SOMO; DINI

✍🏾✍🏾 *SOMO; DINI* !

Matendo:25;19. ✍🏾 2Wafalme.10;20

AYUBU.4;7✍🏾1Timothy.2;16

Dini nini?

Dini ni mapokeo kutoka kwa watu Tofauti Tofauti ndani na nje Wenye nia nzuri na nia mbaya  ya kukupeleks mbiguni au kukupotosha yote huwa yanawezekana kutokea usipokuwa na Roho Mtakatifu pia Wenye Maono mema na wasio na Maono

✍🏾✍🏾 *DINI IMEGAWANYIKA MAKUNDI 2* ☝🏽☝🏽

1-Dini ya kweli

2-Dini Ya Uongo

*Dini ya kweli*

Huwa ni mapokeo yaliyotoka ndani ya Mtu akisikia wito au kutokewa na sauti Ya MUNGU au Yesu au Malaika nakumuangiza Aende kuchunga watu NA kuwakusanya anapewa jina LA Huduma anayopaswa aiongoze.

Dini hii hujengwa katika Imani Isiyorusu Maovu katika Katiba yake Ukiisoma

Ina UTARATIBU Wenye ujazo Wa ROHO MTAKATIFU sio kifikira na mawazo ya mwili

Hupinga NA kukemea Maovu na Yasimtukuza MUNGU

Huwajenga watu katika njia yenye kuwaimarisha kiimani

Kama kuwafundisha

-Njisi ya kutembea katika wokovu

-Kuwaonya  kuponya kuelekeza

-Huwapa nafasi waumini kujua misingi yao na imani yao kwa kusoma Katiba ya imani yao.

-Huwalea kiroho watoto wa Mungu sio kimwili tena

✍🏾DINI YA Uongo

Dini hii misingi na uazilishi wake umeazishwa kwa MTU kujitenga Tu toka imani nyingine hakuitwa wala kuambiwa kafikiri  Tu

Akaamua Aanzishe Kanisa Lake

Huwa MTU huyu ufundishaji wake huwa ni Wa hadithi Story Mifano kusema waumini Siasa  serikali Wachungaji wezake  kujisifia Mimi ni zaidi Ya Fulani

Muda mwingi  hawaelimishi kondoo wake

Katiba na UTARATIBU wake huwaficha waumini kwakuwa wapo waliojaliwa ROHO MTAKATIFU

Waumini wake huenda kiupofu na kuamini Imani wasioijua vizuri

Kwanini Mwanzilishi aliazisha

Dini zote hizi Huwa Utofauti  wake hapo


Japo wote nia nikukemea maovu utofauti  ni Hapo tu

Kuna aliyeitwa na kuna aliyejiita

Mtoto Wa MUNGU Unashauriwa ili usipotee Soma Katiba Ya Imani Yako uangalie maono na malengo ya mwanzilishi.

Kisha Soma ukurasa mmoja mmoja

Dini kubwa zote zimesajiliwa na zinatambulika serikalini 

Serikali Yetu IPO Makini sana kwenye Taasisi hizi


Hebu Soma Katiba ya Imani yako humo yameelezwa mengi na Mwasisi Wa imani hiyo Usiwe mvivu Wa kujua imani yako


KATIBA YA Holy spirit ministry Tanzania

Search page hii fb usome Uelewe vizuri Imani hii ya Holy Spirit Ministry

Kwanini Pastor Richard alianzisha

Soma vyema kwa umakini

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.