Somo;Sifa 15 Za Kupendwa
✍️✍️👇👉SOMO: SIFA 15 ZA MWANAUME ANAYEPENDWA NA WANAWAKE AMBAZO MWANAUME UNAPASWA UZITAFUTE.
Isaya:58;12✍️ 2wakoritho:4;6
✍️✍️DARASA LA WANANDOA
Mwal: Pastor Richard
Morogoro veta Dakawa
Simu+255759861768
Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi gani wanaweza kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapenda mweyevigezo vichache. Vitafute vigezo hivi 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume ili nawe uwe miongoni mwa wanaume wenye kupendwa.
✍️✍️SIFA HIZI
1. Mcheshi
2. Kujiamini
3. Mwenye utashi
4. Anayetoa msaada unapohitajika
5. Anaetunza siri
6. Mwenye kujithamini
7. Mwenye malengo / makini
8. Mwenye mawazo mapana
9. AliyeMuwazi na mkweli
10. Anayeridhika
11. Aliyeshupavu na jasiri
12. Mwenyehuruma
13. Anaesamehe
14. Mwenye Hadhi na heshima
15;Hisia ya uadilifu.
✍️✍️ MWANAUME Ukiyashika haya Utapendwa na mkeo Mchumba au mwanamke unayengombana nae Kila siku
Kuna vitu vidongovidongo Sana hufuta upendo
Naitwa Pastor Richard
Masomo ya wanandoa
Maoni
Chapisha Maoni