Somo; UMEPANDIKIZIWA DHARAU NA LAWAMA
✍🏾✍🏾👏🏽SOMO; UMEPANDIKIZIWA DHARAU NA LAWAMA ZIONDOE LAWAMA NA DHARAU TU UTAPONA.✍🏾✍🏾
Nimatumaini Yangu Wanangu Wote Mpo Salama Kabisa Basi chukua Muda uombe Mungu nipe Ufahamu nifunguliwe na SoMo Hili Maana Masomo haya yaitaji msaada wa Roho Mtakatifu ili Uelewe Tatizo lilipo na uchukue hatua
Tufunue Biblia Zetu Tusome Vitabu hivi Mathayo:12;7 Luka:6;37 Warumi:9;19 Wakolosai;3;13 Waebrania;8;8 Zaburi:31;11 na 74;10-18,38;1_5
Kaa kimya Dakika Tano kabla hujaendelea kusoma SoMo Hili Kisha Rudi uendeleee
✍🏾✍🏾🔥🔥 UTANGULIZI🔥👏🏽👏🏽
Ushuhuda wa Mtu aliyekuwa Anapenda Kila Kitu Kulaumu akawa anaumwa presha miguu kuumwa na Kisukari Miaka MINGI hiyo Hali ilikuwa ikimtesa na akiona Wachungaji kwenye TV Anasema hawa watumishi wanaishia kanisani lakini nigekuwa na nauli nigeenda Akaja kuwaambia wanawe ambao watoto wake walikuwa wamejariwa vibarau wakampeleka kwa huyo mtumishi utaratibu wa hapo ulikuwa Kuonana Mmoja Mmoja na kumuona 70000 Alitoa Mtumishi akamwambia Mama UNATESWA na Presha ya kipepo lakini akampatia Maji na Kumwambia anywe akatumia lakini hakupata nafuu Wala mabadiliko Mama Yule Akaanza Kulalamika na Kuwa anaomba Mungu wangu niepushe na Magonjwa haya maana Sina msaada Kaa Mwenzi Nikiwa katika Ziara niliweza kumfikia Yule mama Mmoja wa wafanyakazi wa Mtoto wake alikuwa akinifatilia na Mungu akafanyika nifike aliponieleza matatizo yake Sauti ILisikika Mwambie aache DHARAU na Kulaumu Nikaanza Kumfundisha Kwa kuwa nimeangizwa Aondoe lawama na Dharau Yule mama alikuwa anadharau Sana watoto wa wengine ambao hawajasoma na Kuwalaumu watoto hawamjali Kulaumu atakufa na Magonjwa mama alipoelewa Tatizo la matatizo Yake lawama alibadilika akafunguliwa mpaka Sasa mmoja wa watoto wa Pastor Richard presha Hakuna Kisukari Hakuna Kupitia TU kujua kweli.
Kumbe hata wewe unaweza unajiliuliza matatizo yako yanasababishwa na Nini Shida ya Mateso Unapenda Lawama mno na Dharau Mtoto mdogo umekuwa na Presha hata hujawa na familia unapresha saivi je ukiingia ukawa na watoto
Karibu mwanangu Naitwa Pastor Richard Ndiye Ninayekuwasilishia SoMo Hili Shetani na Minyororo Lazima Ikuachie Leo unaenda kupona.
Tuendeleee....
Wapo watu ambao mpaka Leo wanaendelea Kulaumu wazazi au Ndoa zao au mahusiano yao au Wachungaji wao halafu Bado wanateseka baadala wawaze Kupata muafaka wa Tatizo lao wanawaishia kusema nigeli...nisige... Ongopa Sana katika maisha yako Kitu kinachoitwa Lawama maana Utaendelea kuteseka na kuhagaika kwa Sababu umembeba Lawama Hujambeba Suhurisho
Lawama siku Zote anasifa moja ya kuona mapungufu na madhaifu na kunug.unika TU bila kusema Anafanyaje Baada ya Kutokea hivyo Yeye Ndio kwanza ataaza oooh watumishi wote siku hizi waogo oooh Hakuna kupona Tena hapo mbona Mimi niliombewa sikupona oooh Mara hivi..
Watie moyo watu sio kupanda Lawama ndani Yao nao Wapokee Tatizo Kama wewe ulivyofungwa na Dharau na Lawama mpaka Leo hupokei majibu Yako sio kuwa Mungu ameshindwa shida Anataka akuone unaendelea kumlaumu Mungu kwanini Mungu Iwe Mimi Tu au Mungu wewe Kiziwi hata Ufikie hatua mpaka ukasirike na Kununa uache kwenda Kanisani Zaidi unaendelea kulifanya Tatizo lako Liwe ngumu lisiondolewe Kutokana na Dharau na Lawama.
FAIDA ZA KUTOKULAUMU NA KUJIDHARAU
1;Unaandaa upokee majibu Yako kiurahisi bila nguvu nyigi.
2;Unabadilishwa Kiwango Cha Mtazamo wako
3;Unawabariki wengine nakuwaombea
4:Utaenda hatua kubwa mpaka utajishagaa
5:Utapokea Uponyaji na Kuona Matokeo haraka
Hasara Zake Ukiendelea Kulaumu
1;Mungu anakuacha asijishughulishe nawe
2;Maombi yako unayafuta kwa Kulaumu TU yanakosa nguvu
3: Matatizo utayaona yanazidi
4;Utaombewa hutapokea Kitu
5;Unateseka usijue chazo Lawama.
Naitwa Pastor Richard
Simu+255759861768
Morogoro veta Dakawa
Maoni
Chapisha Maoni