Somo AGANO LA UCHUMBA

[5/1, 22:38] ‪+255 755 553 249‬: Amen Mtumishi
[5/1, 22:43] 🙏🏽Holy 🙏🏽Spirit 🙏🏽Ministry 🙏🏽: *SOMO: AGANO LA UCHUMBA*

*Mwanzo: 2:24*
👆🏽👆🏽👆🏽👇🏽👇🏽👇🏽
KATIKA Uchumba Au Mtu anapoanzisha Uchumba Ili Uchumba wake uwe wa Kufikia Malengo Huwa Anatakiwa Bint Na Kijana watambue Kwanini wameanzisha Uchumba baina yake Na Mwandani wake Kisha waamue Kufata na Kuzingatia Maangano Au Kuwekeana Agano La Uchumba Ambalo huzingatia Mambo YAFATAYO 👇🏽👇🏽👇🏽


*KUNA AGANO LA UCHUMBA*

1: *KUTAMBULISHANA  KWA MARAFIKI*

👂🏼👂🏼Hii itamfanya Mwenzi wako atambue Mengi Maana Pale Unapowaeleza marafiki na kuyaweka wazi Humfanya Yule umpendaye Atambue Popote Alipo rafiki yako wa Karibu ataweza kukujua kiundani na kupata Taarifa zako kwa uhakika katika Marafiki walio wa Karibu nawe Itatosha Kujenga Na kujuana uaminifu wenu

👆🏽👂🏼👆🏽👆🏽Pia Si Kila rafiki naye mzungumzia yule wa Karibu mnayeaminiana


_2: KUTAMBULISHANA KWA MCHUNGAJI_

👂🏼👂🏼👂🏼Hii Huwa inakufanya Upate Mtu wa kuombea Uchumba wenu na kuwashauri kiroho na kumuongoza kiroho ufikie Ndoa Uchumba usio na mlezi wa Kiroho Shetani kuuvamia ni Haraka sana

Unashauriwa uwe na Mlezi wako utakayemweleza na kushiriki kutoa Zaka Fungu la kumi Kukomboa na kuombea Ndoa Kufikia Hatua ya ndoa.

*3:KUTAMBULISHANA KWA Wazazi*

👂🏼👂🏼👂🏼👆🏽👆🏽Hii huwa hatua ya Mwisho ya kufikia Mkipata Baraka Wazazi wakawabariki Uchumba wenu unakuwa uchumba unaotambulika na wenye uhakika na Wewe Unafurahia Maisha ya Ndoa

Ukipita Mkato utaharibu mbeleni

HII NI AGANO LA UCHUMBA

Pastor Richard

KUTOKA Morogoro Veta DAKAWA

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.