifika utafundishwa Neno la MUNGU litakalokufungua.

JE,WEWE BADO UMEKAA INUKA UFIKE KANISANI
Naitwa Pastor Richard Jina Ambalo nilipewa na MUNGU 2008 Kwamba utaitwa Pastor Richard Leo hii liwaka Moto Nakuenea Kote kuonesha linakibali Kwa MUNGU.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.