SOMO: DALILI ZA MTU ANAETESWA NA UCHAWI WA MAJINI
SOMO; DALILI ZA MTU ANAETESWA NA UCHAWI WA KUTUMIA MAJINI
Tufunue Biblia Zetu Tusome;Luka:9;1-2 Hesabu;23;23 Isaya;47;10-13
✍️✍️✍️✍️ UTANGULIZI✍️✍️
Karibu ninayekuletea SoMo Hili Ninaitwa Pastor Richard nielimu inayoenda Kukusaidia Kutoka kwenye Vifungo vya kichawi maana wachawi wametapakaa kuleta Uharibifu wa maisha Yetu nasi Tunafungwa Ufahamu na kututesa endapo Tunaposua sua kusimama na Maombi Tunajikuta Tunapitia matatizo mbalimbali yanayosabambishwa na Ufalme wa WAGANGA na wachawi
Karibu Ujiagalie unazo dalili hizi Kama ndio jua wamekunasa wachawi
Tumia namba Zangu Pastor Richard unipingie Jioni+255759861768 au fika kanisani Morogoro veta Dakawa
Mara nyingi wachawi Hufanya Uharibifu na Kukufunga usiku
1;Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una mikwaruzo.
2;Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama
3;Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka
4;Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo
5:Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona
6;Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa
7;Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa
8;Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa
9;Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito
10;Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo
11;Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani
12;Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida
13:Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba
14:Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki
15;Kuongea usiku na kupiga kelele
16;Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi
17;Kuota uko msituni mara kwa mara
18;Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara
19;Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
20;Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara
21:Kuota uko makaburini mara kwa mara
22:Choo inakuwa ngumu hata kama unakula matunda na unajisaidia mavi kama ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo
23:Kutingisha baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili
24:Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho
25;Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghafla
26;Kupata stroke zisizoeleweka chanzo chake hasa ukiwa na nafasi na neema kubwa kwenye kazi au biashara au unapoishi
27;Kushindwa kuongea ghafla na kuwa bubu mtu mzima aliyekuwa mzuri kwa kuongea na kushauri watu
28;uume kurudi ndani nakuwa mdogo kama wa mtoto au pili pili na hali ulikuwa na urefu wa kawaida
29;Matiti kurudi ndani kwa mwanamke ghafla
30:Kuchukia mke au mme na kuona ana sura kama ya mbwa au mbaya na wakati wengine wanamuona mzuri sana
31;Kusinzia sana na wakati mwingine kusinzia kazini na kushindwa kazi
32:Bosi na watu muhimu kukuchukia bila sababu hata kama ni mchapakazi hodari
33:Kupenda kuzini na kulewa mpaka ukaamua kuwa wewe na zinaa, pombe, maisha ndo sehemu ya maisha yako, shetani anakuwa anakuendesha kama gari
34;Kuzama kwenye matatizo makubwa ya kimaisha mara kwa mara na mikosi inakuwa kama ndo sehemu ya maisha yako
35;Kusikia unaitwa jina lako usiku au mchana na mtu aliyekuita humuoni
36;Kushindwa ibada na kusinzia wakati wa ibada na kwenye hotuba za dini zenye kuamrisha mema na kukataza mabaya hupendi na ukiwepo unasinzia mara moja bila kutaka
Naitwa Pastor Richard
Nipo Morogoro veta Dakawa
Simu+255759861768
Tovoti;www.mchungajirichardi.blogspot.com
Maoni
Chapisha Maoni