SOMO: UKOMBOZI WA DAMU

SOMO: UKOMBOZI WA DAMU
Vitabu Rejea👉🏿⚠️ Mathayo:27:2-26👉🏿Yohana:19:34👉🏿
Waefeso:1:7👉🏿Waebrania:10:19-29👉🏿UFUNUO;12;11

Nikiwa Katika Uwepo na Tafakari Juu Ya Watu Wanaofika Kwa Ajili ya Ukombozi Hapa Kanisani wakitoka mikoa mbalimbali Nasikia Sauti Ikisema Ukombozi wa Damu Ukombozi wa Damu Wakomboe Damu Zao.Nikazidi Kuhoji Sauti ili inipe Vitabu ikanipa Vitabu nikasikia Adaa Somo na wengi watafunguliwa Kama Somo la Vifungo ambalo nilikupa na linaponya wengi Sasa Ukombozi wa Damu itawaponya wengi Karibu wewe msomaji wa Nakala za Mpakwa mafuta na mbeba maono ya Bwana Pastor Richard Ambaye Ni Askofu wa makanisa ya Holy Spirit Tanzania WhatsApp number+255759861768
Tusome
Mithali 12:6
[6]Maneno ya waovu huotea damu;
Bali kinywa cha wanyofu kitawaokoa.
👉🏿👉🏿Kila mtu muovu hufatiliwa na Dhambi ya Damu Pasipo Yeye Kuelewa na humfanya hata Adui atekeleze Tatizo Kupitia Damu ya mwili nakuwa na Dhambi Ambayo KUIACHA kwake au Tatizo lake Kupona mpaka damu ikombolewe.
Waefeso 1:7
[7]Katika yeye huyo, kwa damu yake, tunao ukombozi wetu, masamaha ya dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake.
👉🏿👉🏿 Ukombozi Wa Damu Yetu Ni Yesu Bila Kufundishwa Somo Hili Usishagae Tatizo likawa sungu lisitoke kumbe Kuna Siri IPO kati ya Damu yako na Tatizo lile.

MAANA YA UKOMBOZI WA DAMU 👉🏿👉🏿Maana Yake Ni kutengwa kabisa na uovu wa ASILI au Tatizo la Asili unalotamani uliache au upone.

Damu yako hupaswa Iwe na Mahusiano Kati ya Ukombozi na Damu sio Iwe na Mahusiano Mateso na Damu Itakusumbua Sana
Haya Masomo ili unielewe Yaitaji Sana Umwambie MUNGU Akupe Ufahamu.
Mifano ya Kibi
Mfano Damu ya Yesu ilikuwa na mahusiano makubwa Damu na Ukombozi aliofanya ndio maana iliweza kutenga kazi.
Waebrani:12:24

Damu Ya Kaini Aliyomwanga kwa kumuua Mdogo wake ilikuwa na mahusiano makubwa na Laana na Damu

Mwanamke aliyetokwa Damu ilikuwa inamahusiano Mkubwa Magonjwa na Damu
No

KWANINI TUJIFUNZE UKOMBOZI WA DAMU
Ni kwa Sababu matatizo mengi yanayokutesa yanauhusiano Mkubwa na Damu yako mwenyewe ndio maana Yanakutesa.

KWASABABU GANI KWELI MATATIZO MENGI YANAUHUSIANO NA DAMU

1;Ili Tatizo liwe Sungu Shetani Anaelewa Siri ya Damu ndani yako kiti chake hukiweka kwenye Damu ili usijue unakomboa huku kumbe amejificha wewe unapiga UZAZI kumbe kakaa kwenye Damu

2:Damu ndio Kiti Cha Matatizo yote nayokutesa na usipoelewa Kutoka Hapo Ni kazi ndio Maana watu wanafika Madhabahu Hii.

JE,UNAJUA HAYA?
1:Damu ndio imeshika Uzima wako wa Kiroho na Kimwili?
2:Damu ndio Adui huishambulia nakuichafua Kisha wewe kuonekana unamatatizo kumbe Adui Amepiga Damu
3:Je Ulishawahi Kujiuliza Kuhusu Ukombozi wa Damu au kusikia Je ulikombolewa?

KUNA AINA MBILI ZA UKOMBOZI WA DAMU
1: Ukombozi wa Mali zako
2: Ukombozi wa AFYA Yako

1: UKOMBOZI WA MALI ZAKO
Hii humanisha Ukombozi wa Chochote unachokifanya kilishauganishwa na wachawi au Mali zako ulizipata kwa kuhusisha kumwaga Damu Yeyote Unatakiwa Mali zako zikombolewe.

Watu waliopata Mali kwa Waganga
Watu waliopata Mali  Kwa Uovu Kushirikiana
Watu waliopata Mali kwa mashart
Watu wenye Mali wanaishi kwa mashart
Nk unatakiwa Ukombozi wa Damu

2: UKOMBOZI WA AFYA NA MWILI.
Hii Ni Kwa Wanaoteseka matatizo yanayohusu Damu zao na miili Yao

Watu waliopata magonjwa yanayohusu Damu kuonekana kwake
Ukipima Chochote kinachohusisha Damu ugonjwa ukapata Waitaji Ukombozi wa Damu
Watu wenye tabia walioacha KUIACHA.
Watu wenye Mienendo na Maisha yakuiga wengine
Watu wenye Matatizo yaliyosungu hayaishi
Watu waliojiwekea agano la Damu
Watu wenye mikataba na Siri nakuzimu Kupitia Kazi zao
Watu walioshidikana kupona

Basi Ukisoma haya ukajiona Upo unatakiwa ufike kanisani Chukua hatua unavyoendelea ndio Tatizo unalifanya lije lizidi kukusumbua

FAIDA za Kukombolewa Kutoka kwenye Damu
1:Damu itakasika nakuwa na mahusiano makubwa na Maisha yako ya wokovu na Ukombozi wa Yesu hutateseka.
2; Magonjwa Yaliyokusumbua Utapona
3;Mambo mengi Yaliyokusumbua yataachia

AGALIZO Ukiamua Kukombolewa lazima utuze wokovu wako Tena usimame Kweli Kweli

Kinyume Cha FAIDA Ni HASARA zake

©2021 Pastor Richard

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.