SOMO: FUNGU LA KUMI NA NJISI YAKULITOA Na MAHALI PAKULITOLEA
✍🏾✍🏾KWA HABARI YA FUNGU LA KUMI.✍🏾✍🏾
. mithali.3;9
✍🏾✍🏾SEHEMU SAHIHI YA UTAKAPO TOA FUNGU LA KUMI LAKO UKABARIKIWA✍🏾👇🏾👇🏾👇🏾
miongozo ya Biblia Tunaipata Hapa Tukisoma mistari hii👇🏾👇🏾
Kumb. toarati
Deuteronomy 14:23-25
[23]And thou shalt eat before the LORD thy God, in the place which he shall choose to place his name there, the tithe of thy corn, of thy wine, and of thine oil, and the firstlings of thy herds and of thy flocks; that thou mayest learn to fear the LORD thy God always.
Nawe utakula mbele za BWANA, Mungu wako, mahali atakapochagua apakalishe jina lake, zaka ya nafaka zako, na divai yako, na mafuta yako, na wazaliwa wa kwanza wa makundi yako ya ng’ombe na ya kondoo; ili upate kujifunza kumcha BWANA, Mungu wako, daima.
[24]And if the way be too long for thee, so that thou art not able to carry it; or if the place be too far from thee, which the LORD thy God shall choose to set his name there, when the LORD thy God hath blessed thee:
Na njia ikiwa ndefu mno nawe, usiweze kuzichukua kwa kuwa mahali ni mbali nawe mno atakapochagua BWANA, Mungu wako, apakalishe jina lake, hapo atakapokubarikia BWANA, Mungu wako;
[25]Then shalt thou turn it into money, and bind up the money in thine hand, and shalt go unto the place which the LORD thy God shall choose:
ndipo uzibadili ziwe fedha, na kufunga zile fedha uende nazo mkononi mwako, hata mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako;
Nifuraha tena kuona ndugu Yangu umefunguliwa mengi Toka uaze kufatilia Walaka zangu nawe maisha yako Yamebarikiwa Na Kazi zako zimeinuliwa
Pia Hogera kwa ndugu YANGU aliyekuwa nami toka nianze kupost Fb Masomo yangu yeye akashika moja tu Utoaji sasa maisha yake yameinuliwa na Amebarikiwa Mme!mke Amebarikiwa watoto Ndoa yao inaamani Hawapungukiwi wala kucheleweshewa majibu yao wamekuwa watu waliojitoa kuhakikisha Ufalme huu Wa MUNGU unajengwa katika Roho Mtakatifu
Pia Hongereni sana mlioitoa elimu Yenu Iwe na manufaa kwa Bwana na kujitoa kunishauri mambo yahusuyo sheria na Taratibu za mamlaka yaliyowekwa Katika nchi Hata Mimi kupata Kujua mengi Si kusema nyie mtanieleza nini lakini nilijikweza mpaka nikavuna nilichostahili nivune
Haya yote inaonesha njisi gani ndugu zangu mlivyofunguliwa na kuelewa kazi niifanyayo yaitaji mshikamano wenu licha ya kuwa Mimi nimeitwa nimeitaka nimetumwa kwenu Itamhuzunisha Yeye aliyenituma kwenu endapo Bado mtaendeleaa kumkataa na kumtukana
Pia itasikitisha Sana ikiwa Bado Hamtashiriki kuugana kwa nguvu zetu zote akili zetu zote na Mali zetu Elimu zetu
Kumtumikia MUNGU katika Roho Mtakatifu
Niliona wengi walioamua kujitenga nami wengine kunikana hapa duniani wakisema hatukujui Tena Hatukutambui Wengine wakinitukana na kunisema vibaya. Huzuni kwangu ilitaka kuta wala nilipoona mpaka wachungaji wangu watoto wangu walio kuwa nami Toka nikiaza kupost Mitandaoni na wengine wakatendewa muujiza na kushuhudia wakinikana Na ashukuriwe MUNGU aliyenipa kipawa hiki chenye nguvu ya Roho Mtakatifu alivyosimama nami mpaka hapa.
Ndugu zangu yote hayo nilipitia nikitembea huku nakule kutafuta roho zilizopotea pia nisigeweza kusimama peke yangu Maana aliyenituma alisema nenda kuna ndugu zako wapo hapo duniani ndio wale watakaokusikiliza
.
Huuu ndio ulinifanya nijifunge Imani yenye nguvu nakuzidi kuonesha Hata siku moja usipoujenga ufalme Wa MUNGU wewe MUNGU hatakulazimisha
Usipoitumia Elimu Mali zako vyeo kwa ajili ya MUNGU wapo watakaotumia
Usiposhiriki kimawazo kielimu cheo Mali zako kuinjega ufalme Wa MUNGU wapo tutakaojega
Usipokuwa mtoaji kwa MUNGU ukafikiri Huduma haitasoga wapo tutakaoisongesha mbele
Usipomtumikia MUNGU ukamkana wapo Tutakaomshika mpaka kifo
Ukilingia cheo/elimu/Mali/Nk ukafikiri tutashindwa hakuna Tumejitoa kuwa dhabihu ya Bwana Yesu mnazareth
Mimi na wachungaji/watoto Wa Holy spirit ministry Tanzania
Tupo imara kuujenga ufalme Wa MUNGU miili yetu/Mali zetu/Tumeitoa kwa Bwana
Huku nasi Tunazidi kuinuliwa kubarikiwa Usitegemee utabebelezwa kujitoa kuuto mwili wako/elimu/cheo
Zidi kushiriki nasisi sio Ujifiche au Elimu yako/cheo yako utumie kuikadamiza Huduma hii au kujiinua au Kuipeleka isivyo
Tujifuze kuwa watoaji Tujifuze kufanya kwa ajili Ya MUNGU Tujifuze kuihubiri injili.
Sehemu unazotakiwa Utoe zaka/sadaka/Maongeo yako/
1⃣-Kanisani sio kutoa tu imladi unatoa
2⃣-Sehemu Abapo umepewa Na MUNGU akakukalisha kwa Baba yako Wa kiroho.
3⃣-LAZIMA uwe na sehemu ambapo utashiriki kila kitu katika madhabahu unayoelezwa kushuhudiwa simama hapa. Tulia hapo kwa huyo ndio Majibu yako halipo.
4⃣-Kuwa mwaminifu Kumtolea MUNGU fungu LA kumi
5⃣-Usitoe fungu LA kumi kwa mayatima/wajane/wasiojiweza ukasema hii sadaka ya fungu LA kumi haipo sahihi .hiyo utaitwa sadaka ya hiari
6-Unatakiwa utume huku kama wewe mtoto wa PASTOR Richard
Kuwasaidia yatima/wajane/wasiojiweza huwa LA MTU ndani yake kitendo cha hiari ndani yako
Tofautisha zaka ya fungu LA kumi na Kusaidia wasiojiweza
Fungu LA kumi Hutolewa kanisani kama mistari ilivyoeleza
Sehemu atakapokukalisha Anamanisha Baba Wa kiroho atakayekupa
Lazima uwe na Madhabahu moja tu sio Leo umetoa huku kesho kule changua msimamo WA kuwa na Baba yako mmoja unapochanganya Madhabahu hazitakujibu maana msimamo wako tofauti changua ukawe mwaminifu.
✍🏾Kila madhabahu au mchungaji wako utakapo kutoa lazima ujue Utaratibu WA Madhabahu hiyo MAOMBI yake unaombaje ukitoa bila kuelezwa hutojibiwa
Kisha simama hapo mpaka pale atakapokuondoa akakupa mlezi mwingine
"NJISI Wanavyotuma Kwa watoto wa PASTOR Richard Kuwa mwaminifu kutoa fungu la kumi
✍🏾Hutoa hivi katika viwango
Kwa wanaofanya kazi za kulipwa
Mshahara. Utoaji
200000. 20000
2000000. 200000
✍🏾Kwa Mfanyabiashara
Faida aliyopata. Utoaji
50000. 5000
Kwa mwenzi Utatoa
✍🏾Asiye nakazi
Fangia ndeki tunza nyumba ya Bwana huku ukiomba upate kazi
✍🏾Mkulima
Mavuno. Utoaji
Debe 1. Sado 1
Junia. 1. Debe 1
Kwa mwaka
Kama wewe mtoto wa PASTOR Richard usitoe fungu la kumi nje Tuma huku Shikilia hilo tu
✍🏾Kazi Yake✍🏾
1: Kuendeleza Huduma Ya MUNGU
2;Kununua/vyombo/kuujenga kanisa
3!Kanisa kujisimamia kiuchumi
Kufungua viwanda mahospitali shule nakuleta maendeleo katika jamii zetu
4⃣Kanisa ili lijengwe injili iwafikie watu yaitaji ujitoe.
Faida IPI utapata
1⃣ kujibiwa MAOMBI yako
2⃣ Afya kulindwa/kuponywa
3⃣ Faida na mshahara kufanya mambo yanayoonekana
Baraka kuinuliwa juu nk
Hasara uzipatazo
1-Hasara ya kila ufanyalo
2-Maombi kutokujibiwa
3-Laana zote zinakufata
4-Utaomba lakini hatasikia
5-Msgonjwa/kuibiwa/Kupoteza
Nk
Tuna soma Kumb. Torati. 28
✍🏾✍🏾Mafundisho ya Utoaji✍🏾✍🏾
By Pastor Richard
Founding
Holy spirit ministry Tanzania
Welcome
MOROGORO shukia VETA DAKAWA
Ijumaa NA jumamosi
📞+255759861768
📞+255710889892
Maoni
Chapisha Maoni