USHUHUDA WA BINTI WA MIAKA 38 KOLEWA BAADA YA MAOMBEZI

USHUHUDAA HUU KARIBU
UKUJENGE IMANI UNAELILIA MME AU MKE UMEFIKIA HATUA UMEKATA TAMAA KARIBU UFATILIE USHUHUDA HUU WA FROLA KUTOKA SIMIYU MKOA MPYA.

baada ya kufatilia shuhuda za matendo makuu ya mungu anayoyatenda kwa wanaomkimbilia alichukuwa namba akanipingia akanieleza naitwa flora nimekuwa nateseka sana na mahusiano kila kijana naempata anaishia kuniogopea tu inapofikia hatua tukatambulishane anakuwa na moyo mgumu halafu baada ya mda wanaiacha
akija mwingine anakuja na ngia ya kukuoa mpaka atajitambulisha kwa wazazi lakini mwisho wa siku anatimiza lengo lake anakuacha mpaka  sasa baba na miaka 38 naona umri unanitupa mkono baba naomba uniombee niolewe

MCHUNGAJI.pole sana binti yangu hivi unajua nadhiri ulishawawekea wagapi nadhiri

FLORA.wengi sana bab
MCHUNGAJI.nitafugua nadhiri na vifungo
vya mapepo nilivunja nadhiri na kuanza kumuombea nikamuongoza toba nasamaha
nikaanza kumuongonza njia ya mungu nashukuru alikuwa msikivu na

dani ya miwili alijibiwa na mungu na akanijulisha walipata baraka za wazazi mwanaume akatoa mahari ndoa ikafungwa

MUNGU WETU NI MSAADA UTAKAONEKANA WAKATI WA MATESO YETU.ZABURI.46:1-2

USHUHUDA HUU UKUINUE IMANI KATIKA TATIZO LAKO.

NAITWA MCHUNGAJI RICHARD FROM MOROGORO TANZANIA

WASILIANA NAMI.

simu.+255759861768

UPENDO WA BWANA WETU
UWE NANYI MKAVUKE SALAMA
AMEE.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.