✍️✍️SOMO✍️ NGUVU YA UFUFUO KATIKA ROHO
✍️✍️✍️SOMO: NGUVU YA ROHO WA UFUFUO NDANI YETU.
👉👉Ni wakati wa Neno la Mungu Kupitia online Kutoka Kanisa La Holy Spirit Lenye Makao makuu Morogoro Veta Dakawa Chini ya Muasisi na mwanzilishi wa Page ya Moto wa Yesu na Kanisa la Holy Spirit Ministry Tanzania Richard Julius Kushoka Nawakaribisha Leo Tunataka Tujifunze Nguvu ya Roho wa ufufuo Ndani yetu huyu Roho Anavyotenda kazi KUFUFUA Mambo yaliyokufa yanaanza kuwa mapya.
✍️✍️Chukua Notbook na Biblia Yako Unayeandika Tufunue Biblia Zetu Tusome Vitabu 👉👉Mathayo;22;22👉👉LUKA;14;14👉👉Yohana:11:15-25👉👉Matendo:24;15-18👉👉Waebrania;11:35
✍️✍️UTANGULIZI✍️✍️
Karibu Mtoto wa Mungu Leo Tunataka Tujifunze/Tufundishwe na Roho Wa Ufahamu Juu ya kujus Nguvu ya ufufuo Nini na Inatusaidiaje katika Kipindi ngani hapa katika SoMo siongelei Ufufuo au Kuzungumzia Mambo ya kimwili Labda Kama unavyoona watu wanasema wanawafufua wafu au kitu kilichokufa hapana Tupo Hapa Kufundishana NGUVU YA UFUFUO NDANI YETU
Wapo watu wamekufa kiroho Wapo watu wamekata tamaa Wapo watu ambao Mambo Yao yamekufa Kazi zao Zimekufa Wegine Maono Yap yamekufa wanahagaika tu Sasa ili wasimame Tena wanaitaji Nguvu itakayofufua Tena Mambo Yao Tena bila KUFUFUA ndoto zao zitaishis njiani Tunaitaji Tufufue maombi Yetu tusife kiroho au kimwili maana ukifa kiroho huwezi pinga hatua yoyote kimwili utabaki utumwani
Tuendeleee Pamoja Kujifunza...
✍️✍️LENGO LA SOMO: KUFUFUA na Kurudisha Mambo Yetu yaliyokufa kimwili na kiroho.
✍️✍️Dhima Ya SOMO: Kuwaweka huru waliokufa kiroho na kimwili wasimame Tena.
✍️✍️Walengwa Watu wote Lika Kuanzia umri Miaka 16-70
✍️✍️ Nguvu ya ufufuo Ni Nini?
Ni roho inayomfanya mtu azidi kuwa wa thamani kiroho na kimwili. Inaleta uthamani wa kila kitu ufanyacho kinaonekana kwa watu kinathamani hata Kwako
Maana nyigine Tunaweza kusema Ni nguvu ya KUKIFANYA kisichokuwa
Na thamani machoni pako pawe na thamani.
✍️✍️ KUNA MAKUNDI (2)YA NGUVU YA UFUFUO✍️✍️
1;Nguvu ya KUFUFUA Mambo ya Kimwili TU.
2;Nguvu ya KUFUFUA Mambo ya Kiroho TU.
✍️✍️ NGUVU YA KUFUFUA MAMBO YA KIMWILI TU.
Hii huwa Nguvu inayomuwezesha mtu kufufua Mambo ya Kimwili tu yaliyo kufa.
Mfano; mipsngo imekufa. Mahusiano yako yamekufa.Nk
✍️✍️ FAIDA YA WEWE KUFUFUA MAMBO YAKO YALIYO KUFA KIMWILI✍️✍️
1:Utayafanya Malengo yako yatimie kwa nguvu ya Ajabu.
2;Utatimiza Maono yako na mipango yako katika Nguvu ya Ajabu.
3:Utafanikisha kufikia Kama ulivyojipangia katika maisha yako
4;Utasitawi kimwili na kuheshimika Tena.
5;Utakuwa wa thamani machoni pa watu
✍️✍️HASARA UTAKAZOZIPATA USIPOFUFUA MAMBO YAKO YALIYO KUFA KIMWILI ✍️
1;Utafanya uwe na Malengo na mipango isiyotimia
2;Hutatimiza Maono yako yatakufa.
3:Hutafanikisha kufikia ulipojipangia utashindwa kizebe.
4;Utakufa kimwili na Kudharaulika na kila mtu kila lika
5;Hutakuwa na thamani Tena kwa watu Wala kwa chochote ufanyacho.
🙏🙏TUNAOMBAJE KUTOKA HAPA🙏🙏
Kwanza Tunapaswa Tujue Mambo ngani yamekufa kimwili na yanatutesa
Mfano; Unateseka unaanzisha uchumba unakufa au Biashara ukifanya inakufa. Nk
Unaomba hivi👆👆MIFANO UNAVYOTAKIWA UOMBE
A.Ninazika ile roho inayoyafanya mahusiano yangu yanakufa Natuma Ndani ya Roho wa Ufufuo Akayafufue yaanze upya katika jina la Yesu 🙏
B.Nazika Magonjwa nafufua Afya Ndani yangu Nazika uchumba usiodumu nafufua Uchumba wa kudumu mpaka ndoa nitafika Nazika roho ya kufirisika Nafufua roho ya Biashara yangu Kusimama Nazika kutokuuza nafufua mauzo kwenye kazi yangu katika jina la Yesu
Maombi haya Ni maombi ya Vita Unatakiwa uombe Kinywa chako Maneno yakaze yatoke kwa Amri usiombe kwa ulengevu.
Zika kila kitu kinachokutesa kimwili ufufue jinsi unavyotaka uwe mfano Kama👆👆👆
✍️✍️✍️👊 NGUVU YA UFUFUO KATIKA ROHO👊👊👊
Hii tunashughulikia Mambo yote yaliyokufa Kiroho Ndani mwetu.
✍️✍️ FAIDA YA KUFUA MAMBO YAKO YALIYOKUFA KIROHO ✍️✍️
1:Utakuwa Kiimani nakuongezeka kila siku.
2;Utavikwa utukufu na heshima ya kipekee
3:Unafanikiwa kiroho na kimwili.
4;Utakuwa kivuko kuwavusha wegine wanaoteseka(mfano Yesu alipofufuka amefanyika kivuko Cha Wegine)
5:UTASHINDA kila kitu na Utakuwa salama Kiroho na Kimwili Utakuwa Ushuhuda na Bwana Atajivunia Wewe.
✍️✍️HASARA UTAKAZOZIPATA USIPOFUFUA MAMBO YAKO YALIYO KUFA KIROHO ✍️
1;Utaonewa Kiroho na Matatizo,magonjwa,laana, Madhabahu, wachawi,MAJINI,mapepo,mizimu,no
2;Utavikwa utukufu wa matatizo na Vifungo nakupingwa kiroho ovyo ovyo Mara Hili mara lile.
3;Utakufa Kiimani na Tumaini Pia Utakuwa unamuomba Mungu hajibu kutokana umezingirwa kiroho umepingwa.
4;Hutakuwa Kivuko Wala Hutakuwa na nguvu yakuwashuhudia wegine
5; Utashindwa kiroho na Kimwili Shetani Atajivunia wewe kukutumia na kukatisha tamaa Utakuwa anjeti na mfuasi wa Shetani wakuagusha wegine kiroho na kuwavunja moyo.
✍️✍️UNAOMBAJE SASA AU UNATOKAJE KAMA UMEKUFA KIROHO ✍️
Kwanza Tunapaswa Tujue Mambo yaliyokufa Kiroho Ndani mwetu
Mfano; UMEKUFA Kiimani ,Imefikia Kipindi huamini Mungu Anatenda,Unahofu,Hasira,nk
A:Nazika Imani Iliyokufa nafufua Imani Yenye majibu,Nazika hofu nafufua Imani Ndani yangu,Nazika kutokuomba Nafufua maombi Ndani yangu,Nazika Mateso nafufua Uhuru Ndani yangu,Nazika wachawi wore nafufua malaika wazingire nyumba yangu utukufu uzingire nyumba yangu.nk
Hakikisha unazika nakufufua Yale yaliyokutesa.
✍️✍️✍️HATUA ZA KUFATA KABLA HUJAOMBA
1;Uwe na utiyari
2;Utaomba Jumapili Jioni Mudaa Saa kumi 10:00 Jioni mwisho 12;00
3;Kila Jumapili unaweza Omba Mara tatu kila Jumapili.
4;Kabla ujaomba abudu au imba tenzi nyimbo za wokovu au tumwabudu.
5;Kabla ujaomba haya Omba roho wa Maombi karibu roho wa Maombi ya Vita Ndani yangu uniongoze.
✍️✍️✍️ Hitimisho✍️✍️
Tunapaswa Tupende Maombi na Neno la Mungu tuwe na muda tujitengee kuomba Nakuombea kila kitu.
Tuwashirikishe wegine wafunguliwe Waunge katika page ya Facebook au WhatsApp za Pastor Richard watu wafunguliwe Utakuwa umeponya roho za watu.
✍️✍️Wito✍️✍️
Kama bado hujampokea Kristo kuwa kiongozi wako piga Jioni Simu ya Pastor Richard +255759861768
Maoni
Chapisha Maoni