SOMO:UKOMO wa KUZAA KIBIBLIA

DARASA LA WANANDOA.

SOMO: UKOMO WA MWANAMKE KUZAA NA MWANAUME KUZlLISHA.

Karibu mwanandoa Leo nataka Tuelimishane Kibiblia mwisho wa kuzaa Kipindi hicho au umri huo ukifika huwezi kuzaa Tena.
Mimi napenda Nikukaribishe mwanandoa Wewe Ambaye hujabahatika Kupata Mtoto au Uliyekuwa umekata Tamaa unasema umri umeenda.
Naitwa Bishop Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa
Simu hizi Piga Jioni Saa 12:00  kwa Simu+255759861768

1; MWANAMKE UMRI WA KUKOMA KUZAA NI MIAKA 80

Biblia inaeleza mwanamke Kukoma umwanamke wake na Kuweka Asilimia Kuwa Yeye Hawezi Kuzaa Tena Mungu Anasema miaka 80 Na mwanamke anaweza akawa Bado anaona hedhi na Siku zake hii huwa
Inasimama hivyo Kwa Mungu wetu.

USHAURI
Unashauriwa uzae ukiwa na umri wa miaka 25 mpaka 60 ikivuka Ni heri ukaacha kwa Ajili ya Kiafya na umri wa kukaa na Mtoto

2;MWANAMME UMRI WA KUKOMA KUZALISHA 90

Biblia inasema mwanamke wa miaka 90 anaweza Kuzalisha na hi IPO Kibiblia Lakini pia inatia moyo kwa Wanandoa Wengi waliochelewa Kuzaa na Waliokata Tamaa hawawezi kuzaa Kwa Mungu ameweka ukomo wa Kuzalisha miaka 90.

Mme wako Kama anamiaka 80 kumbe mnaweza kuzaa nae

USHAURI
Unashauriwa uzae ukiwa na umri miaka 30 mpaka 70 isivuke na usizae na mtu wa umri unaozidi hapo au kuzaa na mtu mwenye umri mdongo Zaidi.

Tusome Biblia Imeandikwa 👉🏿👉🏿Mwanzo : Mlango 17:17
17 Ndipo Ibrahimu akaanguka kifudifudi akacheka, akasema moyoni, Je! Mtu wa umri wa miaka mia, kwake atazaliwa mtoto? Naye Sara mwenye umri wa miaka tisini atazaa

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.