SOMO: UTAJIJUAJE UPO MBIGUNI AU JEHANAMU. KITABU.1YOHANA:3.8-10 MCH.RICHARD
1yoh.3:8-10
8.atendaye dhambi huyo ni washetani maana shetani toka zamani amekuwa akitenda dhambi kwa kusundi
9.kila mtu aliyezaliwa hatendi dhambi kumbe tukae tukijua wangia mbinguni ni wale tu wasiotenda dhambi ndio maana mwana wa adamu alikuja ili kuzipinga kazi za shetani walio wake wasipotee
NDUGU ZANGU TUNAKUMBUSHWA KAMA TUMEAMUA KWENDA KWA MUNGU TUCHUKIE DHAMBI
NIMEKUANDIKIA HAYO NDUGU YANGU ILI USIJE UKAENDA MOTONI
MWENYE MASIKIO ASIKIE NA ABADILIKE AMFATE KRISTO HASA.
MIMI MTUMWA WA KRISTO MCH. RICHARD FROM NZEGA
SIMU.0759861768
SWALI.
umejifunza nini katika somo hili fupi lakini linaujumbe mzinto.
umeamua nini baada ya kujifunza hilo.
Maoni
Chapisha Maoni