SOMO: UMHIMU WA KUOMBA USIKU
SOMO: MATATIZO MENGI HUMWINGIA MTU ASIYEOMBA
Tufununue Tusome Mistari hii
Luka;11:9 Waefeso;6;18 Zaburi:6:9 1wafalme:8:45
Nataka Nikukaribishe Katika Neno la Mungu Ujue matatizo mengi Shetani hutumia Kumwingia mtu na Kumpiga Huwa Ni Usiku ukiwa wewe umelala hasa hasa wale ambao walishazoea Wakitoka huko kwenye Kazi mahagaiko ya kutwa Nzima Usiku Anarudi Analala Bila Kuomba. Hawa watu huwa wanawimbi Kumbwa Sana la Kumfanya Adui Amwingie Asubuhi Akiamka ataamka natatizo limeshaingia halafu litamsubua.
Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa
Simu ya Kuongea nae+255759861768
MAANA YA MATATIZO MENGI''''?
Ni Uharibifu wa Kiroho na Kimwili Wenye kudhoofisha Afya yako
Matatizo Ni Nini??Ni Hali ya kuvamiwa kiroho na roho za kushindwa kuendelea kuutawala ulimwengu wa roho na mwili
Mtu aliyeshindwa kuutawala ulimwengu wa roho Huteseka
LENGO letu;Watu wafunguliwe katika Fikira za Kiroho na mwili
Maono Yetu; Wafundishwe Neno la Mungu na Wakombolewe watu Kupitia Neno la Mungu.
👊👊👊 MAOMBI YA USIKU NI MHIMU KWAKO
Wapo watu wanaleta uvivu mpaka kuomba usiku na mwisho wa siku wanavamiwa na magonjwa yasiyoisha au Vifungo vinavyokuja kuwasumbua wasijue KUMBE Tatizo liliingia Usiku Acha Kuwa Mvivu wa kuomba hii Ni kwa Usalama wako kiroho na mwili
MAMBO YA KUNUFAIKA KWA ATAKAE SHIKA NENO "Kuomba Usiku"
1:Utajiwekea ulizi na Kinga ya Mungu Zidi ya Pepo wachafu na wachawi
2:Utajiwekea ulizi na Kinga ya Afya Zidi ya Magonjwa
3:Utakuwa na nguvu ya kujinasua kwenye Vita ya Usiku
4; UCHUMI na Hatua zako zitakuwa Salama
5;Na Megine mengi utayapata
Muda wa Usiku Shetani na Malaika wake (Lucifer Anawatuma mawakala wake Usiku Sana maana Anajua Kuna watu huwa wavivu kuomba Hasa hasa waliokoka hufika Usiku Anasema Niombee wakati huo Yeye Analala tu bila kuomba.
TUOMBE MAOMBI YA USIKU;
Unaweza Kusimama au Kupiga magoti
Baba Ansate Katika jina la Yesu Nashukuru umenilinda Kutwa nzima Umenitetea na Kunipigania mengi Sasa Usiku huu Tena naomba unilinde na unifunike na Damu ya Yesu ikaenee chumba kizima katika jina la Yesu 🙏 Amen 🙏
Haya ndio Maombi unapaswa ujifunze Usiku Unaomba Wewe uliyekuwa huombi Usiku.
MAHALI ILIPO HUDUMA HII
Jinsi ya Kufika Kanisani kwa Pastor Richard Panda magari ya Morogoro ukishuka msamvu Sted chukua gari za dumila waambie nishushe veta Dakawa ukishuka chukua pikipiki waambie nipelekeni kanisa la Moto wa Yesu
Maoni
Chapisha Maoni