SOMO;Wajue majini watatu
✍️✍️SOMO: WAJUE MAJINI WATATU WANAVYOKUFUNGA
1;Anayesababisha magonjwa ya kuabukiza
2;Anayewaletea Usingizi Alfajiri wakati wa Adhana nakuwafanya wasiombe
3:Anaetumiwa na wabaya kukuagalia mwili wako unakinga au Upo hutengemei chochote umesimama na Yesu.
✍️✍️Elimu hii inakufanya uwajue MAJINI Hawa nakazi zao katika Uharibifu wa mwili wako ili usimame na Maombi Tu.
✍️✍️✍️✍️ Tufunue Biblia Zetu Tusome Vitabu Hivi na Mistari Kisha Kama unao wanakutesa kwenye mwili wako chukua maamuzi ya kuomba wiki moja ukiharibu na kuwapinga Waachie mwili wako.
Vitabu; Mithali;4;13 ✍️Isaya:29;24✍️Mithali;1;5✍️2Timotheo:2;23
Mithali;16;23
✍️✍️✍️ UTANGULIZI✍️✍️
Watu wengi wamekuwa wakitamani waombe Alfajiri na Wanashagaa unaingia uvivu wa kuomba usingizi mzito halafu wanaanza kuletewa mandoto na wakati mwingine kutamani wasiinuke kila ikifumbua macho usingizi halii hiii siyo ya kukaa uichekee au upuuzie
Wapo Wegine Leo hii wanateswa na magonjwa yakuabukiza wakiagalia walivyoyapatapata hawajui wanaishia kunywa madawa nakuteseka kumbe wao Ni wazima wachawi walishawafunga minyororo ya magonjwa
✍️✍️✍️Karibu Usome Taratibu nakujifunza ili uogeze maarifa SoMo Hili linaongozwa na Roho Mtakatifu Roho wa Ufahamu kukufundisha na kukufungua utoke matesoni na SIMAMA.
MAJINI Mashetani Vibwengo nk Huwa jina Moja hizi huwa Ni roho chafu ziletazo Uharibifu kwenye mwili.
Kuna MAJINI mengi Sana na Kazi zake nyigi Sana
Suhurisho huwa Kuokoka na Kusimama tu usirudi nyuma.
✍️✍️✍️NITAENDA KUYAONGELEA MAJINI WATATU SIFA ZAO NA UHARIBIFU KADIRI ROHO MTAKATIFU atakavyonifafanulia kukuelimisha.
✍️✍️JINI:1✍️MUBA✍️
Muba: Ni jini anayetumiwa na waganga au wachawi kuwatesa watu.
SIFA ZAKE.
1:Hutenda kazi za magonjwa Kama ya hospital.
2;Hufanya mtu kufa na maradhi
3:Humtesa nakumwingia mtu Kama hajaokoka au hajasimama nakumpa maradhi mwilini.
4:Huwa Anatumiwa na watu wabaya wasiokupenda Kama KUKUTESA TU nakukufanya uchumi wako uishie kwenye magonjwa.
KAZI ZA ANAZOFANYA MWILINI/Dalili za Mtu mwenye jini Huyu
1:Anakuwa anateswa na maradhi ya kuabukiza
2:Ukoo kufa kwa magonjwa ya kuabukiza
3;Mwili kuwa na maradhi yasiyoisha
4:Magonjwa sungu kukutesa.
✍️✍️JINI;2✍️JANATUSI✍️
JANATUSI:Ni jini anayetumiwa na wachawi kukupa Usingizi mzito.
SIFA ZAKE.
1;Hutenda kazi kumfanya mtu awe anausingizi mzito Sana
2;Hufanya kazi ya usingizi tu
3;Uwezo wake hudili na wakristo Sana
4:Wegi huwafanya wasiobe na wawe wanasizia TU kwenye Maombi.
KAZI ZA ZAKE ANAZOFANYA MWILINI MWAKO/DALILI ZA MTU ANAETESWA NA JINI HUYU.
1:Kusiziasia ovyo
2:Alfajiri ukuwa mzito Kuinuka pia Unashindwa hata kuomba
3:Ukiaza Maombi utapiga miayo kuchoka usingizi mwingi unakukuta
4;Kuona waumini kanisani wanasinzia tu.au darasani
✍️✍️JINI;3✍️MAKITALA✍️
MAKITALA: Ni jini anayetumiwa na wachawi kuharibu Kinga za mwilini mwako.
SIFA ZAKE
1:Anawatesa Sana Watu ambao hawajaokoka na Kusimama.
2;Anaharibu Kinga zako mwilini.
3Anasababisha Kinga zako zishwinde kufanya kazi.
KAZI ZAKE ANAZOFANYA MWILINI/DALILI ZAKE MWILINI
1;Maradhi na home zisizoisha
2:Kuteswa na wachawi kwenye mwili wako.
3;Kuabukiwa magonjwa nakupanda magonjwa.
✍️✍️HITIMISHO✍️✍️
Kinga na Tiba ya matatizo Kama haya okoka TU na SIMAMA katika wokovu mapepo na MAJINI hayatakuweza
✍️✍️✍️WITO✍️✊
Shughulikieni kuwapinga na kuwaondoa katika Mazingira ya kwenye nyumba zenu ndoa watoto nk
Naitwa Pastor Richard
Nipo Morogoro Veta Dakawa
Simu+255759861768
Maoni
Chapisha Maoni