Somo;Kijana usioe/Kuolewa na mgomvi

SOMO: KIJANA 🍓🍓 USIOE/KUOLEWA 🍓🍓NA MTU MGOMVI ANAYEPENDA KUTUKANANA LUGHA CHAFU

Mithali;21;9,19 ✍️ Mithali;25;24✍️ Mithali ✍️27;15

Kuna wakati Kija anakosea mahusiano na Uchumba Anaanzisha uchumba toka marafiki mpaka wachumba mmoja wao anakuwa Hana furaha Hana siku waliokaa Pamoja wakaelewana KILA siku ugomvi hawezi Kujua Kama kwenye mahusiano tu  kila siku ungomvi je mkifunga ndoa.

KIJANA unapaswa uvunje mahusiano yanayokuwa kila siku mmekosana au matusi au Kitu kidongo tu mwezako Ameshakukatia Mawasiliano.

Katika maisha ya ndoa kijana Usije ukaingia kuanzisha maisha ya ndoa ya magimvi

Kila Kitu kitengeneze vizuri unapokuwa Kwenye urafiki na Uchumba Usikimbilie ndoa halafu ukaingia kwenye ndoa ya maumivu.

Naitwa mwalimu Wa Wanandoa
Pastor Richard
Simu+255759861768

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

MAOMBI YA USIKU WA MANANE 2025

KITABU IJUE NDOTO YAKO