SOMO;UAMINIFU WA FUNGU LA KUMI
MAMBO HAYA HUCHANGIA KUBARIKIWA KIUCHUMI NA KIAFYA
🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇
UAMINIFU WA FUNGU LA KUMI KATIKA UTOAJI WAKO KILA MWEZI NA CHOCHOTE UFANYACHO KUHAKIKISHA UNAKITOLEA FUNGU LA KUMI
🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓
Tufunue Malaki;3;10 Kumbu;Torati:28;1-13
Kuna watu Fungu la Kumi hulitoa kimakosa harafu wanatengemea wajibiwe Maombi Yao au wabarikiwe
Ni Marufuku Fungu lako la Kumi Kama Mkristo Ukalitoa Kwa
Yatima,wajane,wagonjwa,wahitaji, Ukasema Nawe unatoa Fungu la Kumi hapana Fungu la Kumi hutolewa Kanisani Katika Madhabahu yako Iliyobeba Baraka zako Kama Huna Unatakiwa uwe na mchungaji wako umuulize katika utaratibu wa Madhabahu Yake kulitoa unatakiwa uombeeje.
Kila Madhabahu inautaratibu wake Kuligana na Mbeba Maono aliyejuu Mungu alivyomuogoza Watu Wake Waende.
Kwa Usahihi Fungu la Kumi hutolewa Kanisani Kwa Baba yako wa Kiroho Katika Madhabahu yako Iliyobeba Baraka zako.
Ukitoa nje ya Hapo ukalipeleka kwa wakongwe wajane hiyo huwa sadaka ya faraja Sio Fungu la kumi
ZINGATIA HAYA UNAPOTOA FUNGU LA KUMI
1:Simama na MADHABAHU moja unayoona inakulisha kiroho na kukufanya ubarikiwe Hiyo Tulia nayo.
2:Usitoe Fungu la kumi Kimakosa au Pasipo na Usahihi.
3;Utoe kila Mwenzi na ukiruka mwenzi mmoja hakikisha unakuja unaanza kulipa ya nyuma Endapo wewe unatoa mwenzi unaofata hutoi
(Ni makosa utoaji wa hivyo unatakiwa shika Uaminifu Kama unakazi inayokufanya Upokee mshahara kila mwenzi mtolee Mungu)
4;Kwa Wale wanaokatwa Kwenye makato nje na makato ya Madeni Bank Unatakiwa upigie gharama mshahara wako ambao ugeupokea ukiachana na makato ya Mifuko ya Bima. Toa Fungu la Kumi
5;Kama hauna Kazi Fungu la kumi nikwenda kanisani kufanya kazi na kudenk kanisa kufangia kulipamba kila wiki unafanya hivyo.
MPANGILIO SAHIHI YA MAKUNDI KUTOA
1:Wakulima mtatoa Mazao
2:Wafanyabiashara Mtatoa Baada ya Mauzo Yenu mnahesabu Fungu lenu la kumtolea Mungu.
3;Wafanyakazi Mtatoa Baada ya kulipwa tu mshahara mnatoa Fungu la kumi
4:Msio na Kazi Mtatoa nguvu zenu na Muda wenu kufanya majukumu ya Kanisani Kama uijirist uamsho nk
JINSi YA KUTOA FUNGU LA KUMI KATIKA MADHABAHU HII MUNGU AKUJIBU
Hakikisha Kile nilichokielekeza unakifata hii Ni kwa Faida yako ili Uteke Baraka katika Madhabahu hii
UTAKAPOKUWA UNATUMA
Shika Fungu lako Ombea mahitaji Yako matatu
1:Mungu anipe kazi au Mme au MKE Kupitia Fungu la kumi langu Mungu ukajibu
2;Mungu unifungulie fursa mbalimbali zinapotokea kazi katika jina la Yesu
3;Mungu umrudishe mchumba wangu aje nikafunge ndoa nae Kama siyo Yeye niletee sahihi katika jina la Yesu;
Ukifanya hivyo Kisha tuma kwenye namba ya Pastor Richard Baba Yako wa Kiroho Katika Madhabahu hii +255759861768
Nakuombea Simama Na Usiteleze Katika Fungu la kumi Huwa nafatilia maendeleo na Utoaji wenu Wapo watu wamejibiwa wamemuona Mungu na wabarikiwa kwa Uaminifu tu.
Na Baba Yangu WA Binguni Awabariki
@Pastor Richard
Tar:5/8/2020
✍️✍️✍️✍️✍️✍️🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄In English
✍️SUBJECT:FAITHFULNESS IN TITHING
🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇
FAITHFULNESS IN TITHING EACH MONTH AND ANYTHING THAT YOU DO MAKE SURE YOU GIVE TITHE TO GOD
🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓
Read Malach:3;10 Deuteronomy 28;1-3
There are some people who give tithe wrongly and they expect to receive answers when they pray.It is wrong as a Christian to give tithe to orphans,widows,sick people,person in need and saying that you gave tithe to God.
Tithe is given to the church on the altar that is carrying your blessings,if you dont have you must find your spiritual pastor and you should ask the procedures of giving tithe and how to pray on it.
Every altar has its procedures according to instructions of God that have been given to your spiritual father.
Correctly tithe is given in the church to your spiritual father on the altar that is carrying your blessings.
When you go out of it to take to widows,old people that is charity giving not tithe.
FOLLOW THESE WHEN YOU ARE GIVING TITHE
1:Stand with one altar that you see is feeding you spiritually and makes you a blessed person,stay there.
2:Dont give tithe wrongly or incorrectly.
3:Give tithe to God each month,if you skip one moth make sure you pay it so as to proceed with the process(It is wrong to skip,you have to be faithful if you have a job that gives you a salary each month)
4.For those who have deductions,outside deductions of Banks,you have to calculate ten percent of your salary before deductions of insurance or debt,give it as a tithe.
5:If you are not employed go to the church to do chores such as mopping,sweeping,decirating every week you must di that.
A CORRECT PLAN OF GROUPS TO GIVE TITHE
1.Farmers you will give ten percent of produce/crops
2.Business persons you will give ten percent of sales
3.Employees you will give ten percent after receiving your salary.
4.Unemployed persons you will give your energy and your time to do church services like evangelism.
PROCEDURES TO GIVE TITHE ON THIS ALTAR SO AS FOR GOD TO ANSWER YOUR PRAYERS
Make sure you follow my instructions,this is fir yiu to benefit so that you can take blessings from this altar.
WHEN YOU ARE READY TO SEND
Take your tithe pray on it three main needs.
Eg 1.God to give me a job/wife/husband through this tithe,God will answer me.
2.God to open different opportunities for me when they are available in the name of Jesus
3 God to return my fiance to come and marry me,if it is not him/her ,God will give me the right fiance in the name of Jesus.
After doing that sent to Pastor Richard number,your spiritual father of this altar
+255759861768
Maoni
Chapisha Maoni