SOMO;WATII WANAOTUONGOZA KIROHO/KIMWILI
✍️✍️✍️SOMO: WATIINI WANAOWAONGOZA MSIWAPUUZIE NAKUWADHARAU.
Wabrania:13;10----18:(mstari;17
🎈🎈UTANGULIZI🎈🎈
Tunapaswa Kuwatii Viongozi Wetu wanaotuongoza Kiroho na Kimwili kwa Sababu Wapo hapo kwa Niaba Ya Mungu Baba Aliyeketi katika kiti Cha enzi.
Tunapaswa Kutii Viongozi wetu Tunapaswa kuwaheshimu wanaokesha kutusaindia kutuongoza katika njia Sahihi.
Mungu Yupo Yeye Kiongozi Mkuu AMBAYE katika uongozi wake hajawahi Kuzidiwa kitu kukitatua. Viongozi wa damu na nyama watak
Naubarikiwe Naitwa Pastor Richard
Napatikana Morogoro Veta Dakawa
✍️✍️FAIDA YA KUTII KIONGOZI WAKO WA KIROHO/Kimwili✍️✍️
1:Utakuwa Umepona Kiroho na Kimwili
2:Utavuka katika Vita vingi vya Kiroho
3:Mungu atakuhudumia kwa viwango vya juu.
4;Utafanikiwa Kila Jambo kwa haraka Sana
5;Utakuwa umemtii Mungu nakumfata Mungu Maana Yupo kwa Niaba ya Mungu mwenyewe
✍️✍️HASARA USIPOTII KIONGOZI WAKO ✍️✍️
1: Utakuwa umekufa Kiroho na kimwili
2;Utashindwa katika Vita ya kimwili na Kiroho.
3:Shetani Atakuhudumia kwa viwango vya juu.
4;Utakula Hasara Kila ufanyacho kitaharibika.
5; Utakuwa umemtii Shetani Nakumfata Shetani maana Upo kwa Niaba ya Shetani sio Mungu.
✍️✍️HITIMISHO✍️
Kama huwa hutii viongozi wako wanaokuongoza Kupitia Somo Hili upone na ubadilishwe Ili Umfanye Mungu Akuhudumie hapo ulipo Akuongoze hapo ulipo Akutendee hapo ulipo Umuone Bwana hapo ulipo.
Tumepatana Tuingie Maombi Siku 3 Tunapaswa Tuombee Kweli Asiwepo mwingine hawezi kuomba Kuna nguvu ya USHINDI katika Patano Shetani huongopa watu walioamua kutembea pamoja kwa Imani moja Mungu hushuka kwa haraka Sana
Nakutia nguvu katika Siku ya Leo Tunaanza Maombi Mungu Anaenda kukuhudumia kwa viwango vya juu.
Naitwa Pastor Richard
Ni Muasisi na mwanzilishi wa Makanisa ya Holy Spirit (Moto wa Yesu)
Makao makuu Yake yapo Morogoro veta Dakawa
Simu+255759861768
Maoni
Chapisha Maoni