OMBEA AMANI NDOA ZA WAUMINI WAKO AU NDOA YAKO.

NJISI YA KUFATA FATA MTILILIKO WA MAOMBI
KWANZA JIWEKE KATIKA UWEPO
OMBA TOMBA MSAMAHA ULIPOMKOSEA MUNGU.

ANZA KUOMBA
eeh bwana yesu mwingi wa rehema mimi mtumwa wako nasimama kwa niamba yako na kuwakabili wote wanaosimama ndani ya ndoa ya wanangu na ndani yangu kuiba amani nawaunguza na moto na moto wa yesu naziteketeza hizo roho narusu upendo amani ikatawale.kuanzia sasa ktk jina la yesu.AMEN

OMBA MARA UPATAPO MDA KILA SIKU KWA SIKU 40

KISHA UTUME SADAKA YA KUKOMBOA AMANI NA KUINDAI AMANI POPOTE ILIPOENDA MUNGU ARUDISHE.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.