Somo; JIFUNZE MAOMBI YA VITA vya KIROHO

✍🏾✍🏾SOMO; JIFUNZE MAOMBI YA VITA✍🏾
1wafalme;8;45-54 2wafalme:20:5   2Nyakati:7;15

Karibu Mwanangu Naitwa Pastor Richard Naekuwasilishia SoMo Hili
Lengo la SoMo Ujue hatua na unavyotakiwa uombe kupambana Vita katika ulimwengu wa roho Hali itakayokufanya ujinasue katika ulimwengu wa Vita vinavyokukabili kiroho.

Mambo Ya KUZINGATIA katika Maombi ya Vita
1;Uwe Tayari mwili wako na Akili yako Kuelekea vita ya kiroho
2:Usiwe umechokachoka au unaomba huku Upo nje ya eneo la Vita akili yako itulie.

Hatua za kufata Kabla yakuanza Maombi ya Vita;
1;Omba utakaso na Kujitakasa kwanza
2;Omba roho wa Maombi ya Vita aingie aiongoze Vita
Mfano karibu roho wa Maombi ya Vita karibu unifundishe kuomba karibu unitawale  karibu karibu

3:Omba Kujifunika mawazo akili maneno yako nk kwa Damu ya Yesu
4;Kiri ujitangaze katika ufalme wa ngiza na Anga la eneo ulipo kuwa Mimi Richard Ni Moto Tena sikia falme za majini ya kike na ya Kiume wachawi na magonjwa Yao Vifungo vyote na Kila Siri Naitangazia kuwa Mimi Pastor Richard Ni Moto ulao Ni Moto niuguzao akili Yangu Ni Moto Milango Yangu ya ufahamu Ni Moto ngozi Yangu Ni Moto Moto Moto Motoooo nachilia cheche za Moto mishale ya Moto mapanga ya Moto nawashambulia popote mlipojificha Leo hii nashusha mototo Moto

Endeleaa kuomba hutakiwi ukae unatakiwa tembeatembea na TAMKA haraka haraka Nafyeka Kila ulizi uliosimamama mbele Yangu Anga Achia Anga la magonjwa Anga la uharibifu kwa jina la Yesu pingwa pingwa pingwa Kila nguvu Kila angano Kila mapooza katika jina la Yesu Moto Motoooo Motoooo natoaa Motoooo maneno Yangu yaharibu Kila makazi Yao mitengo Yao afya zao Yesu shusha Motoooo Motoooo shusha mapanga Wapingwe marungu marungu maji ya Moto na mwanga walipokaa ndani ya mwili wangu ndani Yangu Mimi Pastor Richard Ni Motoooo

Endeleaa kuombea Kila kitu
Nateka nyara uchumi wote nauchukua katika ulimwengu wa roho hamtanishinda Mimi Ni Motoo nimewaambia Baba Yangu Ni Moto mwanae nami nami Ni Moto katika jina la Yesu wachawi Achia uchumi wangu majini mlioshikilia Pesa Zangu Biashara Zangu makampuni Yangu Achia katika jina la Yesu

Endeleeeaaa kuwapinga wanaog,ag,ania wanajificha
Nawapinga kwa jina la Yesu pondwa pondwa pondwa nabomoa naharibu ushirikiano wao nguvu zao Yesuuuu naachilia majeshi majeshi majeshi ya Vita siraha zote za kivita Napinga mtatoka mtaachia tu Leo mtaachia Mimi Richard nimewaambia siguswi Ni Motoooo wa Yesu nawapinga kwa jina la Yesu.Ameni

Ukimaliza Sasa Kuomba
Nafunika Maombi haya Nafunika kwa Damu ya Yesu nayatawaliwe na Motoooo na Hakuna hata Neno moja litakalopotea katika jina la Yesu

Naitwa Bishop Richard
Muasisi wa Makanisa ya Moto wa Yesu
Holy Spirit Ministry Tanzania

Nipo Morogoro_Tanzania
Simu+255759861768

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.