SOMO: YAJUE MADHARA YA KIAFYA YANAYOWEZA KUKUPATA UKIFANYA MAPENZI WAKATI WA PERIOD
SOMO: YAJUE MADHARA YATAKAYOKUPA UKIFANYA MAPENZI WAKATI WA PERIOD (HEDHI)
Tufunue Luka:5:31 Yeremia:33;6
KUNA WATU WAMEKUWA WAKIITAJI WAFUNDISHWE MADHARA YA KIAFYA YANAYOWEZA MTU KUMKUTA ANAE FANYA TENDO LA NDOA NA MKEWE AKIWA KWENYE SIKU ZAKE EIDHA KWA TAMAA ZAKE ZA KIGONO NA ASIJUE AFYA YAKE ANAIHARIBU KARIBU NAITWA PASTOR RICHARD MWALIMU wa WANANDOA TUOGEE +18
Hairusiwi Mwenye umri chini ya miaka 18 Kusoma Masomo haya ya Wanandoa Nifatilie WhatsApp number+25575981768 Facebook Kanisa la Moto wa Yesu Website www.mchungajirichardi.blogspot.com
Mithali : Mlango 3
8 Itakuwa afya mwilini pako,
MADHARA MWANAUME ANAYOYAPATA
1:Kuzimba Kwa Mirinja Ya Uume wake inayotoa Mbegu za Kuume hata kibofu cha mkojo wakati akikonjoa atahisi maumivu makali.
2:Kuishiwa nguvu za Kiume na Uwezo wa Uume wake Kusimama.
3:Kuambukizwa Magonjwa mbalimbali Kwa haraka Sana Kutokana Kufanya Tendo la Ndoa Katika Piriod
4: Kufanya Kukizi Tamaa Yako Lakini Itakufanya UKIFANYA Tendo la Ndoa Katika Siku zake za Kawaida hutafurahia Tendo la Ndoa Wala hutamridhisha Mkeo UTAHARIBU Ndoa Yako nakumfanya mkeo asikufurahie.
5:Humfanya mwanaume Kisaikolonjia Katika Tendo la Ndoa atashindwa Kufanya Vizuri na mkewe ndani.Hii Kwa Kuwa hataelewa Tatizo limeanzia wapi linaweza mpaka kupelekea Atoke nje
SHIKA HII MWANAUME
Usifanye Tendo la Ndoa wakati mkeo akiwa Piriod Ni hatari Kwa Afya Yako Tumia Njia nyigine Kukizi hisia Zenu Zitakazowaweka Salama Wote
🌳🥦MADHARA YA MWANAMKE YATAKAYOKUPA UKIFANYA MAPENZI WAKATI WA PERIOD (HEDHI)🥦🌳
- 1:Kupatamaambukizi katika viungo vya ndani vya uzazi kama vile shingo ya kizazi, mirija ya uzazi kwa ujumla anaweza kupata matatizo na kuathiri mfumo wake wa uzazi
- 2;Maumivu makali ya tumbo hasa kwa wale wanaopatwa na maumivu wakati wa hedhi Maumivu yataongezeka Mara kwa Mara Tumbo litauma
- 3:Utokwaji damu unaweza ukaongezeka kuliko vile inavyotoka kwa kawaida na pia kuharibu Mzunguko wake
- 4;Utasa au Ugumba husababisha
- 5;Kuvimba kwa kuta za ndani ya uke kwa kuwa wakati wa hedhi zenyewe huwa tayari zimevimba kwenye uke
- 6:Mwanamke huathirika kisaikolojia nakutokufarahia tendo. Pia Humfanya Kwa Baadae Asiwe na hisia na mmewe wakati wa Tendo la ndoa
Maoni
Chapisha Maoni