SOMO; NDOTO YAKO IJUE INAMANA GANI
⌚⌚ *IJUE NDOTO YAKO INAAMANA NGANI⌚⌚
Maana YA NDOTO
* 👉🏽👉🏽👉🏽Ndoto huwa Taarifa unayojulishwa juu ya kitu kilichopo au kijacho au kilishapita.
👉🏽👉🏽Lengo :Wewe ujue Nini walikufanyia ufalme wa ngiza au kujua Mungu Anataka Ufanye Nini na ukaaje ili ndoto YAKO itimie
;👉🏽👉🏽Kuna minyororo MINGI na chazo Cha wewe Kupigwa na kuharibika kwa maisha yako Ni Vita katika ulimwengu wa ndoto wachawi mapepo majini waganga wanakuinjia kwa mbinu na muonekano mbalimbali kwa Lengo ya kukuharibia maisha yako nyota yako na wanakuzidi nguvu kwa kutokujua Sasa Utajua Siri zao na utafunguliwa.
👉🏽👉🏽👉🏽Naitwa Pastor Richard Ninayekuandalia Somo hili litakalokuweka huru na matatizo Yako Pia Simu yakuongea nami+255759861768 piga mida ya saa:12;00-8;00 usiku kuhudumiwa kwa wanaoteseka na ndoto
👉🏽👉🏽 WhatsApp+255759861768
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻Danieli;2;17_40👇🏻👇🏻👇🏻Tusome:Mwanzo:37 Ayubu;33;14_15👉🏽👉🏽👉🏽Daneli : Mlango 2
36 Hii ndiyo ile ndoto, nasi tutaihubiri tafsiri yake mbele ya mfalme👉🏽👉🏽Tukisoma Daniel tutajua ndoto ilivyoleta unabii wa Mambo yaliyokuwa yanaenda kutokea
1;Ndoto Ukiota Unavuka kwenye maji unazama✓✓Unajulishwa Wachawi wanaendakukushinda sababu wamepanda roho yakukata tamaa kwa unayofatlia
2:Ukiota Unapita Kwenye Maji machafu✓✓Unajulishwa Unaunganishwa kwenye mtandao wa kichawi Usiendelee kusaidiwa
3:UKiota unakula vyakula mfano nyama Wali chipsi ugali nk✓✓Unajulishwa Unaunganishwa kwenye Magonjwa ya Ajabu Ajabu TU na wachawi huwa kazi Yao.
4:Ukiota mgonjwa au Upo hospital ✓✓Unajulishwa Wachawi Wanakuuganishia roho ya ugonjwa wa kulazwa utaenda kulazwa.
5;Ukiota Unaachana na mmeo/Mkeo/Mchumba✓✓Unajulishwa wachawi wameunganisha roho ya kwenda kuwaachanisha inaweza kutokea na usielewe kumbe Mungu alikuambia
6:Ukiota Misimba ya Mtu unaemjua amekufa✓✓Unajulishwa huyo mtu muombee wanaenda kumchukua msukule wachawi.
7;Ukiota Upo msimbani unalia✓✓Unajulishwa unaenda Kupokea Taarifa za msimba ulioandaliwa na Shetani wachawi
8;Ukiota Upo kwenye ndoa au Ndoa✓✓Unajulishwa wachawi wamekufunga usiolewe au Kuoa
9: Ukiota Upo Unavishwa Pete✓✓Unajulishwa Umeunganishwa na mtandao kwenye Kidole Chako usifikie kuvishwa Pete na wachawi
10:Ukiota Upo Unafanya mtihani✓✓Unajulishwa Wachawi wamekufunga na vitu vingi kwa Siri (Ndoto zote zinazohusisha mitihani au Upo chumba Cha mtihani)
12:Ukiota Upo shule ya msingi✓✓Unajulishwa wachawi walikufunga toka ukiwa shule ya msingi walishakuchukua nafsi yako.
13;Ukiota Upo Secondary✓✓Unajulishwa ukiwa seco wachawi walikufunga toka hapo Tatizo ndio lilianzia unayoyaona Ni Matokeo
14;Ukiota Upo mazingira ya shuleni✓✓Mungu hulenga kukujulisha wachawi au majini yalipoanzia kukufunga wewe. (nafsi wanakuwa wamekuchukua
15:Ukiota unakunywa vinywaji kwenye ndoto✓✓Unanyweshwa sumu za kichawi na wanakuwa wamekuuganisha
16;Ukiota Unapambana na Upigana sana✓✓Unajulishwa Upo na wachawi unashindana nao usiku Kama mtu Huyu umelala nae ukamuona anahagaika omba kemea umsaidie hiyo vita.
17:Ukiota Upo Unaachwa na Usafiri✓✓Unajulishwa Wanainzuia Huduma yako wachawi ombea Huduma yako
18:Ukiota Unaendesha Usafiri✓✓Unajulishwa wamefungwa uwezo wakusimamia Huduma yako Kazi yako ombea hapo adu kashika
19;Ukiota Unaoga Upo uchi✓✓Unajulishwa wameivua heshima yako wewe watu hawatakuona thamani popote uendapo.
20:Ukiota Unaoga na umevaa nguo✓✓Unajulishwa heshima yako wamekuuganisha kwenye mtandao wao.
21:Ukiota Umevaa viatu tofauti miguuni✓✓ Unajulishwa wamekufunga miguuni mwako katika hatua zako za maendeleo.
22:Ukiota Upo unajisaidia haja ndogo au kubwa✓✓Unajulishwa wamekuunganisha wachawi vitu tumboni vinatakiwa vitoke
23:Ukiota Unapaa hewani✓✓Unajulishwa Umeunganishwa na chama Cha kichawi unatakiwa Ufuguliwe
24; Ukiota Wadudu wanaotambaa kwenye ndoto✓✓Unajulishwa Umeunganishwa na mtandao wa kichawi Kupitia mdudu uliyemuota huyo.
25:UKIOTA NYOKA YOYOTE UWE WANAKUKIMBIZA UNAKANYANGA NYOKA BARABARA YOTE NYOKA:✓✓UNAJULISHWA WACHAWI Walikuaganisha Kupitia Nyoka Mtandao unaotakiwa unasuriwe Ni hapo.
26:Ukiota unafeli interview✓✓Unajulishwa wachawi wamejiandaa kwenda kufunga usivuke
27;Ukiota umechomwa Sindano✓✓Unajulishwa wanakuuganishia magonjwa wachawi
28;Ukiota Unafyozwa kwenye ndoto ✓✓Unajulishwa wachawi unawaharibia kazi Yao endelea kuomba
29:Ukiota Mchumba wako kwenye ndoto✓✓Unajulishwa Wachawi wanamtumia kukupata wewe kwa Mambo mbalimbali
30:Ukiota Unaokota Pesa au unaona Pesa✓✓Unajulishwa wachawi wameshika kwenye uchumi wamekuuganishia roho ya kufirisika.
31:Ukiota Unanyonyesha wakati huna mimba✓✓Unajulishwa wachawi wamekufunga usizae au wanakutumikisha kuwa Unanyonyesha watoto
32:Ukiota Upo na wachanga au watoto wakati huo huna mtoto mchanga✓✓Unajulishwa wewe Umeunganishwa kichawi usishike mimba
33;Ukiota Mchumba uliyeachana nae mme/Mke mmerudiana au amekuomba msamaha wakati huo hufikiri hivyo✓✓Unajulishwa wachawi walitaka kuwaachanisha lakini wameshindwa atarudi kweli.
34:Ukiota Unazini kwenye ndoto✓✓Unajulishwa wachawi wamekuunganishia mtandao na sura ya Wewe kuzini tu sio Kuoa au Kuolewa Kama Unakuwà umeolewa/Umeoa ukaota ndoto hii ujue inakujulisha utatoka nje ya ndoa lakini hiyo roho au kifungo wachawi wamekuunganishia.
35:Ukiota Umevaa nguo chafu✓✓Unajulishwa wachawi wamekuuganisha roho ya mateso Kila uendapo
36:Ukiota Mtu Aliyekufa✓✓Unajulishwa huyo mtu wachawi walimchukua msukule hajafa
37;Ukiota Unahubiri injiri✓✓Unajulishwa wachawi wameifunga Huduma yako ya kuhubiri Wala usiaze kutumika
38;Ukiota Umeokoka Nawe hujaokoka✓✓Unajulishwa ili uwashinde wachawi uokoke na usimame tu kwenye wokovu.
39;Ukiota Upo kijijini kwenu✓✓Unajulishwa wachawi walianzia kukuunganisha na mtandao wa kuharibu maisha yako Ni kijijini Kwenu chazo.
40;Ukiota Upo kwenye barabara unatembea✓✓Unajulishwa Tatizo lilianzia ukiwa unatembea wachawi walikuunganisha.
41:UKiota Mfanyakazi wako au Mfanyabiashara mwezako✓✓Unajulishwa wachawi walimtumia huyo kukuunganisha kwenye mtandao wa kuharibu kazi Ndoa Biashara nk.
42:UKiota Unakonjoa/unajisaidia haja kubwa✓✓Unajulishwa Umeunganishwa kwenye milango hiyo mtandao wa kichawi.
43:Ukiota unatoa vitu Kutoka kwenye mwili wako✓✓Unajulishwa mwili wako Umeunganishwa kichawi.
44: Ukiota Unatoa Pesa Unapokea Pesa✓✓Unajulishwa uchumi wako umeshikiliwa na wachawi unawag.ag.ania.
45:Ukiota Unapiga simu✓✓Unajulishwa atena na network unakata wameunganisha mtadao wakushindana nawe kwenye Maombi.
46:Ukiota Upo kwenye mahindi shambani✓✓Unajulishwa shamba lako limeunganishwa kuharibu mazao.
47:Ukiota Unavua Samaki✓✓Unajulishwa Umeunganishwa kuharibu Huduma yako ya uijirist.
48;Ukiota Unakimbizwa na g,ombe✓✓Unajulishwa Umeunganishwa na matambiko ya mizimu Yenu.
49;Ukiota Unaona mbwa katika ndoto yako✓✓Unajulishwa Umeunganishwa katika Uzinifu na kuvunja mahusiano yako.
50; Ukiota unasifu✓✓Unajulishwa unamoyo wa sifa Mungu Amekuweka.
51:UKiota Upo unafua nguo✓✓Unajulishwa unatembea katika mabadiliko makubwa
52: UKIOTA Unaenda Kutembelea shamba kijijini✓✓unajulishwa usirudi kutembea katika njia ya nyuma
53:Ukiota Unaona watu wageni Mazingira megeni ✓✓Unajulishwa wachawi wanajitaidi kupambana nawe.
54:Ukiota Unaumwa mpaka umelazwa au Ukamuotea mtu hivyo✓✓Unajulishwa Kuna roho ya Magonjwa inakufatilia.
55:Ukiota Unakimbizwa na wanyama wa porini✓✓Unajulishwa unafatiliwa na roho za majini
56:Ukiota Unatembelewa na Wadudu Usiku🥦🥦Unajulishwa unaunganishiwa roho za magonjwa na wachawi.
57:Ukiota Unasafisha chooni🌳🌳Unajulishwa tubu na kumrudia Mungu wako
58;Ukimuotea mtu unamuona anazini kwenye ndoto halafu unatazama🌴🌴 Unajulishwa Umuombee roho ya UZINIFU inamtesa
59;Ukiota Unaendesha gari🌴🌴Unajulishwa unahudumu Mtumikie Mungu katika uchungaji.
60:Ukiota Unavua Samaki wakubwa🌴🌴 Unajulishwa unahuduma ya uijirist ambayo itumie.
61:Ukiota unalazimishwa kuzini au kufanya mapenzi kwenye ndoto🌳🌳 Unajulishwa Wewe unatabia ya Kumkosea Mungu ukishakosa katika dhambi ya uzinifu unaumia Unaitaji ufunguliwe
62:Ukiota kwenye ndoto Upo Umevaa taiti chupi boxer au pesi huku juu hujavaa Kitu🌳🌳 Unajulishwa nguvu zako zimepungua utukufu ndani yako umetoweka.
63;Ukiota ndoto unaota mtu anakuonya au Anakukemea kwenye ndoto 🌳🌳 Unajulishwa katika roho anakupinga Vita nakushindana nawe lakini Amekushindwa.
64:Ukiota unamuona Mtoto wako anapewa chakula🌳🌳 Unajulishwa kuwa mwanao wachawi wanapandikiza roho chafu.
65:Ukiota wanakupa chakula unakataa kwenye ndoto🌴🌴 Unajulishwa kuwa wanataka wauganishe Vifungo vya mateso wachawi umewashinda
66;Ukiota Usiku Unavaliwa Kama upepo au kukabwa🌲🌲 Unajulishwa kuwa wachawi wanakutumia majini yakutese
67:Ukiota Unaulizia njia unasafiri🌴🌴 Unajulishwa Upo umepotea kiimani kabisa.
68;Ukiota Unacheza ngoma za kienyeji za Kwenu🌲🌳 Unajulishwa unabebwa na wachawi usiku unaenda kuroga bila kujua.
69;Ukiota unavuna shamba unalima kwenye ndoto🌳🌳 Unajulishwa unatumikia uchawi unalimishwa usiku.
70;Ukiota Upo umesimama barabarani yenye Rami Mazingira mjini magari yanakupita tu Upo pembeni mwa Rami.🌳🌳 Unajulishwa mbele yako Kuna Baraka zinakuja.
UKIONA NDOTO HIZI UJUE MUNGU ANAKUJULISHA WACHAWI WANAVYOKUUNGANISHA NA MITENGO YAO
Unachotakiwa Kufunguliwa Sio uendelee kuteswa na wachawi au mateso chukua Maelekezo njisi ya kufika Kanisani kwa Pastor Richard
FIKA Kanisani Morogoro Veta Dakawa
Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa
Simu+255759861768
Njisi ya Kufika Kanisani kwa Pastor Richard
Morogoro ukishuka msamvu sted Chukua gari za dumila waambie nishushe veta Dakawa ukishuka chukua pikipiki waambie nipelekeni kanisa la Moto wa Yesu Utakaa siku 3 pakulala papo kula utajigharamia
Maoni
Chapisha Maoni