SOMO; KIKOSI CHA MAJINI NA KAZI ZAKE
✍️✍️✍️SOMO;KIKOSI CHA MAJINI na YANAVYOMTESA MTU
Elimu hii inawasilishwa na Pastor Richard ili KUKUFANYA UOKOKE na Usimame MAJINI hayapo yapo na niroho zinazowatesa watu na familia zao.
Tufunue vitabu!;Luka;9;1-5✍️1wakoritho:10;17-25✍️Yakobo:2;19✍️1timotheo:4;1✍️Zaburi;106;37
Kuna aina nyingi za majini baadhi yake ni kama hizi chini nitayataja MAJINI na kazi zake Ili uelewe na uendelee kusimama na Yesu
1) Murafari – hili ni jini linalozuia mafanikio ya kupata fedha, mafanikio ya elimu nk.
2) Latifu – hili jini linaloleta ufukara, mateso, hata ukipata pesa matumizi yake yanakuwa ni hovyo
3) Jahari – Jini anayetumiwa kuiba mali na kuzuia biashara kustawi
4) Hasinani – jini hili ni la fujo, ulevi wa pombe, bangi na dawa za kulevya
5) Jube – jini hili linasababisha utasa
6) Subiani – jini la ajali, linasababisha wanawake kutokupata siku zao, na kunyonya damu za akina mama siku zao za hedhi ambapo wanapata maumivu makali sana.
7) Sumil – jini hili huangamiza mimba changa
8) Waidadat – jini hili husababisha wanaume kuvaa hereni kusuka nywele na kutoga masikio.
9) Alibadiri – jini la kifo, likikupata kifo hutokea wakati wowote.
10) Anzura – Linawazuia vijana wa kike na kiume kuolewa/kuoa
11) Maimuna – linawakamata wanaume wenye ndoa zao hadi ndoa inavunjika
12) Makata – linasababisha vifo vya mfululizo kwenye familia
13) Faziur – jini la maandishi. Unaletewa barua ukiisoma tayari umelikwaa
14)Subha – jini hili linasababisha mtu kuwa na kiburi sana na kujiinua.
15) Maulan – jini linalofanya watu kuwa kichaa, au mtu ananuka wakati wowote
16) Al-maul – jini hili linamfanya mtu kuwa ombaomba
17) Zuhura au Zohari – Jini la fujo
18) Araba – Jini hili linafanya mtu apende sana ubani
19) Farkh – jini hili linatumwa hasa kwa wakristo kuangalia kama ana kinga (Wokovu)
20) Baradi – jini hili likikupata basi ndoa yako ni lazima itavunjika.
21) Shamsu – jini hili huvaa umbile la binadamu kwa sura yoyote.(sasa hivi mitaani majini haya yapo mengi sana)
22) Abuni – jini wa hasira
23) Kaimu – jini la kutambua nyota za watu
24) Tajuruni – jini la utajiri wa kichawi – ni lazima utoe kafara ya mwanao, mkeo au kufanya tendo la ndoa na mama yako mzazi
25) Al-taliki – jini hili linapoteza watu katika mazingira ya kutatanisha
26) Naluju – linasimamia lugha
27) Janatusi – linatumwa alfajiri kabla ya adhana kuleta usingizi kwa Wakristo wasifanye sala
28) Riyaron – jini hili linamfanya mtu afanye kila kazi peke yake
29) Zaitun – Jini hili linasababisha wasichana kuwa na maringo
30) Ruyati – jini linalosimamia ndoto mbaya
31) Al-rahabu – jini linalosababisha hitilafu ya umeme
32) Hadharaji – jini hili linafanya kazi ya kukata kichwa cha mtu ili wapate damu
33) Anazihaji – jini hili ndilo linachukua roho yako ukifa kwenye dhambi
34) Nghruk – linasababisha maafa
35)Munkara – jini la makaburini
36) Takadhuru – jini linaloleta mali za masharti.
37) Rabindi – jini la Waislamu pekee yao ili wafanye fujo.
38) Balishebe – jini la magonjwa yasiyopona
39) Sajiduri – jini linalokusaidia kupata pesa, kisha zinapotea kwa haraka
40) Rumiran – linasimamia uwongo
41) Lairlihabi – linasimamia hofu, kutojiamini na kukata tamaa
42) Rohani – jini la mateso na fujo
43) Betrah – jini hili linasimamia mapambo, kwa mwanamke huwa anajipamba isivyo kawaida, halikadhalika mwanaume
44)Hanshari – linatumiwa sana na waarabu kulinda maduka yao
45) Walihuni – linazunguka nyumba likilinda biashara
46) Kurasih – jini la kupoteza fahamu
47) Tarik – huondoa amani nyumbani, kazini. Linafanya watu wasielewane
48) Atha – mungu wa kiarabu wa kuabudu sanamu
49) Munakir – linapoteza watu kimiujiza
50) Malik – jini la kumiliki biashara
51) Ghatabu – jini la kulainisha macho wa wanawake. Wanakuwa wanarembua
52) Khatuh – jini la uchawi wa kuchukua kucha, nywele na nguo za ndani
53) Fanken – jini hili linasimamia mtu kuzunguza kiswahili cha pwani
54) Zamzam – jini la marashi na kusimamia mikataba ya imani. Mkristo anaposilimishwa basi hutupiwa jini hili kupofushwa akili yake.
55) Mukitala – linatumwa kuangalia kinga za watu
56) Laufili – jini la uvivu
57) Al-khah – linakula damu iliyoganda
58 Abasaa – jini la hasira wivu na jeuri
59) Aherumi – jini la homa za mara kwa mara
60) Muba – jini la maradhi ya kuambikiza
61) Kamariram – jini hili linatoa kinga kwa majambazi
62) Zubiran – jini la uongo na uzushi
63) Abadi – Jini la wizi, umalaya na ujambazi
64) Muzamili- jini la matambiko ya kiarabu
65) Ruhadi – jini la wizi, umalaya na umasikini
66 Usuran – jini la wizi, umalaya, ujambazi na umaskini
67)Tubuyali – jini hili linamfanya mtu kuiba vitu vya ndani ya nyumba. Haibi nje ya nyumba
68) Zirach – jini la wizi, umalaya, ujambazi na umaskini
69) Ashuran – jini la utasa na maradhi ya akina mama
70:AFRIT_Hili huwa Nguvu na ishara ya miujiza manabii wa Uogo.
71:Marida_Hili jini hutumiwa na wafalme na Marais kuwafanya wawe na ulizi wasinguswe
✍️✍️✍️KINGA AU TIBA YA MAJINI NI KUOKOKA NA KUSIMAMA TU
TU
KAMA HUJAOKOKA YATAKUSUMBUA NA KUKUTESA SANA
👉👉✍️✍️ NAITWA PASTOR RICHARD
Nipo Morogoro Veta Dakawa
Simu+255759861768
Tovoti;www.mchungajirichardi.blogspot.com
Facebook;Moto wa Yesu
Maoni
Chapisha Maoni