Somo Pepo ANAYESABABISHA CHUMA ULETE Au ANAYEHARIBU UCHUMI WA WATU
*SOMO :PEPO ANAYESABABISHA CHUMA ULETE Au ANAYEHARIBU UCHUMI WA WATU NAKUTESEKA*
2:Wakoritho.10:3-6
👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽
Mwalimu: Pastor Richard
Morogoro Veta DAKAWA
Kanisa la Holy Spirit
👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽
Simu mtumie Sms Atajibu Akiwa Na Muda unaongea naye
+255759861768
Tigo +255710889892
👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽
Chuma ULETE Ni Nini?
Huwa ni ile hali Mtu anapata Pesa Au Anauza Lakini Haoni Pesa zaidi ya Kuteseka Tu
Sio kwamba Hapati Pesa Anapata Lakini Pesa inavyoisha hawezi kujua
Hii huwa hali ya mtu Huyu Kufungwa na Pepo Hili linakuwa linachukua Pesa zake Au Mchawi anakuwa anatuma Pepo linachukua Au Mtu anakuja anachukua usimujue
👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽
Tatizo Hili wengi huwasumbua na wasijue Kinachosababisha uwe Huna Unachokifanya zaidi ya Madeni tu
👂🏼👂🏼👂🏼👂🏼👂🏼👂🏼👂🏼👂🏼
Jini ANAYESABABISHA Huitwa Jini Johari Yupo na mwezake huitwa asnari huwa wanaotumiwa sana na watu hasa wafanyabiashara na Wenye ofsi Na vyeo Kazini Kwao
👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽
Huwa Anatumwaje Huyu Jini
✍🏾Huwa anatumkiwa maneno na kununuia Kwenda kuchukua Pesa Pale Mchawi atakapo Au Mfanyabiashara Atakapo.
✍🏾Hunata Katika Pesa za not ya 10000 Na Huwa unapokuja kuchanganya tu na Pesa ya kawaida utapata Matumizi mabaya Au utatupa Pesa kwenye mambo ambayo hukutengemea ndani unajikuta mwenzi umeisha huna hata sukari wala Mafuta.
✍🏾Humfanya Mtu Awe Na Mipangilio ya kuharibu Pesa asiweze Kufanikiwa
✍🏾Humfanya Mtu Awe Mtu wa Madeni tu yasiyo isha
✍🏾✍🏾 *👂🏼SUHURISHO* ✍🏾👂🏼✍🏾
1:Lazima Usimame Ukemee Huyu Pepo uwe na Imani tu
2:Unapoomba mtaje kwa jina Lake
3:Lazima Uwe tayari umekombolewa Umeokoka Unaimani na Mungu
Kwa Msaada Fika katika Kanisa unalosukumwa kwenda kufanyiwa Ukombozi Au Pinga Simu YA Pastor Richard
👆🏽👆🏽👇🏽👇🏽👇🏽
Tuma sms Atakujibu +255759861768
Simama Na Yesu Ukombolewe utoke kwenye Huyu Jini
Maoni
Chapisha Maoni