SOMO : LIJUE MAANA YA JINA LAKO KATIKA SIFA YAKE
✍🏾✍🏾 *LIJUE JINA LAKO sifa Yake
*HERUFI* A
Mwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira. Ni Jeuri Sana Wanaakili Pia Watu wenye SIRI sana
MTU HUYU HUWA Anatumia Akili Tu Kufika Pale Atakapo
USHAURI UNashauriwa mwenye Jina Kumcha Mungu na kuepuka matukio Na ugomvi Sababu huwa wagomvi wachochezi sana washudiaji vitu.
*Mwenye HERUFI B*
wenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu, mkarimu, muaminifu, na hupenda kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika pale anapotaka kulinda vilivyo katika himaya yake. Hapendi Adhurumiwe au Uchezee kilicho chake ni wataratibu sana na wanaofanya mambo yao kimya kimya.
✍🏾✍🏾😄Watu Hawa Hupenda Kushauriwa na kufanyia Kazi Katika Yale Wanayoshauriwa Na Hufika mbali kimaisha na mafanikio
😄😄🔥USHAURI Wa Jina hili
Anashauriwa Mche Mungu nakumtengemea Yeye Peke Yake😄😄
M *wenye HERUFI C**
Mwenye jina linaloanziana na herufi C ni mtu wa kukubadilika badilika, mshindani na hupenda kupigania malengo yao wanayopenda. Ni watu wa wabunifu na wanaopenda mawasiliano.
✍🏾🔥Watu hawa Huwa washindani sana na hulazimisha ndoto zao KWA njia Tofauti Mara hiki Mara hapa Pia watu wenye Tabia kila MTU wanamweleza Chagamoto zao✍🏾🔥
😃🔑USHAURI Wanashauriwa wajifunze kutokupenda kutoa toa SIRI zao nje pia wawe na msimamo WA MUNGU mbele wamuweke😄✍🏾Mafanikio Yao Yamo katika ubunifu WA mambo wanayokuwa wanaanzisha
Wenye HERUFI D
Maana na Sifa
Mwenye jina linaloanzia na herufi D ni mtu anayependa usawa, Hapendi umdhurumu Hapendi Umnyanyase anapenda Biashara. Ni watu wanaopenda kuamrisha na mwenye kupenda usafi. Ni jeuri na wenye msimamo. Wanamisimamo yao
Pia Huwa WA SIRI Sana Na huwa Hawapendi uwamrishe au kuwalizimisha.
✍🏾✍🏾Watu Hawa Mara nyingi Hupenda kugawana kupata haki sawa Waongeaji na wapole kiasi Huwa wanafanya vitu pasipo kufikiria
Mafanikio yao wanatakiwa wasipende kila MTU kumweleza MALENGO yao mbali wajiamini wakimpenda Mungu
✍🏾😄USHAURI WAO✍🏾
Wanashauriwa Kuacha Kufanya vitu pasipo kufikiri wafikiri kwanza pia Mafanikio yao Wao ni Biashara wafanye ndio nyota yao
Wenye HERUFI E
Mwenye jina linaloanzia na herufi E ni mtu mwenye roho nzuri ,yenye mapenzi na huruma. mwenye kupenda uhuru katika mapenzi na mchangamfu. Kinyume na hivyo atakuwa ni mtu asiotegemewa na kigeugeu.ni watu wasio aminika ni watu wasio tulia
Wanafariji na uongo hufanya uwe kweli kinywa chao humba
✍🏾✍🏾USHAURI WAO
Wasimame wao kama wao kujishughulisha waepuke kushirikiana na MTU Wafanye kazi na kujirekebisha kwa Yale yasiyofaa wajitoe kwa Mungu tu na kumpen Mungu
Mwenye
HERUFI F
Mwenye jina linaloanzia na herufi F ni mtu mwenye mapenzi upendo sana ,hurum kusaidia wengine ana roho nzuriia a uwezo wa kuwafariji watu wengine Ni mtetezi wa watu wanaoonewa na mwenye huzuni sana anapoona vitu vyake haviendi pia lakini ni mzito wa kufanya maamuzi kutatua au kusuruhisha Anapaniki na hasira za kuua Anamsimamo imara
✍🏾✍🏾USHAURI WAO
Wasimame na Mungu na kumtumikia ili kuwafanya waliopotea wanamrudia Yesu NaWafute madhaifu Yao wasimuache Mungu
Mwenye HERUFI G
mwenye jina linaloanzia na herufi G ni mtu mwenye mwenye imani ya kidini na nguvu za kiroho. Ana kipaji cha kubuni na uwezo wa kutatua matatizo ya watu. ni mtu mwenye hisia kali,msomi, mpweke na mkaidi wa kukubali ushauri wa kutoka kwa watu.ni watu wanaothamini fikira na mawazo yao tu
✍🏾✍🏾USHAURI WAO
Wanatakiwa Sana sikiliza wanapoonywa kueleza kukemea wajitoe kwa Mungu Wasimame hasa
WENYE HERUFI H
Mwenye jina linaloanzia na herufi H ni mtu mwenye ubunifu na nguvu katika biashara, hupata faida kubwa kutokana na jitihada na bidii zake. ni mwenye mawazo mengi, mchoyo na mbinafsi. katika vitu chake Huwa MTU mwenye Kubadilika na sana anapofanikiwa Muda mwingine Hupenda Mi sifa na kushawishi mwingine wanapenda Atumikiwe sio Atumike Yeye
✍🏾✍🏾 USHAURI WAO
Wanatakiwa waendane na mazingira na kujituma na si KUKAA kupanga tu mawazo Yao ndio mtoaji wao waepuke kutengemea MTU wafanye biashara Tu na kujitoa kwa Mungu
WENYE HERUFI I
Mwenye jina linaloanzia na herufi I ni mtu mwenye kupenda sheria, ana huruma na utu. Wakati mwingi hajiamini na ni mwenye hasira za haraka Pia Hupenda mapenzi Anasa Starehe Huwa Anafanikiwa Mpaka Akioa au kuolewa Uwezo wake mwingine huhitaji mwingine
✍🏾✍🏾USHAURI WAO✍🏾✍
Wanashauriwa wake au waolewe ndio watafanikiwa au waokoke na kusimama na Mungu
WENYE HERUFI J
Mwenye jina linaloanzia na herufi J ni mtu mwenye matamanio,mkweli, mkarimu na muerevu. asiyekubali kushindwa na hupata mafanikio makubwa. Na Wakati mwingine anakuwa ni mtu mvivu anayejikatia Tamaa na aliyekosa mwelekeo WA kimaisha Mwalimu Anakuwa Yupo yupo Tu Lakini Anapokuja kubuka huna kivingine tena huwa Wanasimama anarudi nyuma
✍🏾✍🏾 USHAURI WAO
Wanashauriwa wasikate Tamaa wasimame katika Kumtanguliza Mungu na kujitoa katika kwake watatu fanikiwa
WENYE HERUFI K
Mwenye jina linaloanzia na herufi K ni mtu mwenye jeuri. mwenye msimamo thabiti,mashuhuri na mwenye uwezo wa kushawishi na kuamsha hisia za watu wengine wana uwezo wa utambuziwa vitu mbalimbali ambao watu wengi hawana. ni mtu asioridhika na hali ya kimaisha. Ni watu wenye nia na msimamo wao pia ni wakatiri sana ukimuuzi kuua kwake rahisi utakapoingia kwenye Anga zake.
✍🏾✍🏾USHAURI WAO
Wasimame na MUNGU na kugeuka kuziacha Athiri Ambazo zinawapoteza na kumi rekebisha
Wajitoe kwa Mungu sana
WENYE HERUFI L
Mwenye jina linaloanzia na herufi L ni mtu wa vitendo, mwenye hisani na aliyejipanga vizuri kimaisha. Huwa wanapata ajali mara kwa mara. Na ni watu kila wafanyalo hutumia kama walivyokusudia Hushauriwa wawe waaminifu kujitoa kwa Mungu na kumpenda sana.
✍🏾✍🏾USHAURI WAO
Wafanye kazi zakujiajili na wawe waaminifu kwa Mungu kujitoa
WENYE HERUFI M
Mwenye jina linaloanzia na herufi M ni mtu mwenye kujiamini sana, mchapakazi na hupata mafanikio. ni mtu mropokaji,mwenye haraka wa kudakia jambo na mwepesi kukasirika. Na Ni MTU Asiyeamini Haraka mwepesi Wakuchukia Ukimkwanza ni Watu wanaposimama na MUNGU huwa moto Wasiomjua Mungu hutekwa na dunia.
Wanamaamuzi ya haraka akipinga amekataa
✍🏾✍🏾USHAURI WAO✍🏾
Wanashauriwa wafanye kazi sio KUKAA tu pia wamshike Mungu na kujitoa kwake watafanikiwa wasimuache Mungu pia uropokaji na hali ya kutokuwa WA wazuri nawaomba mbadilike
WENYE HERUFI N
Mwenye jina linaloanzia na herufi N ni mtu mwenye ubunifu, hisia kali za kimapenzi na hupenda kuwasiliana na kuongea sana kumweleza kila MTU Matatizo Yake lakini ana wivu sana. Pia Haliziki na mpenzi mmoja na hajiamini katika chake huhisi kusalitiwa salitiwa tu Ni MTU Anaweza kukubadilikia anakuacha kwa maamuzi yake hafikiriagi.
✍🏾✍🏾USHAURI WAo✍🏾✍🏾
Wajirekebishe maana wataumizwa sana hususa kwenye mahusiano pia wasimame na Mungu hasa
WENYE HERUFI O
Mwenye jina linaloanzia na herufi O ni mtu mwenye subra, mvumilivu na mwenye bidii ya kusoma. Ni mtu mwenye kupenda kutumikia jamii na mwenye uwezo mkubwa wa kudhibiti hisia. Huwa w anaweza kujidhuia Hisia zao Pia Huwa Nia Malengo Yao kufanya kazi za Jamii
✍🏾✍🏾USHAURI WAO✍🏾✍🏾
Wanashauriwa kusimama na MUNGU na Kujitoa kwenye shughuli za kijami nakukazana katika Elimu
WENYE HERUFI P✍🏾✍🏾
Mwenye jina linaloanzia na herufi P ni mtu mwenye uwezo wa kihekima Ya kiungu ndani yake Anamawazo na USHAURI ufao kufata ni watu wanaopenda kuamrisha Uongozi ni watu waaminifu na wachapa kazi kwenye imladi Biashara Wanapenda Ukweli Umwambie Akikupenda Nao huwa wakweli
Ni watu huthamini Mawazo yao na hisia zao
Lakini Huwa Mafanikio yao Lazima wajichanganye na wenye hekima ya Kiungu au Waolewe/Waoe
✍🏾✍🏾USHAURI WAO✍🏾✍🏾
Wanatakiwa wamuweke mbele Mungu waolewe/wake wachawi Mungu Nakufanyia kazi mawazo yao
Wenye HERUFI Q
Mwenye jina linaloanzia na herufi Q ni mtu mwenye kupenda mambo ya asili. Ni watu wasiyoelezeka nawana uwezo wa kuonyesha vitu visivyojulikana hata hivyo ni mtu aliyepooza sana. Huwa Watu wanaofata mila desturi pia Huwa na uwezo WA kumtambua vitu visivyoonekana lakini ni wagumu wakuonesha hisia zao na uwezo wao ni wacheshi hawapendi uwaingilie katika kule wanachoamini
✍🏾✍🏾USHAURI WAO✍🏾✍🏾
Wanatakiwa wasimame na Mungu kwa kuamua kubadilika sio kuendelea kujikubali hivyo
Wenye HERUFI R
Mwenye jina linaloanzia na herufi R ni mtu mwenye uvumilivu, wenye huruma lakini ana hasira za haraka pale Anapokasirika Hupenda Maamuzi makali watu wenye upendo wenye kusaidia na kujitoa kudai hali zao ni Wenye Ucheshi na matani ya uongo mwingine sana Huumia kwa ajili ya wengine. Muda wote anakuwa mpenda amani. Na Upendo Hapendi umdharau Ashindwe ni mwaminifu Anahekima Yenye ujazo WA kiroho huwatia moyo wengine mwepesi WA kuchukua Maamuzi ni waaminifu Wabahiri sana
✍🏾✍🏾✍🏾USHAURI WAo
Wasimame na MUNGU NA kubadilika katika sifa ziletazo sifa mbaya Kama hasira Maamuzi yao yasiyofaa wakisimama Na MUNGU Tu watakuwa watu wenye faida pia wasio mjua Mungu Hupenda kujiingiza kwenye uzinzi kupenda wanawake wakisimama na Mungu huwa watumishi wazuri
Majina haya Mazuri yakipata kumjua MUNGU Bila kumjua huwa na hasira za haraka wabahili sana Wanamawazo ya mipango yao tu Yasonge hawataki kushindwa
WENYE HERUFI S
Mwenye jina linaloanzia na herufi S ni mtu mwenye mvuto mkali wa kuleta utajiri wao akifanya kitu lazima aone kinasonga mbele Watu wanaokuwa na Hasira kali wanawivu sana katika pale wanapopenda ni Wepesi wa kuacha nakupenda huwa na Chuki za chini chini Pia hufanya vitu kimya kimya Tu vyao binafsi Hawajui kusamehe Wabinafisi Sana Waelevu wanapoelezwa Wenye Uwezo wakumuelimisha mtu akaelewa Ni watu wenye maamuzi ya ghafla sana kwenye maisha yao na hupenda mageuzi makubwa. Yazidio uwezo wao hutamani vitu kikumbwa kuvimiliki
Ni watu Wagumu kuamini au kupokea kitu wanapoelezwa Huwa hawaamini Wapuuziaji WA Habari Za MUNGU WEPESI kuamini habari za Kimwili kama mapenzi Uwaeleze Kupata kitu watakuelewa Ni Watu Ambao si wawazi sana katika vitu vyao
Hekima Yao imetekwa na dunia si kiroho
✍🏾✍🏾✍🏾USHAURI WAO✍🏾✍🏾
Wanatakiwa Wayabadili yote yasiyo leta sifa ifaayo Na Hekima zao Wazijenge katika Kuyashika sana ya MUNGU si kuamini tu mbali imani iendane na matendo yenye kuleta mageuzi yawaleteayo faida kwa Mungu na kwa dunia hii
WENYE HERUFI T
Mwenye jina linaloanzia na herufi T ni mtu mwenye kupenda ushauri wa kiroho, anatumia nguvu za ziada kusaidia watu na hupata mafanikio baada ya muda mrefu. Ni watu wenye hisia kali sana katika Mapenzi na ni wepesi kushawishika sana katika mapenzi au kuwarubuniwa na Baadae Hujutia katika Maamuzi Yao Si waaminifu hata ukiwaoa/Ukaolewa nao ujue hivyoooooo
✍🏾✍🏾USHAURI KWAO✍🏾✍🏾
Wanashauriwa Wathamini mawazo yao na si ya wengine nakufanyia kazi ushauri WA mchungaji wabadilishe CV ya kugeuzwa watumwa WA mapenzi kupenda penda waache uvivu na ile kuishi kwa kuagalia watu
WENYE HERUFI U
Mwenye jina linaloanzia na herufi U ni mtu mwenye bahati kubwa kwa ujumla katika maisha yao. Anapenda uhuru katika mapenzi. Lakini ni mtu mbinafsi, mwenye tamaa na aliyekosa maamuzi. Hawa watu huwa waongo sana katika mahusiano Malaya sana hawatulii na mmoja hawana Msimamo watu wanaoburuzika tu wanabahati ya kupata kitu ila wao tu ndio hupoteza
✍🏾✍🏾USHAURI WAO
Muache uongo katika mahusiano ili muolewe Muwe waaminifu pia mshikeni sana Mungu
Wenye HERUFI V
Mwenye jina linaloanzia na herufi V ni mtu Mchapakazi, wenye bidii na asie choka. Hata hivyo ni watu wasiotabirika. Maamuzi yao huwa wakiamua wameamua Wanahasira sana kwa waume zao na wake zao Ukitaka uone hasira zao jisongeze Tu. Uzuri wao ni Watu wenye Bidii Wanajituma hasa
✍🏾✍🏾USHAURI wao Wanatakiwa waache Kubadilika Badilika Wawe waaminifu katika Bidii zao watafikia mafanikio yao Wasimame wamjue Mungu kwa kumanisha
Wenye HERUFI W
Mwenye jina linaloanzia na herufi W ni mtu muwazi, wachangamfuu kupita kiasi na mwenye uwezo wa kutambua mtu mwema na mbaya. Ni watu wenye tamaa na hufanya mambo ya hatari.
Hawa watu hupotoka kwa vishawishi Na hurubunika haraka kimapenzi ni watu wanaoweza kufanya matukio ya hatari Na uvurungaji Amani
✍🏾✍🏾USHAURI KWAO
Wanatakiwa muache Tamaa mtulie na wapenzi wenu Pia Msimame na MUNGU mdhibiti Hali Yakupenda kufanya matukio ya hatari maana yatahatarisha maisha yenu
*Wenye HERUFI X
*
Mwenye jina linaloanzia na herufi X ni mtu asiyependa kuwekewa vizuizi katika kwenye anasa na ni rahisi kujiingiza kwenye uzinzi na kujitoa uaminifu. Ni watu wastarehe Sana Niwatu Hapendi umkataze Uzinzi
Hawa watu huwa rahisi kupoteza Maisha Afya zao huwa sio waaminifu
✍🏾✍🏾USHAURI KWAO
Wawe wanapokea ushauri na waache Anasa wamrudie MUNGU Tu
Mwenye HERUFI Y
Mwenye jina linaloanzia na herufi Y ni mtu mwenye kupenda Uhuru na hawapendi kupingwa jambo lao lolote Watu wenye Maono makumbwa lakini huwa Hayatimii yakitimia kimsukosuko sana pia. Ni watu wanaokosa uamuzi katika mambo yawapasao kuamua huwa hawana Sauti Yenye Kuamua na pia hali hii husababishia kupoteza bahati katika maisha.
✍🏾USHAURI
Wanatakiwa wajue kupambanua nakuchukua Maamuzi yawaleteayo matunda Pia Wamtengemee Mungu ndani yao huweka kitu kuwasaidia wengine
*WENYE HERUFI Z*
Mwenye jina linaloanzia
herufi Z ni mtu mwenye kupenda kitu amependa anamatumaini kila afanyacho kikosawa anaupendo na amani. Ni wenye msimamo mkali Hashauriki Akiamua.
✍🏾✍🏾USHAURI
Wanatakiwa wafikirie Kabla ya kuamua maana Itawapa majuto Katika Kuamua kwao.
Pia wampende MUNGU sana
je na jina lako lina maana gani?
✍🏾✍🏾By Pastor Richard
Holy SPIRIT Ministry
MOROGORO shukia VETA
DAKAWA
🔥🔥🔥🔥MOTO WA Yesu mnazareth Unawakaaaa
Maoni
Chapisha Maoni