USHUHUNDA WA FAMILIA ILIYOTESWA NA WACHAWI NA KUZIMU ,MIZIMU,WAKUU WA ANGA.
USHUHUDA HUU UNATOKA KATIKA FAMILIA YA MZEE MIHAYO ILIYOPO HAPA NZEGA TABORA. ZABURI.119-111 ኸተፐasimulia ushuhuda wa mungu wangu nitasema matendo yake walio wagumu wa imani wamujue mungu yupo matendo yake ya ajabu.p
KARIBU UKUE KIROHO KATIKA USHUHUDA HUU NA IMANI IKUE NA KUONGEZEKA KARIBU UJIFUNZE KARIBUNI
mungu alianza kunitumia kusema na familia hii toka nikiwa napitishwa katika moto katika kipindi cha kujaribiwa kwangu mama na baba walikuja kuniona mama alipokuja nilimwambi mama lazima uokoke ili ukapone na watoto wako wakapone hapo ndipo neno la kwanza mungu alinitumia kusema nawe mimi nilivuka mitihani yangu aliyonipatia mungu asilimia zote yesu na musa na elia hawa watumishi walikuwa karibu nami wakati wa majaribu yangu walinitia moyo mpaka kuvuka.
BAADA YA MIAKA MIWILI NAKUTANA DINNA AMBAE NI MAMA YANGU NILIEMTAMKIA AOKOKE NDIPO ATAPONA.
mama alikuwa tayari ameokoka na amemshika mungu hasa nilifurahi nikamwambia mama nimeshakuwa mch tayari alifurahi sana nakunitamkia baraka.
MUNGU ANANITUMIA TENA KWENYE FAMILIA HII MR&MRS MIHAYO.
mstari. wa ushindi tazama nimemtuma malaika wangu aje akufungue na kukufikisha nilipokuandalia msikilize yeye jina langu limo dani yake.
kutoka.23:20-22
pia nilipewa neno hili
nakutuma uende kwa mwanangu dinna wewe nilikutumia mara ya kwanza na sasa nakutumia simama na neno. mimi ninaishi katika damu na nyama uwezo wangu ni mkumbwa kama baba aliyenituma na uwezo wa kuagusha kazi zote za shetani.2wakoritho.10:3-5
nilifika katika familia hii nikaanza kufungua kifungo kimoja baada ya kigne nilitumia mienzi miwili siku moja nilifyeka
shamba la baba siku iyo ilikuwa siku nilipofungu mizimu iliyokuwa imemfunga mama na watoto wateseke wanaelimu lakini kazi hawapati mabinti ni warembo wanzuri lakini hawachumbiwi wazazi nao
wananyota za mafanikio lakini wateseka mizimu ilitawala na kuwafynga kila kona
niliwasha moto mizimu ilisema ilivyowafunga watoto kumbe unaweza ukawa binti mnzur asipatikane hata wakukutamkia kukuoa unaweza ukawa mtu wa kuumwa kila siku kumbe kazi ya shetani. nilitumiwa pia kumfata dinna kuzimu kule walikompeleka nikasema leo
natoka na bint yangu dinna alishuhundia waliokuwa kuzimu walikuwa wanatakumzuia lakini nilipowatazama wote waliungua moto maana macho yangu yaliwaka moto.
MUNGU AMFUNGUA MAMA MAVIFUNGO VYAKE
nilipotoka ziara nilimfikia mama nikamueleza nimekuja kumalizia kazi niliotumwa katika mji huu.
NILIFIKA SIKU HIYO MAMA ANASEMA NIMEOMBEWA SANA WAPI AAH NIMECHOKA BADO NGANZI NA BADO VITU VINATEMBEA NILISIKIA SAUTI IKINIAMBIA MUULEZE
ROHO ANAKUSHUNDIA NINI KIVULI CHA MAUTI NILIMWAMBIA NATAKA KUWASHA MOTO WA YESU KWAKO
NILIWASHA MOTO MASAA MATATU NA NUSU MOTO WA YESU ULIWAKA KWA MAMA ALIYETESEKA NA MARADHI YA KUFA NGAZI VITU VINATEMBEA KUTEMEWA MATE NA NYOKA NYOKA WA MIZIMU ILITAWALA MAJINI JAMANI ACHENI NIMTANGAZE BWANA MATENDO YAKE.
nlipo washa moto nilisema haya namba moja ongea kabra cjakuchalanza fimbo.
ikasema roho wa uchawi
nikahoji ulileta nini dani ya mwil wa bint yangu dinna
moto unaniuguza nasema nimeleta mangonjwa.nyoka.kivuli cha mauti chumbani kwenye kona . nyuki wapo kwa nje wanamtembelea.roho ya uchawi. kivul
cha uchawi.
lengo nini mlimtesa.
tulitaka tumtese tu na mangonjwa.
ilisema ni mizimu.
AMRI HAYA BEBA MIZINGO UONDOKE SALENDAA KWA YESU WANGU ROHO HII ILIMWINGIA MWAKA 80 WAKIWA URAMBO ILIMTESA SANA MPAKA JUZI KUKOMBOLEWA.
2:NAKUITA NAMBA MBILI MIMI MOTO WA YESU NAKUUNGUZA SEMA NAMBA YA PILI ULIEINGIA KWA BINTI YANGU DINNA.
ILITAMKA IKASEMA MKUU ANGA WA AFRIKA
TAJA MIZINGO YAKO HARAKA.
nimeka jini makata na subrian.nimekamata fahamu zake.utosini.
nani kakuleta humu ilitajs
salehe tulitaka tumue yeye ametusaliti.
nkasema wajinga ninyi haya wewe kazi zako. napinga maombi ya watu wote na kuwaletea kingne.nakamats fahamu.namudhoofisha mtu imani. natoa
matatizo watu waje kwa wangaga nami huwabebesha mizingo hata akiomba maombi hayana nguvu.mtu anamwimbia
mungu fungu la kumi.nk
mengi lilitaja
KWA WATOTO NANI BADO UMEMKAMATA.
HAPANA WAO ALIKUWA HUYU TU.
PIA KUNA UCHAWI MWNGI
3;UCHAWI WA KUTUMIWA
UCHAWI UNASEMA
nilitumwa na watu wengi waliomtesa nipo mshale wa kichawi
kiunoni.kifuani.mapoonza ameonza ndio maana alikuwa analalamika
nilikomboa mafanikio yake afya yake uzao wake MAJUZI KAZI ILITENDEKA
USHUHUDA HUU UKUINUE ULIYEMGUMU WA IMANI FIKRJA NYUKU DANII YA MTU NYOKA KUBEBESHWA MANGONJWA NAISHUKURU FAMILIA YA MZEE MIHAYO YOTE KUMJUA MUNGU
NAMI MUNGU KUNIPA NIWAFIKISHE KANAANI. ZABURI.17-7
SONGA MBELE USIRUDI NYUMA.
NAJUA UMEJIFUNZA KITU TAJA.
BAADA YA MAOMBI KESHO YAKE WALIMKUTA ADUI YAO AMEKUFA MTAZAME KTK PICHA.
MIMI MCH.RICHARD FROM NZEGA
SIMU.+255759861768
Maoni
Chapisha Maoni