HOLY SPIRIT(ROHO MTAKATIFU MASOMO YAKE.

MUNGU  ANAMRUSU ROHO WAKE AKETI KWA MTU AMBAYE AMEOMBA MAOMBI YA MSAMAHA NA KUTUBUISAYA.57;15"Maana yeye aliyejuu aliyetukuka akaaye milele.ambaye jina lake ni mtakatifu.Asema hivi;nakaa mimi mahali palipoinuka palipo patakatifu:Tena pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu na kunyenyekea ili kuzifufua roho za watu wangu kuwaleta kwangu walio wangu.

SOMO LITASIMAMA MUNGU ANAKETI NA WENYE TOBA WALIOAMUAKUMFATA YEYE.

2"SOMO UKIMUUZI ROHO WA MUNGU HASIRA YA MUNGU ITAWAKA JUU YAKO.
ISAYA.63:10
Lakini wakaasi wakamhuzunisha roho yake mtakatifu kwa hiyo akawageukia MUNGU akawaka hasira juu yao..

3"UBATIZO ALIOUACHA YESU SI WA MAJI BALI WA ROHO MTAKATIFU YEYE NDIYE ALIYEKUJA AKAMALIZIA KUBATIZWA NA MAJI KISHA YEYE NAE AKATULETEA UBATIZO WA ROHO MTAKATIFU SOMA VIZURI.
MATHAYO.3:11
"YOHANA AKAWAMBIA MIMI NAWABATIZA KWA MAJI BALI YEYE AJAYE NYUMA YANGU ANAGUVU KULIKO MIMI WALA SISTAHILI KUVICHUKUA VIATU VYAKE.YEYE ATAWABATIZA KWA ROHO MTAKATIFU NA KWA MOTO.
HUU NDIO UBATIZO WA UTAWALA HUU WA YESU KRISTO AGANO JIPYA KUPITIA JINA HILI TUNATENDA MAMBO MAKUMBWA WATU TUMEPOTEA NA MAANDIKO LAKINI ROHO ALILETWA ATUKUMBUSHE.

3.ROHO HUONDOKA USIPOENDA ATAKAVYO YEYE.
SOMO

ZABURI.51:11"Usiniondolee roho wako mtakatifu.

4:SOMO.ROHO MTAKATIFU HUTABIRI.
LUKE.1;6"Na zakaria baba yake akajazwa roho mtakatifu akatabiri.

ROHO HUKUONYA UNAPOTAKA KWENDA TOFAUTI NA MUNGU.
LUKE.2:26
"Nae alikuwa ameonywa na roho mtakatifu ya kwamba hataona mauti kabla ya kumuona yesu.

ROHO MTAKATIFU NDIO MSAINDIZI WAKO KATIKA MAISHA.
YOHANA.14:26
Lakini huyo msaidizi wako  atakapokuja atawafundisha elimu ya mbigu na kuwafafanulia ukweli na kuwakumbusha niliyoyanena.

ROHO MTAKATIFU HUKAA NAO WALIOTEULIWA NA KUITWA KUMTUMIKIA MUNGU.
MATENDO.1:2
--------Alipokwisha  kuwaagiza kwa roho mtakatifu wote awaitao wao huongozwa na roho.

YESU ANAANGIZA WATU WABATIZWE KWA ROHO MTAKATIFU.
MATENDO.1:5
YOHANA ALIKUBATIZA KWA MAJI. Lakini mimi nawaangiza mtawabatiza watu kwa roho mtakatifu...

KUNA NGUVU UKIWA NA ROHO HUSHINDWI KITU.
MATENDO.1:8
5"Lakini mtapokea nguvu akishawainjilia juu yenu Roho mtakatifu.

ROHO MTAKATIFU HUWA ANALUGHA YAKE.
MATENDO.2:4
"Wote wakajazwa roho mtakatifu kila mmoja akawa na lugha yake.

AONGOZWAYE NA ROHO HATAENDA KUZIMU WALA HATAPOTEA.
MATENDO.2:27
"Kwa maana hutaiacha roho yangu kuzimu wala hutaniacha nipotee.

NDIO MAANA AHADI YAKE IMETIMIA YA KUONGOZWA NA ROHO INATIMIA NDIO MAANA HOLY SPIRIT IMEFIKA
MATENDO.2:33
"Basi yeye akishakupokea kwa baba ahadi ile ya Roho Mtakatifu amekwisha kuimwanga ndio maana mnaiona tena.

ROHO HUKETI PASAFI.
MATENDO.2:46
NAWAAMBIA Tubuni  mkabatizwe kila mmoja kwa jina la yesu kristo mpate ondoleo la dhambi

ROHO HADAGANYWI HATA SIKU MOJA.
MATENDO.5:3
Petro akasema Anania kwanini shetani amekujaza moyo wako uongo na umemdanganya roho mtakatifu.

MUNGU HUWAPA ROHO MTAKATIFU WOTE WANAOMTII.
MATENDO.5:32
"Pamoja na roho mtakatifu ambaye MUNGU huwapa wanaomtii.

ROHO HUWEZI SHINDANA NAE.
Matendo.7:51

RÕHÕ ÀMÊBÊBAÃ ÝÖTË MANZURI HUWA YAKE.
KAMA USAFI WA MOYO ELIMU AMANI UVUMILIVU UTU UPENDO.

MISTARI MINGINE INAYONGELEA HOLY SPIRIT MINISTRY
1CORITHO.7;34' 6;19

WARUMI;15:19",15:16,15:13,14;17,9;1,5:5

WAEBRANIA.2:4,3:7,6;4,9;8,10:15

EFESO.1:13,4;30

2CORITHÔ.6:6,13;14

MATENDO.20:28,21;11,19;16,19;2

HOLY SPIRIT MINISTRY TANZANIA
2CORITHO.3:6

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.