USHUHUDAA WA MME MWEMA NA MKE MWEMA.2016 MORONGORO

MWAKA HUU MUNGU KAANZA KWA KUONYESHA MKE MWEMA NA MME MWEMA ANAVYOWAUGANISHA MWANAMME ALIKUWA MORO MKE ALIKUWA IRINGA

SAFARI YA WALIVYOKUTANA
mwanamme anaphamancy yake moro
mwanamke akaambiwa kuna kazi ya kuuza duka la dawa na huko alikuwa anauza phamancy akaasems acha
niende moro kijana akiwa amajisemea
ukiniletea bint mungu wangu huyo ndio atakuwa mke wangu bint alifika salama
moro kijana akamuona bint akasema moyoni huyu ndie mke wangu bint akatokea kumpenda kijana kama kaka yake miez ikaenda kijana akaanza kumweleza binti awe mke wake
bint alimwambia mimi ninamchumba
na kweli alikuwa anamchumba

ALIVYOONGONZWA NA MUNGU MPAKA KWA PASTOR RICHARD NAILIVYOUNGANISHWA JINA LA BINT NA MCH.

siku moja aliingia internent akakutana na shuhuda zangu chini niliacha namba akachukua akanipingia nikapokea
akaniambia nimekuwa nikidhulimiwa  kila napo kopesha saa ingne wati wananiahid
tu baba naomba uniombee nipate mme mwema nilimuongoza toba nikamwambia
baba nijulishe juu ya bint huyi nikamwambia kunatatizo katika mahusiano yako niambie alisema
nadhiri alizowahi kutamka kwa wapenzi wake wote nilimwambia bando rudi kakumbuke unipingie ten
kumbe alikuwa ameshatoa ujauzito
nilivunja nadhiri na vifungo vyot

NJISI KIJANA ALIYOKUWA AMEFUNGWA

kijana alipoona bint hamtaki aliwaelrza wazazi wake bint aliniambia nami
nilimwambia bint yangu nitakuja kijana mpaka akawambia marafiki wapi
akaamua atumie dawa za kienyeji bint kila akuomba kijana anateseka hatua za mwisho alizindiwa nikiwa dar
naambiwa nenda ukamsaindie
bint yako monica hapo moro
sauti ilisikika nikiwa ubugo
nilifanya ivyo na kumfikia monic
ndipo nilipomwsmhia baba simama hapa kweli niliukomboa  mji  ulio kua
unaenda kuuliwa na jini maimuna
niliyafata majibu yaliyo kuwa yamexuuliwa
na mkuu wa anga nikamkambizo  mmr mwema kazi mafanikio.


NA MME NDIE YULE ALIYEKUWA
YEYE HAMPENDI


UWAZAVYO SI KAMA MUNGU

NAITWA PASTOR  RICH
SIMU.0759861768

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.