KANUNI ZA KURUDISHA MME/MKE/UZAZI ASIYEZAA NA VITU VILIVYOCHUKULIWA.HOSEA.2:6-11
NJISI YA KUMRUDISHA MME/MKE
NJISI YAKUOMBA.
Mme wangu nakuita kwa jina lako la kevin maduru sauti hii ikasikike kwenye moyo wako ukakumbuke angano letu ulisema HAUTANIACHA
nakutesa mpaka urudi na wanao wanakuitaji KATIKA JINA LA YESU.AMEN
MKE NJISI YA KUOMBA.
Mke wangu nakuita kwa jina lako uliandaliwa kwa ajili yangu mke wangu uliyeondoka nakutesa moyoni mwako mimi uliyenitamkia HAUTANIACHA sasa nauliza moyo wako unajua unakiapo nami mwingine hautakaa nae katika jina la yesu.AMEN
KURUDISHA UZAZI ULIOIBIWA.
....naam huyo aliyekuwa tasa amezaa watoto saba...
samwel.2:5
Kizazi changu nakiita na kukirudisha nakitambulisha kuwa hicho ni moto wa yesu nafichua fichua uchawi uliofanywa juu yangu SASA KIZAZI HICHO NAKIAMRISHA KIWAKE MOTO WA YESU NA NITAZAA WATOTO WAKIKE WAKIUME NA WAKIKE.
NAA AHIMIDIWE BWANA MAANA AMESIKIA DUA ZANGU.
zaburi.28;6
NJISI YA KURUDISHA KAZI ULIOSIMAMISHWA.
Ee bwana yesu nasimama katika ulimwengu wa roho nikiitambulisha kazi yangu kuwa ni moto wa yesu walioichukua na kusababisha mi niteseke nawaunguza naikomboa nakula kiapo ukinirudishia saivi nitajenga huduma yako ya holy spirit nitakuwa mwaminifu kila mwezi kutoa fungu lakumi naiamrisha iwatese walioikamata kwa moto wa yesu.AMEN
maombi yawe kila siku na kazi utakapoanza uwe mwaminifu kuinua utukufu wa holy spiriti
KURUDISHA ARDHI ULIOZURUMIWA CHUKUA UDOGO ULETE MOROGORO MAKAO MAKUU AU FIKA KTK MATAWI HAPO.
wewe ardhi aliyekuumba akuamurishe utende haki pitia...
amen
maombi siku 3
jioni aje nao udogo
Maoni
Chapisha Maoni