IJUE NDOTO YAKO

🥦🥦IJUE NDOTO YAKO INAMAANA GANI?🥦🥦
🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌
Karibuni Katika Kipindi Kinachokupa Maarifa na Kujua ndoto yako inakujulisha Nini na unatakiwa ufanye.
Naitwa Pastor Richard Naishi Morogoro Veta dakawa
Kanisa la Roho Mtakafu
Simu piga jioni Saa 12 00Jioni Namba+255759861768
💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Tufunue Biblia Zetu:👥Ayubu:33;14-15 Mwanzo:37;10-20 Matendo:2:17

👉🏿MAANA YA NDOTO NI Taarifa Ambayo mhusika aliyeota hupewa na Mungu au Shetani KUPITIA majeshi Yake ya majini,mapepo,wachawi na waganga na Mizimu

👉🏿NDOTO Hulenga Kukujulisha Yaliyopo Yanayokuja mbele Yaliyopita nyuma
👇👇👇👇👇🏼👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
FATANA NAMI KATIKA NDOTO HIZI UJIFUZE

SEHEMU"A NDOTO ZA KUMUOTEA MWIGINE

1:Ukimuotea mtu amekufa👉🏿👉🏿Unajulishwa Huyo mtu hatakufa alikuwa ameandaliwa Kufa nashetani Mwambie aombe.
2:Ukimuotea Mtu umemfumania👉🏿👉🏿 Unajulishwa Huyo mtu Atakamatwa na Uzinifu Mwambie aombe au akae mbali na Dhambi hiyo.
3:Ukimuotea Mtu Anipita Barabarani anatembea wewe Umesimama👉🏿Unajulishwa Huyo mtu atafanikiwa Kukuzidi wewe Mwambie aombee Kazi Yake
4;Ukimuotea Mtu anaumwa Sana👉🏿👉🏿Unajulishwa ataenda kuumwa yule mtu Sana lakini Mungu atamponya Mwambie akemee roho ya magonjwa.
5:Ukimuotea Mtu anaolewa au Anaoa👉🏿👉🏿Unajulishwa Huyo mtu amefungwa kuolewa simama umuombee au afike kwa Wachungaji waombe Kuvunja MTANDAO uliofanyika kwenye jina na wafute alama usoni ya kutokuolewa.
6:Ukimuotea Mtu ulikuwa unaongea nae Ni rafiki yako mpo wawili maeneo ya nyumbani ulipokulia 👉🏿👉🏿Unajulishwa Rafiki yako Ujumbe anaokupa UFANYIE kazi kwenye chazo lilipoanzia.

Mfano anakupa Taarifa Fulani kuwa wewe Upo hivi mbona utaolewa Au utafaulu Mtihani inatengemea mazungumzo Yenu kwenye ndoto na huyo rafiki.

7:Ukimuotea Baba yako Yupo shambani👉🏿👉🏿Unajulishwa Baba yako atafanikiwa KUPITIA kilimo
8:Ukimuotea mama yako Amenifungua👉🏿👉🏿 Unajulishwa Mambo Yake yatafunguliwa.

9;Ukimuotea Mtoto wako anakimbizwa👉🏿👉🏿Unajulishwa mwanao hataendelea vizuri Darasani Au Katika Mafanikio au Huduma Yake
Muombee useme kwamba Kila roho inayotumwa Kwa Mwanangu imuachie Katika jina la Yesu 🙏 Amen

10;Ukimuotea mgonjwa Amepona👉🏿👉🏿Unajulishwa atakufa
Muombee ukatae roho ya mauti

11:Ukimuotea mgonjwa Amekufa👉🏿👉🏿Hatakufa Mungu atamponya.

12:Ukimuotea marehemu anaongea nawewe👉🏿👉🏿 Unajulishwa Huyo mtu Ni mzima hajafa na unaendelea Kuuganishwa katika Uharibifu nae uombe hivi Najitenga na roho za Kuzimu kwa jina la Yesu 🙏 Amen

13:Ukimuotea mgonjwa amezidiwa👉🏿 Unajulishwa Anakufa Ombeni uganeni watu watatu muombeeni

SEHEMU"B" NDOTO ZA KUOTA MWENYEWE.

13:Ukiota Panya👉🏿 Unajulishwa roho ya umaskini wa mafanikio

14:Ukiota Paka👉🏿 Unajulishwa Ushindi wa mafanikio

15:Ukiota Upo kwenye shimo umeshindwa Kutoka👉🏿 Unajulishwa unaenda kukutana na jaribu litakalokufanya Usitoke

16;Ukiota Umeingia kwenye shimo na Umetoka 👉🏿👉🏿 Unajulishwa Utakutana na jaribu litakalotaka Kukuchafua lakini utavuka

17:Ukiota Umesimama pachafu👉🏿👉🏿 Unajulishwa Kuna tabia chafu imekug.ag,ania unatakiwa  unipigie au ufike kanisani.

18:Ukiota Unakimbizwa Unaanza kupaa👉🏿👉🏿 Unajulishwa Utataka uimbiwe haki yako Mungu ataitetea haki yako Shetani hataiondoa

19;Ukiota Unakimbizwa na unakamatwa👉🏿👉🏿 Unajulishwa umeimbiwa uthamani wako SI MUDA watu wataanza kukudharau

20:Ukiota Unafurahia Kitu kwenye ndoto👉🏿👉🏿 Unajulishwa Kuna Huzuni na Taarifa mbaya utaipokea Kemeaa hiyo ndoto

21:Ukiota Boss wako Amekusifia Kitu👉🏿👉🏿Unajulishwa Boss wako atakusema

22:Ukiota Unaongea na Rais au Waziri mkuu wa Nchi yako👉🏿👉🏿 Unajulishwa wewe Ni mtu wa mafanikio makubwa.

23:Ukiota Upo gorofani au unachungulia Upo Juu👉🏿👉🏿 Unajulishwa unaenda kukutana na Pito Kubwa Sana.

24: Ukiota Upo Unafukuzwa na Pikipiki au gari 👉🏿👉🏿 Unajulishwa Kazi yako elimu yako Huduma yako inawindwa kiroho inataka iharibiwe omba ukemee

25:Ukiota Mmeo amelala Pembeni yako au Mkeo👉🏿👉🏿 Unajulishwa Ndoa yako jini mahaba anaifatilia anataka mgombane wewe na Mmeo mnapoanza tendo la ndoa huwa Yupo Hapo kitandani.
Ombeni kukemea roho za Majini zisiingilie ndoa Yenu.

26:Mtu akiota ameokota Pesa 👉🏿👉🏿 Unajulishwa hutafanikiwa Kushika Pesa Nyigi au Kubwa

27:Ukiota wazungu wachina waarabu👉🏿👉🏿 Unajulishwa Shetani anaandaa mtengo wa kukuagusha Kiuchumi. Omba kemea Omba hivi Nalaani nakuzikataa ndoto zinazoongea kuharibu Uchumi wangu kwa jina la Yesu 🙏 Amen 🙏

28:Ukiota Upo sokoni mfano kariokoo Au Kirombero👉🏿👉🏿 Unajulishwa mafanikio ya Kazi zako.

29:Ukiota maji masafi 👉🏿👉🏿 Unajulishwa unatabia njema Sana

30:Ukiota maji machafu👉🏿👉🏿Unatabia chafu Sana

31:Ukiota Nyumba imeugua👉🏿👉🏿 Unajulishwa Amani kutoweka ndani na Majaribu linakuja kwenye mji wako.

32: Ukiota Nyumba chafu👉🏿👉🏿 Unajulishwa Matendo mabaya yanafanyika kwa Siri Ombea rehema Nyumba yako

33:Ukiota unakula 👉🏿👉🏿 Unajulishwa magonjwa yatakupata na mikosi

34;Ukiota MCHUNGAJI 👉🏿👉🏿 Unajulishwa Unao ulizi wa Kimungu usiogope

35:Ukiota Unafanya mitihani unakusanya👉🏿👉🏿 Unajulishwa utavuka katika chagamoto zako Utakutana na chagamoto.

🤜🤜👇🏼👇🏼Ninakaribisha Watu wenye matatizo ya ndoto Msaada na muogozo wa Kiroho Zaidi nipigie jioni Saa 12:00 Namba HIZI+255759861768

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.