SOMO:EPUKA WATU HAWA KUANZISHA UHUSIANO NAO
✍️✍️ SOMO;WATU WENYE KAULI HIZI WAEPUKE NI HATARI KATIKA NDOTO ZAKO NA MAISHA YAKO.✍️✍️
✍️✍️Darasa la Wanandoa na Mahusiano
Mithali;7;6-10
Kuna watu unapaswa uwaepuke na ukae nao Mbali ukiwa nao Hawa karibu watakufanya uishi maisha ya mahagaiko na mateso Tu Lakini ukiwaepuka Utajenga ndoa maisha mahusiano Yenye nguvu
Nitaeleza Kauli 17 Hizi hazifai hata ukutane na watu Hawa wenye maneno au Kauli Hizi👇👇👇👇
Watu wa Aina hii huwa Hawana malengo au Kujifunza
*Kauli 17 za mtu asiye na Malengo hukiri hivi
1)Sina mtaji
2)Sina Connection
3)Nitaanza rasmi kesho
4)Mimi ni wa hivihivi tu
5)Mifumo mibovu ya Serikali ndiyo inayonirudisha nyuma
6) Mke/mme/ndugu zangu Ndiyo walioniangusha/kunitenda/kikwazo
7)Kupata ni majaliwa
8)Usilazimishe mambo
9)Kuna watu special siyo mimi.
10)Sina bahati
11) kupata si uhodari nami nitapata tu.
12) Mimi ni fungu la kukosa tu.
13) muda wangu bado nitapata tu
14) mungu hajapanga hata vidole mkononi havilingani.
15) wapo waliopangiwa sisi wasindikizaji
16) Familia yetu hakuna tajiri nianze mimi?
17) hata wanaotafuta mbona wapo vilevile...fulani namjua mbona yupo tu kama mimi au namzidi
Elimu hii ikakuponye na ulete Ushuhuda wako
Naitwa Pastor Richard
Nipo Morogoro veta Dakawa
Simu+255759861768
Maoni
Chapisha Maoni