SOMO;wewe MSHINDI
😴😴😴TUSOME HAPA MPAKA MWISHO_ELIMU HAINDAGANYI NA BIBLIA Yer:1;19 Haidaganyi😴😴
🔥🔥SOMO;WEWE NI MSHINDI TOKA TUMBONI.🔥🔥
Tufunue Biblia Yeremia;1;19,18:19 Ufunuo;12;8A,Zaburi:13;
Naitwa Pastor Richard
NIPO Morogoro veta Dakawa
Simu+255759861768
Turudi Darasani Kindogo Unajua Unapoambiwa wewe MSHINDI unazani unatiwa moyo na Mungu anapokuambia nilikujua toka nikiwa tumboni uelewi.
Karibu
Mwanzo wa Wewe Ulivyoanza Kushinda.
Biology Inatuambia Mwanaume Anapofanya tendo la ndoa hutoa mbengu takiribani milioni Mia tatu(300,000,000) mbengu Hizi huwa zinaongelea kukimbia kufika kwenye ovary(yai) lakini katika milioni Mia tatu wote Wanaofanikiwa kulifikia yai Ni mia Tano (500) Kutoka kwenye kukutana na yai la kike na la Kiume huendelea mbengu kuongelea mpaka kwenye mfuko wa Uzazi ambao hufika mbengu Moja TU(1)AMBAYE Ndio Wewe Hapo Unayesoma Ujumbe huu.
JIULIZE KAMA KIPINDI HUNA MACHO MIGUU MIKONO ulishindana na watu milioni Mia tatu(300,000,000 ) Ukawashinda
MKABAKI WATU MIA TANO(500) Ukawashinda Tena ukiwa huna miguu Wala mikono
UKABAKI WEWE UNAESOMA UJUMBE HUU UKAZALIWA.
Sasa Unamiguu Unaakili Unamikono Inawezekanaje wewe Kushindwa
Umepambana tumboni na watu milioni Mia tatu uliwashinda.
#🏃🏃TAFAKARI JINSI ULIVYOWAKABILI WALE MILIONI MIA TATU KISHA MUOMBE MUNGU AKUREHEMU ULIPOMUWAZIA VIBAYA AU KUKATA TAMAA
KAMA KUKATA TAMAA UGEKATA TAMAA TUMBONI LAKINI WEWE NI MSHINDI SIKU ZOTE.
🗣️🗣️shirikisha wengine
Maoni
Chapisha Maoni