SOMO: AGANO LA UZAZI

SOMO;AGANO LA UZAZI
👉🏿👉🏿Mtoto wa MUNGU nakuarika Popote ulipo Kipindi Ni Mafundisho Ya Neno la MUNGU Karibu Ukale chakula Cha Kiroho ushibe Nafsi Yako mwalike na Jirani Yako Kisha Kaa Katika Utulivu usome Kwa making utakiponya Kizazi Chako na Watoto wako. Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa

Tufunue Biblia Zetu 👉🏿:Waebrania:7:6👉🏿Kutoka:1;7👉🏿Mwanzo:25:32
1Timotheo:2:15

AGANO LA UZAZI NI NINI..?Ni Patano linalofanyika Kati ya Kizazi Cha Mtu na MUNGU au SHETANI
👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿
KAMA AGANO LAKO LITAMHUSU SHETANI;-Utazaa watoto walioshidikana Wezi Walevi Wachawi Waganga Kwakua Unaagano na Kuzimu Sio MUNGU.
👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿
KAMA AGANO LAKO LITAMHUSU MUNGU:- Utazaa watoto waliobarikiwa watumishi wa MUNGU waimbaji Wachungaji

KUNA MAAGANO MAWILI YA UZAZI
1: AGANO LA UZAZI WA MUNGU
2:AGANO LA UZAZI WA SHETANI

1:AGANO LA UZAZI WA SHETANI;-Huu huwa Uzao uliolaaniwa nakushidikana Kwa Wazazi na Kwenye Jamii.

2:AGANO LA UZAZI WA MUNGU:-Huu huwa Uzao Uliobarikiwa na Wazazi na Kwenye Jamii.

AGANO LA SHETANI:-Hii Ni Dalili ya Uzao Ulioniwa.

1:Humtesa mtu kuzaa watoto wasiopenda Kanisani.
2:Humtesa mtu kuzaa watoto Wasiosikiliza wazazi wao
3;Watoto Kuingia Katika makundi Mabaya.
4:Watoto Kuwa na Tabia Ambazo Zinapigana na MUNGU Na Malezi Yenu wazazi
5:Watoto Nao hufungwa nakuwa mateka wa Utumwa wa Shetani
Mpaka waje wapate Neema ya Wokovu na Kupata mchungaji wakuwaongoza kiroho.

AGANO LA MUNGU:-Hii Ni Dalili ya Uzao Uliobarikiwa.
1:Hubarikiwa Katika shughuli na maendeleo mbalimbali wanayofanya watoto.
2:Huinuliwa VIPAWA ndani Yao na Kumtumikia MUNGU katika Roho na Hofu
3:Watoto huwa na Tabia Nzuri mpaka Jamii na Wazazi hufurahia Watoto wao
4:Watoto hujiepusha na Kuchukia Makudi mabaya nakuwa watu wa kanisani TU nakumpenda MUNGU.
5:Watoto Hufunguliwa haraka hata wanapokuwa wamefungwa.

Shetani Siku Zote akiweka Agano nawe hukikisha lazima Akutese Lazima Awatese Watoto wako Lazima Atese Kizazi Chako kwa Kukufunga Usizae Wala Kushika mimba.

HITIMISHO
TUNAENDELEA KUPOKEA WAGENI HAPA KANISANI KWA PASTOR RICHARD LEO TUNAINGIA KUVUNJA MAAGANO YA UZAZI WA SHETANI KUFUNGUA KUAZIA CHAZO SAA 10;00 Jioni mpaka 12;00 Jioni

WITO
Somo hili Kama umeguswa au Upo katika Agano la Mungu bariki agano Kama Upo Agano la Shetani vunja.

@2020/12/20
Pastor Richard
Phone+255759861768
Morogoro veta Dakawa

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.