SOMO :NJISI YA KUMSAIDIA BINT ALIYEZALIA NYUMBANI ILI IAKAOLEWE
*SOMO :NJISI YA KUMSAINDIA BINT ALIYEZAA KATIKA UZINZI NA MWANAUME ALIYEKATAA MIMBA*
Yohana 8:1-11 4:6-19
Mwanzo 39:7-12
Mathayo 18:17-18
Matatizo ya Mabint wengi Kuzaa nje ya ndoa au nje imekithiri sana kwa wanaomjua MUNGU Na wanazaa na wapagani kabisa Hali ambayo Husababisha watelekezwe au kuachwa wakiwa na Mimba
Hali hii huwa wote wanakuwa wameingia kwenye dhambi ya uzinzi Au kuharibiana Malengo yao Hali ambayo husababisha Kutokuoa au kuolewa kwa kuwa mtu Mzinzi akianza kuacha huwa kazi sana Na kutokana wote wanakuwa vipofu wa kiroho wanaweza kuendelea kutenda dhambi kwa kushauriana
1:Toa mimba
2:Kutoroshana
3:Kukimbilia Mjini ili kukwepa aibu
4:Kuwa na huruka hiyo Kila mtoto na Baba yake
*JE NI DHAMBI KUZAA NJE YA NDOA Kuzaa na mwanaume ambaye hamjatambulishana na kutoleana Mahali ni dhambi*
Ndio mwanaume na mwanamke huwa wanatenda dhambi na Hali hii huwafanya wasioe au kuolewa kwa kuwa humrusu Pepo wa kuvunja mahusiano kutokuelewa au kuoa kupitia uzinzi ndio maana vijana waliojiingiza katika sifa hii huwa ngumu kuolewa endapo hawatasimama na Mungu wakaombewa na Mch anayejua vifungo au sababu ya wao kutokuoa au kuolewa ambayo chanzo huwa uzinzi.
*USHAURI KUHUSU HILI*
Mwanamke au Mwanaume Hutakiwi Uwe Mzinzi ukijiona unatamaa hiyo Tafuta mke uoe na uolewe kama bint
*KATIKA UCHANGUZI SAHIHI WA MKE AU MME*
1:awe mcha MUNGU mwenye hofu ndani yake
2:Asipende ushirikina kwenda kwa waganga
3:Awe ameokoka au amemkiri Yesu kuwa Mwokozi wake
4:Awe na Upendo nawe
5:Asiwe mtu wa kukuambia mzini Kabla Ya kwenda kwa Wazazi
6:Wengi watakaokuja kwako bint Chunguza hayo tu
7:Tumia Muda kumchunguza na umjue kiundani
*MATATIZO YA UZINZI WA HARAKA*Kabla ya Ndoa
1:Bint kupewa mimba na kuharibu mtiririko wa Maisha yake maana atatumia muda mwingi kulea na si kutatua chagamoto za kimaisha
2:Bint au Mvulana Wanakuwa na Tabia endelevu ya kuzini tu bila kujua ni kosa linalowatenga na NEEMA ya MUNGU
3:Kijana huwa wanakimbia majukumu na kutelekeza wapenzi wao kutokukumbali kulea na Hali hiyo huwa ni dhambi ambayo humtesa bint na kijana
4:Bint huwa akija akarudiwa na huyo ambaye alimtelekeza humsamehe wakarudiana Hali ambayo huwa kosa maana kama mharibifu ukimpa nafasi ataharibu zaidi maisha Yako
Yakobo:1:5
UKitaka urudiane na aliyejeruhi Moyo wako Hakikisha amebadilika Na kuziacha Tabia zake Awe Amekuwa na hofu ya MUNGU Amekuwa na Upendo wa agape Na Tendo la ndoa Awe YUPO vizuri
Kabla hamjarudiana ni vyema mkapime H. I. V
Binti Usisukumwe na Tamaa ukawa Kila kijana akija kwako unazini naye au unamkumbalia Tambua unajiagamiza mwenyewe kupitia kutokuwa na utaratibu wa kuchangua kilicho sahihi
Usiwe na haraka ya kujiingiza kwenye mahusiano au kuzini Subiri wakati wa wewe ufurahie Tendo na aliyewako anayekupenda huyo ndio wa kumpenda
*NGUVU Ya MABINTI KUWAOKOA VIJANA WA KIUME*
Mabint mmepewa nguvu ya kuwaleta wanaume kwenye nuru na kuwatoa katika njia mbaya kwa Maneno yenu Lugha zenu nk Kwa hiyo kama bint Hakikisha mchumba uliyenaye au mme anamjua MUNGU anatoka ngizani
MBELENI UTANDAIWA Hakikisha unawatoa vijana wanao penda uzinzi wa mjue MUNGU mabint wenye Tabia hii wajue MUNGU YUPO
*NJISI YA KUMSHAURI ALIYEZAA KATIKA UZINZI*
Bint uliyekosea ukazaa nje ya ndoa usifikirie hutaolewa au utazeekea Nyumbani
Usifikirie Kuwa kama umesaulika Madamu Umeamua kuwa mufasi wa kristo umetangaza kuacha uzinzi na Kuzaa ovyo na wanaume Basi Yesu ameponya Maisha yako Mvulana nawe kwa kuwa umeachana na uzinzi umepinywa
ANZA kuwa na msimamo wa kuolewa na usizini tena
ANZA KUWA Mwaminifu Kila mwenzi kutuma Fungu la kumi ukituma omba mme wangu namtaka uliyeniadalia Ee MUNGU WANGU Aje kupitia fungu la kumi hili
KUSIMAMA USIRUDI NYUMA Endelea kufatilia group hili la PASTOR Richard
Naitwa PASTOR RICHARD
Mch.kiogozi WA makanisa YA Holy Spirit Ministry
Makao makuu VETA DAKAWA Morogoro
Simu +255759861768
Tovoti www.mchungajirichardi.blogspot.com
Maoni
Chapisha Maoni