Madhara ya Dawa Ya P2 Yakuzuia Mimba

DARASA LA WANANDOA

SOMO: MADHARA YA KUTUMIA DAWA YA KUZUIA MIMBA P2

Kuna Dada mmoja alinifata inbox nakuniomba nifundishe Madhara yanayotokana matumizi ya P2

Mithali : Mlango 9

9 Mwelimishe mwenye hekima, naye atazidi kuwa na hekima;Mfundishe mwenye haki, naye atazidi kuwa na elimu

Haya ni Madhara ya Kutumia Dawa za Kuzuia Mimba (P2)

Watu wegi hasa vijana watakuwa wanafahamu dawa ambazo hutumiwa sana kuzuia ujauzito pale ambapo wapenzi wamejamiiana ndani ya siku za hatari. Dawa hizi zipo za aina nyingi kama vile, P2, Morning After Pill na kadhalika.


Endapo wawili hawa wanakuwa hawapo tayari kupata mtoto, na wanaona kwamba siku walizojamiiana zitapelekea mwanamke huyo kutunga mimba, basi anaweza kutumia p2 ambayo inaharibu mazingira au uwezekano wa mimba kutungwa.
.

Dawa hii Wanaume na Wanawake wengi watakuwa wanaijua nataka nifundishe Yamkini nawe Upo unanifatilia umekuwa ukimeza dawa Hizi Usielewe Zinamadhara.


MADHARA YA DAWA YA KUZUIA KUTUNGWA KWA MIMBA P2


1;Madhara Ya Kwanza Huwa Kutokwa na Damu au Kufunga Hedhi yako

2:Madhara ya pili kuja Kutokuzaa au Kushika mimba Baadae kuwa Tasa.

3:Kuharibu Kuta za Uzazi na Kutengeneza Vimbe ndogondogo Kwenye kuta

4;Kupatwa na magonjwa ya Wanawake na Kufanya Baadae uteseke Sana

P2 Ni dawa Ambayo Wadada wengi na Wanaume wengi Hadi Wanandoa wanatumia wakitaka  wasizae na huyo mtu Wegine wakiwa hawataki wazae hii Ni hatari Sana Wewe Utumiaye Vidoge KUZUIA Usishike mimba ukija kuolewa itakuhagaisha Usizae Tena utahagaika kutafuta Mtoto.

Toa maoni yako Madhara mengine unayoyajua kuhusu dawa Hizi za P2


Naitwa Mwalimu wa Wanandoa Pastor Richard

Piga Jioni Simu Namba+255759861768



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.