MAOMBI YA KURUDISHA

ILI UWEZE RUDISHA MALI ZAKO LAZIMA UWE SILIAZ NA HILO.

NJISI YA KURUDISHA PESA

KWANZA ANZA NAKUOMBA TOBA YAMKINI ULIPEWA PESA AU WAKATI ULIOPITA ULISHIKA PESA UKAZITUMIA KWA SHETANI.

eeh baba nakuja mbele zako  nashukru kwa  kunipa ufahamu wa kukujua nilipotea nilipokamata pesa nikajiona kama pesa zitaendelea kunikaa nilitumia pesa zangu kw starehe nilitumia pesa zangu kwa waganga nilitumia kwa miungu lakini sasa nakri ukinirudishia pesa mali nyumba zangu nitazitumia kuinua huduma yako hii iwafikie wezangu waliopo gizani.
amen

ITA ITA ITA...PESA GARI NYUMBA NASIMA NA ISAYA.60:11
MNAELEWA NENO HILI LINASEMAJE MAENDELEO YANGU NYOTA YANGU   NAIRUDISHA NAWASHA MOTO MOTO KWA KILA ROHO ILIYOHUSIKA KULA PESA ZANGU PESA NAKUITA NATAKA KUINUA HOLY SPIRIT FANYA UPES MALANGO YAKO WAZI.KATKA JINA LA YESU.

OMBA KILA SIKU
UNAPOKUWA UMEENDA PUMZIKA USIKU.

MUNGU AKIKUJIBU NJEGA UTUKUFU WAKE.
AMEN

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.