SOMO :NJISI UKIMWI UNAVYOPONYWA NDANI YA Yesu

*SOMO, :KANISA NA UKIMWI*

YEREMIA 32:27

Zaburi,, 103:3-4

Ukimwi ni uharibifu wa kinga mwilini

Ni ugonjwa unaosababishwa na Virusi viitwavyo H. I. V human immunodeficiency virusi

UKIMWI "uligudulika rasimi mwaka,, 1980/1980
Huko marekani  Florida San Francisco

Mwaka, 1983 uliingia Africa ya Kati mwaka 1986" uliingia  Tanzania na mtu wa kwanza alipatikana kagera ugonjwa huu ulienea kwa kasi na kuua watu wengi

UGONJWA HUU mara ya kwanza kutokana na mafundisho ya wachungaji wengi waliwaaminisha wa kristo kuwa mtu aliyeokoka anaweza asipate h. I. V KITU AMBACHO KILIWANJENGEA WENGI KUAMINI KUWA ni Pepo wapo wengine walikufa kutokana na kukatazwa wasinywe dawa au kufata Ushauri wa madokta pasipo kuelewa Dhambi huzaa magonjwa na magonjwa huleta mauti

Na hii Husababishwa na dhambi ya uzinzi kwa Wanandoa au walio katika mahusiano Hali hii huwa dhambi ya kuitafuta mwenyewe  na  mtu huyu anaweza kusababisha hata mtoto kuzaliwa na tatizo hilo mtoto huwa Hana hatia kosa humrudia yule ambaye katika njia zake akitembea katika uzinzi

UGONJWA huu huambukizwa

1:Kushirikiana Tendo la ndoa mkawa na mchumbuko sehemu za siri na mdomoni

2:Vitu vya ncha kali

3:Damu iliyo na Virusi kuogezewa mzima

*4:Njia za ajali kajifungua nk

*
JE UKIMWI UNAPONA

Je inapona kwa Mungu jibu ndio inaisha nimeshuhudia wengi niliowaombea wengi wakaponywa

H. I. V ni nini?
Ni ukosefu wa kinga yenye kupambana na magonjwa mwilini mwako  hizi huwa sell zilizopo kwenye damu zinazoshambulia Kila kinachoingia mwilini kiharibu afya yako huwa zinapokosekana magonjwa mtu humvaa kiurahisi

H.i.v  haiuwi  kabisa  na  huponywa kabisa  isipo kuwa kama umeshajijengea  wazo au  hofu kuwa  hili ni tatizo kumbwa kuponywa haliwezi Huwa kuponywa Hakuna kutokana na hofu na kupitia hofu hiyo huwa mtu inamua au anakufa kwa kupungukiwa cd4 hizi ni sell hai nyeupe zinzopambana na mwili wako usiugue  isipokuwa  hiv huwa ukisimama na Mungu inaisha Nimeshuhundia mabint wenye Imani kali pale Dar walifika wakiwa na tatizo hili wakaponywa kabisa  Imani isiyo na mashaka Huondoa Tatizo

VITU VINAVYOKUFANYA UPONE HIV

, 1:Okoka na usimame hasa na Mungu

2:Anza kumtolea MUNGU  fungu la kumi  kujitoa kumtumikia na kuihubiri injili yake

3:"Acha uzinzi na starehe zote Simama Na Yesu

4:"Elimisha wa kristo wengine ukiwashuhudia mazara yake

5:"Rudi ukapime Baada ya kuwa Imani yako imemtengemea MUNGU usiache dawa Kabla ujaenda kupima ukakuta uko vizuri

6:""Ombea hizo dawa Kila utumiapo

7:Aliye na Imani ya uponyaji asiyetumia Asimame hasa na Awe wa kucheki afya mara kwa mara mpaka ajiridhishe Majibu Yako vizuri


Futa dhana ya kusema H. I. V haiponi inaisha ukiwa utasimama tu na Yesu ukatubu uovu wako

Hiv sio ugonjwa utakaozuia usiolewe au kuoa

Kuzaa kufanya kazi nk

Hiv huwa ipo ya kipepo na ugonjwa wa maambukizi

Kwa hiyo Futa zana ya Kuamini Kila kitu Pepo hapana lazima utambue hata kama umeokoka magonjwa au Matatizo yapo tu Lakini Huwa tunayashinda

Hiv huwa ni virusi vinavyokaa kwenye mshipa ya damu ile inayotoa na kuingiza kusambaza kwenye mwili hivi vijidudu huwa vinajishika kwenye kuta za mifupa kwa ndani kwa hiyo mtu anapopima akagudulika anahiv sio ndio kapata wakati huo mbali vilikuwa Bado tu havijaoneka kwenye  mashine

Ukiwa Unamcheka au kumuona mwenye Hiv kama anatatizo tambua hata wewe Unaweza ukaja ukapata hivi ni vijidudu  haviabukizwi kwa  Tendo la ndoa  pasipo na  Sehemu za siri kama hamna mchumbuko.

Nimesema huwa vinakaa kwenye mishipa ya damu kwenye kuta za mwili Ikiwa bado havijaaza kuonekana

Kwahiyo huwa vinaambukizana kupitia damu inapogusana na damu yenye hiv


UKISIMAMA  Na Mungu  usiwe na hofu  Tatizo huisha

Mimi nakutia Moyo mwenye Tatizo hili haliuwi kabisa kinachouwa ni Hofu ile ya kuwaza na kuliona kama Tatizo  Kubwa haliwezekani kwa MUNGU


SHARE  SOMO HILI LIFUNGUE WENGI

NAITWA PASTOR RICHARD MCH.KIOGOZI HOLY SPIRIT MINISTRY

NIPO VETA DAKAWA MOROGORO

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.