SOMO;FIKIRIA KABLA HUJAAMUA
✍️✍️🙄✍️✍️✍️SOMO: UNATESEKA KWA KUWA UNAFANYA VITU BILA KUFIKIRIA ANZA KUFIKIRI LEO.
Tufunue Biblia Zetu Tusome Vitabu hivi 👉👉 2Samweli;14:10_25 AYUBU;34:20_30
👉👉👉 UTANGULIZI ✍️✍️
Shaloom Watoto Wa Mungu Nikipindi Cha Neno la Mungu katika ROHO MTAKATIFU Linalokuponya nakukufungua Jitaidi Tu Kuliishi Neno la Mungu Nawe hautateseka Tena
✍️✍️✍️Kuna watu muda huu wanapitia maumivu makali wanapitia maisha magumu wanateseka kwa kuwa walifanya vitu vyao bila kukaa chini wakatuliza akili zao kufikiria wanachoenda kukifanya Wakakurupuka tu kwakuwa wamekaa muda mrefu na uhitaji huo.
Tunamuona mfalme Aliyekuwa mtawala lakini alikuwa Anapenda kufanya Maamuzi bila kufikiria 2Samweli;14;10......
Pia Tunafanya Maamuzi bila kujua Mungu Yupo kukangua nakutuangalia Sisi watoto wake Nini Tunafanya mienendo yetu Tunatenda mienendo bila kufikiria Tunapata Faida mbele au Hasara juu ya njia tulizoamua kuzifuata.
✍️✍️✍️ LENGO Kuu la SOMO;
Tuanze Kufikiria natujue Kuwa njia Tulizonazo na Mienendo Yetu Inatupa Faida au Hasara maana Kama Ukitenda bila kufikiria utakuwa na Hasara sio Faida.
✍️✍️✍️DHIMA YA SOMO✍️✍️Kufanya watu waliokombolewa katika Maamuzi Yao.
✍️✍️✍️🙏 MAANA YA KUFIKIRIA
Ni hatua ya kuyachunguza Maamuzi ufanyapo kabla hujachukua hatua kufanya.
🙏✍️FAIDA YA KUFIKIRIA✍️✍️
1:Utafanya Mambo yanayoonekana ya maana.
2;Utajiepusha na maumivu yasiyo ya lazima
3:Utapata kitu Sahihi wakati Sahihi.
4:Utakuwa Kivutio Cha Wegine Kuinga njia yako nzuri.
5;Utakuwa mshindi wa mitengo ya Shetani.
🙏✍️HASARA ZA KUTOKUFIKIRIA✍️🙏
1;Utafanya Mambo yaonekane kwa watu hayana maana.
2;Hutakuwa mfano na wakuingwa katika jamii au watu.
3;Utashindwa kufikia Lengo au Kutimiza ndoto ulizojiwekea
4;Utanaswa na mitengo ya Shetani haraka na Atakutumia kuwa wakala bila kujijua.
5;Hutakuwa na Ushuhuda Mzuri kwa Wazazi wako na Ndugu hata katika jamii.
Tunaitaji Tufunguliwe Tu hapa Sisi Kama Washindi na Watoto Wa Kifalme Miliki ya Dunia Yote na Kila Tunachokiona kizuri Ni chetu Ili Tusimame Imara Basi Inatupasa Fikira Zetu Ziendane na uthamani wetu wa hadhi Yetu Tuliyopewa na Mungu Neema hii ya Wokovu Tumeipata ili Tuwe Kivutio Cha yule aliye nje ya Wokovu.
Haijarishi ulivyo Anza kufikiria TU Mambo makubwa na USHINDI Acha kuhesabu majira
Ninayekuandikia Walaka Huu Ninaitwa Pastor Richard Ni mtumwa wa Kristo kwa watu wote na mataifa Yote kuponya nakuwafungua watu Kupitia Masomo TU
HITIMISHO;
Tumuombe Mungu;
Baba wa Neema Ya Yesu Kristo iliyokuja Kwetu ikajenga Misingi Yenye nguvu ya USHINDI Tunakuitaji watoto wako wa Kanisa la Moto wa Yesu Kupitia Mitandao Mbalimbali iliyotuunganisha Tuwe kanisa na pia hata makanisa Yote ya kanisa Hili na makao makuu yako Morogoro veta Dakawa Tuma Roho Mtakatifu akawahudumie watu wako katika Neno lako katika jina la Yesu 🙏🙏🙏🙏
✍️WITO✍️✍️
Kwa unayetaka kumpokea Kristo kuwa kiongozi wako nipigie Simu Jioni Pastor Richard Simu yangu+255759861768
Maoni
Chapisha Maoni