SOMO;YAJUE MAKUNDI YA KUEPUKA USITEMBEE NAYO

✍️✍️SOMO ✍️WAJUE WATU WA KUWAEPUKA KABISA USIWE NAO KARIBU AU KUISHI NAO.
Tufunue Biblia Zetu Tusome Vitabu hivi 👉👉
Mithali;13:14, Mithali:14:27,Ayubu;1:1-8 Ayubu:2;8

✍️✍️UTANGULIZI✍️✍️

Katika Jamii au Marafiki au Watu waliokuzunguka Inakupasa Ukitaka Ufanikiwe Utembee Na Uwe Vizuri Kiroho Kuna Watu Unapaswa uwaepuke na Ukae Mbali nao Ili Kuponya Nafsi Yako Na Kukujibu katika mambi Yako Kuna wakati hufanikiwi kutokana Campani ya Marafiki ulionao katika kuwaomba ushauri kutembea nao.

Karibu Naitwa Pastor Richard Ujifunze watu sahihi utakaotembea nao kina Elisha kina Yoshua utawajuaje waliosahihi na Kinadelila ambao SI sahihi kina Yuda au Petro uwajue kina Paulo Abinengo shadrack.

✍️✍️✍️LENGO La SOMO UPONE uwe mshindi.

✍️✍️✍️WATU WA HIVI WENYE KAULI HIZI WAEPUKE✍️

A)Kundi la Kwanza Watu waliojikatia Tamaa.
Epuka Sana kuwa karibu na waliojikatia Tamaa au Kukaa nao muda mwingi karibu Watakufanya Usipokee majibu na Utajiona Mungu amekuacha.

B)Watumishi Wasiokuelekeza na Kukufundisha Neno la Mungu wanakuambia Utafanikiwa au umepona Bila Kukufundisha wasiokaa nawewe waepuke Sana maana hutaenda popote Kiroho au Kimwili.

C)WATU WAONGO NA WASIO NA SIRI 
Waepuke watu wanaotoa Siri zako au kukudaganya Kila kitu

D)WATU WAJUAJI WASIOSHAURIKA.
Watu wanaotaka Kila kitu wajue Kila Kitu Hawakushauri Ni kukuvunja moyo TU au kukatisha Tamaa

E)WAZINZI WALEVI WAGOMVI
Waepuke watu wa Aina Hii.

F) WATU WA WANAOKUVUNJA MOYO WASIOKUTIA MOYO.
Waepuke watu wa Aina Hii.

G)WATU WASIOKUONGOZA KIROHO WATU WANAOKUTENGA KIROHO

Wapo wengi katika Jamii Zetu watu wanaokuvunja moyo Kiroho waliomuacha Mungu ushauri wao Ni mbaya kwetu Tu.

Tunapaswa Tupate Watu watakaokulea Kiroho na Ufike Mbali sio watakakulea kimali na majumba hapana.

NAITWA Pastor Richard
Nipo Morogoro veta Dakawa
Simu+255759861768

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.