MAOMBI YA KUJIONDOA NA MIZIMU

🏌️πŸ‡πŸ€°JINSI YA KUOMBA KUJIKOMBOA KWENYE ROHO ZA MIZIMUπŸ‡πŸ—£️πŸ§—

Karibuni Katika Maombi Haya  na maelelezo yakuomba
Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta dakawa
Simu Piga Jioni Saa 12:00 Jioni Kwa Msaada Zaidi
WhatsApp+255759861768πŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏ YouTube πŸ‘‰πŸΏhttps://youtu.be/NCJuVrn7MJk
MSTARI WA KUSIMAMIA AU NENO LA KUDAI HAKI YAKO

Wagalatia : 6:5 Maana kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe

UFAFANUZI WA MAOMBI HAYA HASA NENOπŸ‘‰πŸΏMIZIMU 

Mizimu Ni Nini,,?Ni Roho za Ukoo Inayoishi na mtu ndani Yake kwa uhalali ya kudai ukoo wake inaanza Kupata nguvu Kutoka kizazi Cha nne ukihesabu Kutoka ulipo Mfano:Richard Ni mimiπŸ‘‰πŸΏJulius Ni BabaπŸ‘‰πŸΏLinda Ni BabyπŸ‘‰πŸΏKushoka Ni Ukoo wangu. Huyu Jinsi Alivyokuwa yeye huweza kumwigia kila mwanaukoo wake nakudai aishi nakuhagaika Kama hii roho itakavyo Huyu Kama alikuwa chifu lazima kwenu watapatikana viongozi Kama alikuwa mganga lazima kwenu watapatikana waganga Kama kwenu huwa mnakufa kwa ugonjwa Fulani itafata ukoo.Maisha Yoyote yanayofata historia ya ukoo ujue Ni mizimu pia kuota mama yako au Baba yako au Babu na Bibi ujue Unateswa na Mizimu

TUNAPOINGIA KUJIKOMBOA UNATAKIWA USOME KWANZA MAELEKEZO

Rudia Rudia na Uelewe Usiombe Bila Kuzingatia Maelekezo Ni heri ukaacha.

MAELEKEZO YA KUZIGATIA

1:Jiandae mwenyewe na Uwe Tayari mwenyewe na Tena Muda wako

2:Usiingie Kuomba Kabla hajanipigia nikakuombea Kwanza Namba HIZI Jioni SAA 12:00 Namba +255759861768

3:Utaomba siku 7 Mpaka Siku 14 Mfulululizo bila kuruka Muda ule ule na usiwe umechokachoka

4:Utaomba huku Unatembea mwili na mikono ikionesha kitendo Cha ujasiri na ushujaa

5:Utatumia MSTARI wagalatia utasema Mimi mizingo Yenu sibebi Unataja matatizo yanayotokana Ukoo

6:Hakikisha maneno unayotoa kwa ujasiri na ushujaa yasikike

7:Walipe Damu ya Yesu watakapodai Sadaka Zao au Kuwa wewe wanakujua Maana walikuganisha kwa Sadaka na Wanapewa nguvu na wanaoendelea kuwaabudu 

8:Utafata mtiririko Kuanzia walipo Kufunga Kama chini hapa ninavyoelekeza

HATUA HIZI FATA UNAPOJIKOMBOA

1:LANGO LA UKOO(Uwazi wa kuingia mateso KUPITIA Ukoo)

Kila Lango La Ukoo wa Kushoka lilofunguliwa Kwangu liingie katika maisha Yangu liingize umasikini Liingize Magonjwa Linifanye Mimi niwe mtu wa Kuteseka na Kuhagaika maisha haya siyataki Nafungulia Lango La Baraka Nafungulia Lango la Afya Nafungulia Lango la Uzao Nafungulia Lango la ndoa Nafunga Lango la Ukoo Kwa Jinaaa la Yesu Kwa Jina la Yesu πŸ™ Amen πŸ™

(Rudia Mara 4 kuomba)

WARIZI WA LANGO LA UKOO (Roho Zinazosimamia mateso yanaingia)

Kila Ulinzi uliosimama Kuhakikisha Mimi nitaendelea kufatiliwa au Kuishi maisha haya ya Kuteseka na magonjwa yanayomtesa mama yangu yanayomtesa shangazi yangu mjomba Mimi nasema Naufyeka huo ulizi uliosimama Kwenye Lango na ufyeka Naufyeka Naufyeka Kwa Jina la Yesu Hakuna ulizi utakaosimama Kurudisha Lango la mateso Katika ulimwengu wa roho Mimi nimekombolewa nalindwa na Yesu na Lango langu Ni la Wokovu kwa jina la Yesu πŸ™πŸ™ Amen πŸ™

(Rudia Mara 2)

πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦

2: MADHABAHU YA UKOO(MAHUSIANO YA UKOO)

Kila Laana inayoongea ndani Yangu kwa uhalali wa Madhabahu ya ukoo na ufatiliwaji wa mateso KUPITIA mahusiano na Ukoo wangu hizo roho zilizojenga usungu nazivunja Kuanzia Leo najenga mahusiano na Yesu Wangu aliyeketi mahali PA juu Nataka niitangazie ile Madhabahu ya magonjwa ile Madhabahu ya utumwa ile Madhabahu ya mikosi iniachie iniachie iniachie iniachie iniachie Katika jina la Yesu πŸ™ Amen πŸ™

(Rudia Mara 3)

WARIZI WA MADHABAHU (Roho Zinazosimamia Mahusiano ya ukoo)

Kila Nguvu ya ulizi wa Madhabahu za Ukoo Naiamuru iniachie kwa amri ya Jina la Yesu Naifyeka Naifyeka Naifyeka Naifyeka Nasema Ulizi uliokuwa unasimamia mahusiano na uhalali kuwa Mimi niishi Kama ukoo wangu au mama yangu au Baba Yangu au Babu Yangu Nasema Biblia inasema Kila mtu atachukua furushi lake kwa jina la Yesu Ulizi uliowekwa kuumba mahusiano Naumbomoa kwa jina la Yesu πŸ™ Amen πŸ™

(Rudia Mara 4)

🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳

3: AGANO LA UKOO (Mapatano na Ukoo yaliyofanyika toka nyuma)

Agano la Ukoo na Patano la Ukoo Familia Yangu Uzao wangu watoto wangu Kuanzia Leo hayo Mapatano yaliyofanywa na Ukoo  wangu wa Kushoka kuipatanisha nafsi yangu na Ukoo Nasema Leo hii Nasimama Katika Kitabu Cha Zaburi:107:20 Nalituma Neno likavunje Hilo Patano sababu SI halali kwanza mliniuga Mimi bila Kuwepo na sijui pili Kama Ni wazazi Wangu walikabidhi nakuwatambikia au kuwafata Mimi Nimeamua Kumfata Yesu Sitaki jina langu mlijue tena Hata watoto wangu Joyce na Lameck muwajue Mimi mzazi wao Nakataa Patano navunja Patano lenu Kwa Jina la Yesu πŸ™ Amen πŸ™

Rudia kuomba mara 7

WARIZI WA AGANO(Roho Zinazosimamia Patano la Ukoo)

Nasimama kuzilaani Kazi zote za ulizi zilizoamriwa na ukoo usimamie ulizi kwa Kunitesa au Kuishi na magonjwa Yasiyoisha au maisha ya kuombaomba Mimi naishi maisha ya historia Ambayo Ukoo wangu Unaishi Nasema maisha Yangu Nataka yatengeneze Historia mpya kwenye Ukoo wangu Naamuru ulizi wote ufutike kabisa Mimi sitarindwa au Kutii Kuabudu mizimu Maisha Yangu yapo huru kwa Neema ya Ukombozi nilioupata kwa Yesu Katika Jina La Yesu πŸ™ Amen πŸ™

Rudia Mara 4

TUMEFIKA MWISHO WA KUJIKOMBOA NA UPO HURU SASA USIMUACHE YESU NA KAMA ULIKUWA HUENDI KANISANI TAFUTA KANISA LA KILOKOLE NENDA PALE UTAZIDI KULELEWA NA KUJIFUNZA MENGI KAMA Hujaokoka Ni Vyema ukaokoka Sasa Maana umetangaza Vita kuisaliti mizimu Yenu.Kwa msaada piga Jioni saa 12 00 Pastor Richard kwa Namba+255759861768



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.