Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili, 2020

SOMO✍️✍️ NGUVU YA KUDHIBITI MAPITO

✍️✍️🌱🌱SOMO✍️ NGUVU YA KUMTENGEMEA MUNGU KATIKA KIPINDI CHA MPITO✍️✍️🌱🌱 Tufunue Biblia Zetu Zaburi:91;7-16✍️Zaburi:89;24-26 ✍️✍️DARASA LA NENO LA MUNGU ✍️🌱🌱MWAL; PASTOR RICHARD Nipo Morogoro veta Dakawa ✍️✍️UTANGULIZI✍️✍️ Kuna wakati unaweza ukawa unapitia mapito Magumu Sana na wakati Mgumu Sana Mpaka hata nguvu ya kuendelea kuomba inaisha nguvu ya kumtafuta Mungu inaisha. Ujue Ukiwa katika Kipindi Kigumu ndio wakati wa Kumwita Mungu Aitike Ndio wakati unaokupasa wewe umuaibishe Shetani na uaibishe wakati huo wa pito Leo hii Nataka ujifunze nguvu ya Kumtengemea Mungu wakati wa mpito na Magumu Utapataje nguvu ya kuendeleaa mbele kusitahimili vipindi mbalimbali Utapataje. KARIBU Naitwa PASTOR RICHARD Kama ndio Mara ya Kwanza Kunifatilia kwenye ukurasa wangu wa Moto wa...

SOMO: NGUVU YA KUFANIKIWA

✍️✍️SOMO; NGUVU YA MAFANIKIO Tufunue Biblia Zetu Tusome Matendo;11;29,3Yohana;2;2,Yoshua:1;7          ✍️✍️UTANGULIZI✍️✍️ NGUVU YA MAFANIKIO ni Hali inayomsukuma mtu kwa bidii na ujasiri nis Yote kufikia Malengo Yake. Bila mtu kuwa na nguvu ya mafanikio huwa hawezi kuitwa mtu mwenye mafanikio Tunapaswa Sasa Tujue Kwanini Wengine wanafanikiwa halafu kwanini Wengine hawafikii Kusundi lao. KUNA AINA 2 ZA WATU KATIKA MAFANIKIO. a.Kundi la Kwanza Ni Watu WENYE UWEZO MDOGO WA KUFIKIRI. Kundi Hili huwa watu waliojikatia Tamaa na wanamtazsmo wa kuona watu flani flani wenye hadhi flani ndio wanaofanikiwa. Kufikiri kwao na Nia ya kufanya kazi Hakuna huishi kwa kuaglia mwingine na sio yeye Ukikaa nae anamaneno ya kukatisha Tamaa Anawaza kushindwa tu. Huwa Wana Dalili Hizi watu Hawa. 1;Wanaongopa maisha Ukiongopa maisha kila kitu Utashindwa maana ulishaona maisha yamekupin...

✍️✍️SOMO; PETE YA NDOA

✍️✍️SOMO✍️PETE YA NDOA. Nawasalimu Watumishi Wa Bwana Katika jina la Yesu Inawezekana ndio Mara ya Kwanza kujiunga Ukurasa huu wa Moto wa Yesu Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Nakukaribisha kujua historia ya Pete ya ndoa Wengi Tunavaa Pete huwa bado hatuelewi Pete ya ndoa ilianzia wapi na kwanini unapofungishwa ndoa unavishwa Pete hususa kwa wakristo wote. Tufunue Biblia Zetu Tusome;Kutoka;26;29 Luka;15;22-32 Yakobo;2:2-7 Mwanzo;38;18 isaya;3;20-22 ✍️✍️Lengo la SoMo;Tujue Pete za ndoa umhimu wake na historia Yake. ✍️✍️DHIMA YETU MOTO WA YESU: Tujue kweli na kweli ituweke huru. ✍️✍️HISTORIA YA PETE YA NDOA✍️✍️ Pete ya ndoa iliazishwa kuvaliwa na Watu wa Agano la kale katika Falme mbalimbali wakati huo Pete ilikuwa ikivaliwa mkononi kumtambulisha mtu Kama Ni mtawala na mwenye Amri juu ya kitu fulani. Pete hii katika Agano jipy...

SOMO;Misingi 3 Ya Kabla ujaingia ndoa

✍️✍️SOMO; MISINGI MITATU (3) YAKUBORESHA NDOA YAKO IWE YENYEFURAHA NA YAKUDUMU KATIKA AMANI✍️✍️✍️Chukua hii Ufurahie ndoa yako🙏🙏 Karibu Mtoto wa Mungu Tuelimishane nakujifunza Katika nguzo tatu za kuandaa ndoa iliyobora ndoa Yenye Amani na furaha ya kudumu Tufunue Biblia Zetu 1Timotheo;2;11-14, 1wakoritho:7;2-39 ,11:1-13 Mwanzo;34;12 Mithali;30;10 ✍️✍️Lengo La Kuwepo Darasa la Wanandoa ✍️🙏Ni kufufua mahusiano yasiyodumu nakufikia Malengo kuwajengea Elimu ya KuZijenga na kuimarisha ndoa Zetu Kama Kristo Alivyolijenga kanisa lake. ✍️✍️DHIMA YETU Kama Moto wa Yesu Kufanya ndoa ziwe na Amani na upendo uliojazwa hofu ya Mungu. ✍️✍️Misingi Nini ? Ni chochote kinachosimamisha Jambo liwe imara ✍️✍️✍️Darasa la Wanando ✍️✍️Mwalimu Wa Wanandoa. Nipo...

SOMO;MAMBO YANAYOLINDA UCHUMBA

🗨️.SOMO; MAMBO YAKUFANYA ili KULINDA UCHUMBA WENU USIVUNJIKE. ✍️✍️DARASA LA WANANDOA ✍️✍️MWAL WA WANANDOA Nipo Morogoro Veta Dakawa Mithali:30;9-10 Mithali;12;4 KARIBU KATIKA DARASA LA WANANDOA Tuongelee Mambo unayotakiwa uyashike mahusiano Yenu ili kuyalinda yasivunjike Unapaswa chukua Elimu hii 1. Udhibiti wa taarifa kwa   wengine: ✍️✍️  Kadri unavyoelezea mahusiano yako kwa watu wengine ndivyo unavyowapa nafasi watu kutoa maoni, na hata kudhani kuwa Awana dhamana ya kukuelekeza unavyotakiwa kuishi na mwenza wako. Hivyo basi, chukua muda wa kutosha kutafakari na kufanya uchunguzi kuhusu maswala yako ya mahusiano kabla haujaanza kutafuta maoni, ushauri kwa watu wengine. Ni bora ukasoma vitabu, na makala mbalimbali, hususani zihusuzo tabia na maisha ya mahusiano, zitafakari vema ili kuona zinahusiana vipi na unayokumbana nayo katika mahusianao yako. 2. Upekee wa mambo ya mw...

SOMO:BINU (7) ZA KUBORESHA MAHUSIANO MNAPOANZA MAHUSIANO

✍️✍️✍️SOMO; BINU SABA(7) ZA KUBORESHA MAHUSIANO MNAPOANZA MAHUSIANO. Mithali;31;7-12 Mithali;12;4 ✍️✍️ MASOMO ya WANANDOA ✍️✍️MWAL.PASTOR RICHARD ✍️✍️SIMU+255759861768 Nipo Morogoro Veta Dakawa Karibu Katika DARASA la Wanandoa Leo naongelea Mambo mhimu unatotakiwa uyafanye ukiwa ndio unaanza mahusiano Yako au ulishaanza mahusiano lakini umeyafanya mzoeane mpaka vitu vigine ulivyokuwa unavifanya saivi huvifanyi Basi Karibu ujifunze Cha Kwanza Msingi wa mahusiano Yako au ndoa huaza kutengenezwa mkiwa ndio mnaanza ukifanya makosa hapo unaweza kuadaa kitu kitakachokunyima Amani. 1.✍️✍️Mwanzo  wa Mahusiano. 🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈 Msidanganyane(a)Mwambie mwenzi wako ukweli. (b)Mwambie yale unayopenda na usiyopenda. (c)Kuwa muwazi kwa mwenzi wako. (d)Onyesha upo tayari kuachana na mambo yote uliyokuwa umeyazoea ambayo kwa sasa yanaweza bomoa uhusiano wenu. 2.✍️✍️Mfanye Mwenzako Ajisikie ni wa Muhimu. 🎈🎈🎈🎈🎈🎈😮😮 (a)Tenga muda maalumu wa kuwa naye. (b)Onyesha unafurahia uwe...

Somo: Dalili za mme mwema

✍️✍️SOMO;✍️ DALILI ZA KUJUA UMEPATA MME MWEMA/MKE MWEMA ULIYE NAE UTAMJUA KWA HAYA, Mithali;31:7-11 Mithali;12;3-6 ✍️✍️DARASA LA WANANDOA ✍️✍️MWAL.PASTOR RICHARD ✍️✍️SIMU+255759861768 Nipo Morogoro veta Dakawa. ✍️✍️Tunakutana Katika Masomo ya Wanandoa Kwa Lengo la Kutunza Ndoa Zetu na Kujua mahusiano yetu yapo sahihi nakuyajenga yalipobomoko Kiukweli Katika Jambo la Kupata MKE mwema au Mme mwema Ni rahisi Sana ukiwa mvumilivu na mwanamaombi usiyechoka kumuomba Mungu na Msimamo utakipata kilicho Bora Kwako na chenye Faida katika maisha Yako. ✍️✍️Wapo watu huamini mme mwema hayupo au MKE mwema hayupo Wapo Sana shida watu wa Ni Adimu Sana wanapatikana makanisani tu Lakini wanaume waliokamilika Wenye hofu ya Mungu Wanapatikana popote unaweza kutana nao hata mtandaoni hata Kwenye usafiri hata Lakini Mme mwema Hutamuo...

Somo;ACHA TABIA INAYOKWAMISHA UPENDO NDANI

✍️✍️SOMO:JINSI YA KUIACHA TABIA INAYOMKWANZA MWEZI WAKO NDANI YA NYUMBA ✍️✍️ Umri Miaka 18 Wanaruhusiwa Masomo haya Mithali;14;1 Isaya;58;12 ✍️✍️ MASOMO YA WANANDOA ✍️✍️MWL: PASTOR RICHARD ✍️✍️NIPO Morogoro veta Dakawa ✍️✍️Simu +255759861768 Wanandoa Tuongee Tunakutana Tena katika DARASA la KuZijenga ndoa Zetu zilizobomoka Kupitia Tabia Zetu Wanandoa ndani Ya Nyumba. Kati ya kitu ambacho kinasumbua wengi na kimekwamisha wengi ni tabia.Wengi wana huzuni ndoa zimewashinda,kazi zimewashinda,fedha na mafanikio vimewakimbia,watoto wamewashinda,hawana marafiki hata miili yao haina afya kwa sababu ya tabia tu. Wengine wamejiona ni kama wana laana,wengine wanafikiri labda wanaugua ugonjwa flani lakini shida siyo shida nitabia zao tu. Hebu tuone namna gani tunaweza badilika au kubadilisha tabia zetu. ✍️✍️T...

SOMO; MWANAMME MFURAHISHE MKEO

✍️✍️SOMO: MWANAUME MFURAHISHE MKEO ✍️✍️Chukua hii mwanaume ✍️✍️DARASA LA WANANDOA ✍️✍️MWAL: PASTOR RICHARD ✍️✍️Nipo Morogoro Veta Dakawa ✍️✍️👇Simu+255759861768 🍇🍇 _Mwanamke ni ulimwengu mpana sana ambao huathiriwa na hisia zake zaidi ya anavyoathiriwa na kitu kingine chochote._ ......🍇🍇 _Mwanaume akifanikiwa kuumiliki moyo wake atakuwa amefanikiwa kukimiliki kitu kingine chochote._ .Mwalimu wa Wanandoa Wanandoa Tuongee inakufanya Ufurahie Ndoa Yako Nakuijenga ndoa yako ✍️✍️*Yafuatayo ni mambo rahisi ambayo unaweza kuyafanya ili kuuteka moyo wake✍️✍️.* *1✍️. Zidisha ‘surprise’.* ......🍇🍇 _Leo mfanyie surprise kwa kitu fulani, siku nyingine kwa kitu kingine. Kwa mfano, unaweza kum...

✍️✍️SOMO✍️SIRI YA KUDUMISHA Mahusiano Yako

✍️✍️SOMO; ✍️TAMBUA MAMBO YANAYOLINDA NA KUDUMISHA MAHUSIANO. ✍️Mithali;14;1✍️Isaya;58;12✍️Mwanzo;2;24 ✍️✍️DARASA LA WANANDOA ✍️✍️Mwal; Pastor Richard ✍️✍️Nipo Morogoro Veta Dakawa ✍️✍️SIMU:+255759861768 UNAWEZA kuanzisha kitu chochote, wakati wowote lakini jambo la msingi zaidi ni namna ya kudumisha na kuendeleza ulichokianzisha. Kwa mfano, unaweza kufungua biashara fulani lakini ukafeli katika kuisimamia na kufuja fedha, hutafanikiwa!, ndivyo ilivyo hata kwenye uhusiano. Unaanzisha sawa, lakini vipi kuhusu kudumisha penzi lako likaendelea kuwa na nguvu zaidi siku hadi siku? 💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕 TAMBUA THAMANI jithamini kwanza na kum...

Sms Za Kuepuka usimtumie mmeo

✍️✍️SOMO; MWANAMKE SMS AMBAZO HUPASWI UMTUMIE MWANAMME WALA MPENZI WAKO UKIJARIBU NI SUMU KWAKO. Mithali;14;1 Mithali;16;1-5 Isaya;58;12 ✍️✍️DARASA LA WANANDOA ✍️✍️MWAL; PASTOR RICHARD ✍️✍️SIMU;+255759861768 👊👊👊 KARIBUNI KATIKA DARASA LA WANANDOA TUNAELIMISHANA NA TUWEZE KUJENGA NDOA ZETU NAKUFANYA NDOA ZIDUMU ✍️✍️ WANAUME Hupenda Sana Mawasiliano na Kuchat hasa kwa MKE wake Mchumba wake Lakini Kuna vitu Ambavyo unaweza ukasababisha Akawa hachati na kukata Mawasiliano nawe Kutokana na Sms TU unazomjibu nakumwandikia hivyo mwanamke unapotuma sms kwa MWANAUME Kuna vitu uepuke. ✍️✍️Mwanamke Mambo haya Hupaswi UMTUMIE MWANAMME USIJE UKAJARIBU UKAFANYA NI HATARI SANA Mambo hayo sms Kama Hizi ukifanya Utasababisha Mahusiano Yako kuwa na Shida SMS unazopaswa kuepuka kumtumia mwanaume. #1 Picha za uchi. Hap...

SOMO: ANGALIA UMRI WAKO NA USICHEZEE MUDA

SOMO: UMRI WAKO USICHEZEE KATIKA MAISHA. Mithali 14;1 Isaya;58;12 Darasa la Wanandoa Meal; Pastor Richard Simu+255759861768 ✍️✍️✍️Karibuni Darasa la Wanandoa Tunataka Tuongelee Vijana Ambao umri unazidi kuwatupa mkono hawajui Bado hatima Yao bado Wapo kwa wazazi au Ndugu. Karibu uone umri wako unaenda nao sawa au Hapana Kisha Comment Ni mhimu kujali muda wako ili usije kuzeeka Unateseka huna kitu chochote. Karibu ujifunze Umri🙏20 - 25 = Kama ni kielimu hujafikia malengo yako, sitisha mara moja tafuta kazi/biashara ya kufanya, pigana kufa na kupona ili kama vipi urudi shule kwa pesa yako. Umri✍️25 - 30 = Hakikisha uwe na angalau KAZI RASMI kama umeajiriwa au umejiajiri au una shughuli yeyote ya kukuingizia kipato. Umri✍️30 - 35 = Uwe na angalau kama sio nyumba basi kiwanja, tena ujitahidi uwe umeoa/umeolewa. Ni vema ukiwa na familia, kwa maana ya kuwa na watoto kama Mungu kakuwezesha. 35 - 40 = Ni wa...

SOMO: Tofautisha mwanamke na mschana

✍️✍️SOMO; UNAJUA UTOFAUTI YA WANAWAKE NA WASCHANA KATIKA MAHUSIANO ✍️✍️Darasa la Wanandoa ✍️✍️Mwal; Pastor Richard ✍️✍️SIMU +255759861768 Mithali;14;1 Waefeso;5;22 Mithali;7;7 ✍️✍️✍️Tunakutana Tena Katika Darasa la Wanandoa Tunapoongelea Mwanamke Ni Bint AMBAYE Ufahamu wake Anajua Maana maisha ya Ndoa na maana kuitwa MKE Ndani ya ndoa. MSICHANA Ni Bint Ambaye Bado hajui maana ya ndoa au Maumivu katika mahusiano hajui Wala haelewi wanaume wanatofautiana Karibu Uwaone WASCHANA Kwanini humizwa na Wanawake hawaumizwi 1. Wasichana wanatafuta wanaume wenye pesa ila Wanawake wanatafuta wanaume wanaojali na kupenda. 2. Wasichana hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia ukubwa wa mifuko yao ila Wanawake hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia kiwango cha busara na hofu ya mungu na kwa vipi wanajiheshimu mbele ya wapenzi wao. 3. Wasichana ...

SOMO: UMHIMU WA MUDA KWA MWEZI WAKO

✍️✍️SOMO: UMHIMU WA KUWA NA MUDA NA MAWASILIANO KWA MMEO/MKEO✍️✍️✍️Chukua Hii Ufurahie ndoa Yako. ✍️✍️DARASA LA WANANDOA ✍️✍️MWAL; PASTOR RICHARD ✍️✍️Simu+255759861768 Mithali;14;1-2 Waefeso;5;21-24 MUDA na MAWASILIANO ni vitu ambavyo vinahitajika Sana kwenye mahusiano Kati MWANAUME na Mwanamke hata Kama mnaishi mbalimbali au nyumba Moja Muda wako kukaa kwa ajili umpendae au Kuongea na kuwasiliana Ni Mambo yanayoweka hai mahusiano Yenu. ~MUDA utakufanya umfahamu vyema mwenzio ikiwemo kipi anapenda na kip hapend ~MAWASILIANO yatakuweka Karibu nae haijalishi mna umbali kiasi gani uwepo wako utaonekana, pia ktk mawasiliano jengeni muda wa kuongelea mahusiano yenu na yale msiyopenda yatendeke baina yenu TUMIA MANENO HAYA MATAMU KUJENGA MAHUSIANO YA FURAHA NA AMANI 1. NAKUPENDA~Weka hisia zako wazi haijalishi mmekuwa kwenye mahusiano kwa muda...

✍️✍️SOMO✍️JINSI YA KUISHI NA MWANAUME ASIYE na PESA

✍️✍️✍️SOMO: JINSI YA KUISHI NA MWANAUME AMBAYE HANA PESA AU KAZI MWANAMKE  Chukua HAYA✍️✍️✍️ Tufunue vitabu hivi Isaya;58;12  ✍️ Waefeso 5;22 ✍️✍️DARASA LA WANANDOA ✍️✍️Mwal; PASTOR RICHARD Nipo Morogoro veta Dakawa Simu+255759861768 Ni siku nyingine tunakutana kwenye Darasa la WANANDOA Leo hii  naongelea JINSI ya wewe mwanamke kuishi na mwanaume asiye na Pesa maana Wanawake na Mabint Wengi hufikiri Pesa ndio ndoa au mahusiano Bora yapo kwa kijana mwenye Pesa Kumbe Tunaitaji Kuolewa na mtu sio Pesa Hebu Karibu Darasani. Mwanaume ambaye atakuwa na ukwasi wa kutosha huyo ndiye anayefaa kuwa naye kwenye uhusiano au hata ndoa. Anaamini kwamba pesa ndiyo kila kitu. Pesa ndiyo itakayompa mahitaji yake ya kupendeza na kila kitu. Mwanaume bila pesa kwake ni sawa na debe tupu. Upepo wa imani hiyo upo sana mjini. Baadhi ya wanawake...

Somo;Sifa 15 Za Kupendwa

✍️✍️👇👉SOMO: SIFA 15 ZA MWANAUME ANAYEPENDWA NA WANAWAKE AMBAZO MWANAUME UNAPASWA UZITAFUTE. Isaya:58;12✍️  2wakoritho:4;6 ✍️✍️DARASA LA WANANDOA Mwal: Pastor Richard Morogoro veta Dakawa Simu+255759861768 Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi gani wanaweza kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapenda mweyevigezo vichache. Vitafute vigezo hivi 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume ili nawe uwe miongoni mwa wanaume wenye kupendwa. ✍️✍️SIFA HIZI 1. Mcheshi 2. Kujiamini 3. Mwenye utashi 4. Anayetoa msaada unapohitajika 5. Anaetunza siri 6. Mwenye kujithamini 7. Mwenye malengo / makini 8. Mwenye mawazo mapana 9. AliyeMuwazi na mkweli 10. Anayeridhika 11. Aliyeshupavu na jasiri 12. Mwenyehuruma 13. Anaesamehe 14. Mwenye Hadhi na heshima ...

✍️✍️SOMO:HAYA NDIYO YANAVUNJA UCHUMBA AU KUSABABISHA MAHUSIANO KUVUNJIKA

✍️✍️SOMO:HAYA NDIYO YANAVUNJA UCHUMBA WAKO YAEPUKE. Mwal:Pastor Richard Nipo Morogoro veta Dakawa Simu+255759861768 👉👉DARASA LA WANANDOA Tufunue Biblia Zetu Tusome Vitabu hivi 👉 Mithali;7;6-10👉 Mithali;13;1 Hizi Ni Sababu za Mahusiano au vyazo 1. Kutokuwa na mawasiliano ya karibu na mwenzi wako. 2. Kutojali maumivu ya mwenzi wako. 3. Ubishi usiokuwa na maana. 4. Kupenda kujihesabia haki. 5. Kutokubali makosa. 6. Kutokuwa na roho ya msamaha. 7. Kutokuwa muwazi kwa mwenzi wako. 8. Usaliti wa mapenzi. 9. Kuigiza kupenda. 10. Kutomheshimu mwenzi wako. 11. Kuwa mjuaji kila kitu unajifanya unajua. 12. Kutokutambua uthamani wa mwenzi wako katika maisha yako. 13. Kuwa na jeuri. 14. Kutokuwa na kifua cha kuficha mambo ya nyumbani. [chumbani] 15. Kuto kujali watu wa nyumbani kwako [ndugu,watoto n.k] 16. Kujiamulia kufanya vitu bila ushauri wa pamoja. 17. Kutokuwa na faraja na mwenzi wako [kutokujua jinsi ya kumfariji...

SOMO;YAJUE MAKUNDI YA KUEPUKA USITEMBEE NAYO

✍️✍️SOMO ✍️WAJUE WATU WA KUWAEPUKA KABISA USIWE NAO KARIBU AU KUISHI NAO. Tufunue Biblia Zetu Tusome Vitabu hivi 👉👉 Mithali;13:14, Mithali:14:27,Ayubu;1:1-8 Ayubu:2;8 ✍️✍️UTANGULIZI✍️✍️ Katika Jamii au Marafiki au Watu waliokuzunguka Inakupasa Ukitaka Ufanikiwe Utembee Na Uwe Vizuri Kiroho Kuna Watu Unapaswa uwaepuke na Ukae Mbali nao Ili Kuponya Nafsi Yako Na Kukujibu katika mambi Yako Kuna wakati hufanikiwi kutokana Campani ya Marafiki ulionao katika kuwaomba ushauri kutembea nao. Karibu Naitwa Pastor Richard Ujifunze watu sahihi utakaotembea nao kina Elisha kina Yoshua utawajuaje waliosahihi na Kinadelila ambao SI sahihi kina Yuda au Petro uwajue kina Paulo Abinengo shadrack. ✍️✍️✍️LENGO La SOMO UPONE uwe mshindi. ✍️✍️✍️WATU WA HIVI WENYE KAULI HIZI WAEPUKE✍️ A)Kundi la Kwanza Watu...

SOMO:EPUKA WATU HAWA KUANZISHA UHUSIANO NAO

✍️✍️ SOMO;WATU WENYE KAULI HIZI WAEPUKE NI HATARI KATIKA NDOTO ZAKO NA MAISHA YAKO.✍️✍️ ✍️✍️Darasa la Wanandoa na Mahusiano Mithali;7;6-10 Kuna watu unapaswa uwaepuke na ukae nao Mbali ukiwa nao Hawa karibu watakufanya uishi maisha ya mahagaiko na mateso Tu Lakini ukiwaepuka Utajenga ndoa maisha mahusiano Yenye nguvu Nitaeleza Kauli 17 Hizi hazifai hata ukutane na watu Hawa wenye maneno au Kauli Hizi👇👇👇👇 Watu wa Aina hii huwa Hawana malengo au Kujifunza *Kauli 17 za mtu asiye na Malengo hukiri hivi 1)Sina mtaji 2)Sina Connection 3)Nitaanza rasmi kesho 4)Mimi ni wa hivihivi tu 5)Mifumo mibovu ya Serikali ndiyo inayonirudisha nyuma 6) Mke/mme/ndugu zangu Ndiyo walioniangusha/kunitenda/kikwazo 7)Kupata ni majaliwa 8)Usilazimishe mambo 9)Kuna watu special siyo mimi. 10)Sina bahati 11) kupata si uhodari nami nitapata tu. 12) Mimi ni fungu la kukosa tu. 13) muda wan...

✍️✍️SOMO:WATU WA AINA HII WAEPUKE

✍️✍️SOMO: WATU WA AINA HIZI WAEPUKE Ni SUMU KATIKA MAISHA. Mathayo;5;42-45 Mathayo : Mlango 10 36 na adui za mtu ni wale wa nyumbani mwake 1. Watu wanaohoji kila kitu Watu wanaohoji kila kitu hutafuta njia ya kupinga na kukosoa kila unachokifanya. Utatumia muda mwingi kuwaelewesha lakini watasikia kwa sikio moja na swala hilo kutokea sikio la pili. Kujaribu kutafuta msaada na ushauri kutoka kwa watu wa aina hii ni kupoteza muda. Watu hawa huwa na maswali kama vile kwanini unafanya hivi? Unapoteza muda; si jambo zuri; la fulani liliharibika; nani kakuambia ufanye; nitapata nini mimi? hauwezi kufanikiwa kwenye hili labda tafuta jingine; linahitaji fedha nyingi mno n.k. 2. Wenye wivu Safari ya mafanikio ina milima na mabonde, hivyo ni vyema kuwa na watu ambao watakuinua na kukutia moyo unapopita katika changamoto. Watu wenye wivu huamini kuwa kila kitu kizuri kinatakiwa kitokee kwao tu. Watu hawa watafurahia unapopata matatizo tu, wala hawatakusaidia...

✍️✍️SOMO:MAMBO YATAKAYOMFANYA MMEO AKUPENDE NA AKUFURAHIE KILA SIKU

✍️✍️SOMO;MAMBO YANAYO MFANYA MMEO ASIKUCHOKE AU KUCHEPUKA✍️👆👆 ✍️✍️DARASA LA WANANDOA✍️✍️ ✍️✍️Mwalimu. Pastor Richard Simu+255759861768 Tusome Waefeso;5;20-25 Kuna Mambo ambayo mwanamke unatakiwa uyafanye unapokuwa kwenye ndoa Yako ili Umfanye Mmeo Akufurahie na Ajivunie Kukuoa wewe na Haya yafatayo ukiyafata ndani ya ndoa utaiponya ndoa Yako Karibu Tujifunze na Tujenge ndoa Zetu. 1. Anaporudi kutoka kazini, safarini au kwenye shughuli yoyote iliyowatengenisha, anza kwa salamu nzuri. 2. Unapompokea au kukutana naye basi fanya hivyo ukiwa na uso wa bashasha. 3. Vaa mavazi nadhifu. Jipambe na upake manukato kwa ajili yake. 4. Unapoanza kuzungumza naye anza na mambo au taarifa nzuri, na kama kuna taarifa mbaya subiri mpaka atakapopumzika. 5. Mpokee kwa maneno ya upendo na lugha ya kumpongeza au kumpa pole au lugha yoyote inayoonesha kumhurumia kwa k...

SOMO;WATII WANAOTUONGOZA KIROHO/KIMWILI

✍️✍️✍️SOMO: WATIINI WANAOWAONGOZA MSIWAPUUZIE NAKUWADHARAU.      Wabrania:13;10----18:(mstari;17     🎈🎈UTANGULIZI🎈🎈 Tunapaswa Kuwatii Viongozi Wetu wanaotuongoza Kiroho na Kimwili kwa Sababu Wapo hapo kwa Niaba Ya Mungu Baba Aliyeketi katika kiti Cha enzi. Tunapaswa Kutii Viongozi wetu Tunapaswa kuwaheshimu wanaokesha kutusaindia kutuongoza katika njia Sahihi. Mungu Yupo Yeye Kiongozi Mkuu AMBAYE katika uongozi wake hajawahi Kuzidiwa kitu kukitatua. Viongozi wa damu na nyama watak Naubarikiwe Naitwa Pastor Richard Napatikana Morogoro Veta Dakawa ✍️✍️FAIDA YA KUTII KIONGOZI WAKO WA KIROHO/Kimwili✍️✍️ 1:Utakuwa Umepona Kiroho na Kimwili 2:Utavuka katika Vita vingi vya Kiroho 3:Mungu atakuhudumia kwa viwango vya juu. 4;Utafanikiwa Kila Jambo kwa haraka Sana 5;Utakuwa umemtii Mungu nakumfata Mungu Maana Yupo kwa Niaba ya M...

✍️✍️SOMO✍️ NGUVU YA UFUFUO KATIKA ROHO

✍️✍️✍️SOMO: NGUVU YA ROHO WA UFUFUO NDANI YETU. 👉👉Ni wakati wa Neno la Mungu Kupitia online Kutoka Kanisa La Holy Spirit Lenye Makao makuu Morogoro Veta Dakawa Chini ya Muasisi na mwanzilishi wa Page ya Moto wa Yesu na Kanisa la Holy Spirit Ministry Tanzania Richard Julius Kushoka Nawakaribisha Leo Tunataka Tujifunze Nguvu ya Roho wa ufufuo Ndani yetu huyu Roho Anavyotenda kazi KUFUFUA Mambo yaliyokufa yanaanza kuwa mapya. ✍️✍️Chukua Notbook na Biblia Yako Unayeandika Tufunue Biblia Zetu Tusome Vitabu 👉👉Mathayo;22;22👉👉LUKA;14;14👉👉Yohana:11:15-25👉👉Matendo:24;15-18👉👉Waebrania;11:35                     ✍️✍️UTANGULIZI✍️✍️ Karibu Mtoto wa Mungu Leo Tunataka Tujifunze/Tufundishwe na Roh...

SOMO:WAJUE HAWA MAJINI

✍️✍️👉SOMO: WAJUE MAJINI WANAOTUMIWA NA MANABII WA UOGO  KUTENDA MIUJIZA NA WATAWALA WA NCHI NA WAFALME KUTAWALA NCHI NA DUNIA Tusome;Methali;3;14,. 2wakoritho;10;5 ✍️✍️✍️Inasikitisha Kuona Shetani Kainua Watumishi na Manabii wa Uogo ambao wameipoteza kweli Ya Yesu nakutumia nguvu za ngiza na roho za Mashetani Kutenda miujiza Mbalimbali Na Watu wamelikana Neno la Bwana Wameamua kumuacha Bwana Ndani Yao wamechukia Elimu ya kuwafungua nakuwaponya katika Neno la Mungu Roho Mtakatifu wamemchafua nakumkasirisha nakuondoka Ndani Yao nakuwaacha wajiongoze kwa akili zao wamesema Sisi Tunaakili na Tunajua nakuona. Karibuni Naitwa Pastor Richard Mtumwa wa Bwana Yesu niliyetumwa kwa Ajiri ya kila Mmoja mpagani mkristo mfia dini na Alifungwa na mtazamo wa kidini Kupitia Masomo haya au Elimu hii itamponya. Naishi Morogoro veta Dakawa Facebook MOTO wa Yesu Google Tovoti www.mchungajirichardi.blogospot.co ✍...

SOMO;FIKIRIA KABLA HUJAAMUA

✍️✍️🙄✍️✍️✍️SOMO: UNATESEKA KWA KUWA UNAFANYA VITU BILA KUFIKIRIA ANZA KUFIKIRI LEO. Tufunue Biblia Zetu Tusome Vitabu hivi 👉👉 2Samweli;14:10_25 AYUBU;34:20_30 👉👉👉 UTANGULIZI ✍️✍️ Shaloom Watoto Wa Mungu Nikipindi Cha Neno la Mungu katika ROHO MTAKATIFU Linalokuponya nakukufungua Jitaidi Tu Kuliishi Neno la Mungu Nawe hautateseka Tena ✍️✍️✍️Kuna watu muda huu wanapitia maumivu makali wanapitia maisha magumu wanateseka kwa kuwa walifanya vitu vyao bila kukaa chini wakatuliza akili zao kufikiria wanachoenda kukifanya Wakakurupuka tu kwakuwa wamekaa muda mrefu na uhitaji huo. Tunamuona mfalme Aliyekuwa mtawala lakini alikuwa Anapenda kufanya Maamuzi bila kufikiria 2Samweli;14;10...... Pia Tunafanya Maamuzi bila kujua Mungu Yupo kukangua nakutuangalia Sisi watoto wake Nini Tunafanya mienendo yetu Tunatenda mien...

SOMO;Wajue majini watatu

✍️✍️SOMO: WAJUE MAJINI WATATU WANAVYOKUFUNGA 1;Anayesababisha magonjwa ya kuabukiza 2;Anayewaletea Usingizi Alfajiri wakati wa Adhana nakuwafanya wasiombe 3:Anaetumiwa na wabaya kukuagalia mwili wako unakinga au Upo hutengemei chochote umesimama na Yesu. ✍️✍️Elimu hii inakufanya uwajue MAJINI Hawa nakazi zao katika Uharibifu wa mwili wako ili usimame na Maombi Tu. ✍️✍️✍️✍️ Tufunue Biblia Zetu Tusome Vitabu Hivi na Mistari Kisha Kama unao wanakutesa kwenye mwili wako chukua maamuzi ya kuomba wiki moja ukiharibu na kuwapinga Waachie mwili wako. Vitabu; Mithali;4;13 ✍️Isaya:29;24✍️Mithali;1;5✍️2Timotheo:2;23 Mithali;16;23 ✍️✍️✍️ UTANGULIZI✍️✍️ Watu wengi wamekuwa wakitamani waombe Alfajiri na Wanashagaa unaingia uvivu wa kuomba usingizi mzito halafu wanaanza kuletewa mandoto n...