SOMO:SAFARI YA MTU TAJIRI NA MASIKINI DUNIANI. MITHALI.28-11
TAJIRI NI MTU GANI?
ni mtu aliyeridhika kimaisha mwenye kila kitu alichotaka au umwinyi
MASIKINI NI NANI?
ni mtu asiye na kitu alichotamani awe nacho au ni utumwa wa maisha magumu
SAFARI ZA WATU HAWA HUANZIA UJANA WAO.
MTU MASKINI huukaribisha umaskini toka akiwa kijana anakuwa mvivu wa kujituma katika kazi au kuwa anafanya kazi pasipo na malengo kijana huyu hatataka kujifunza kwa vijana wezake atafanya kazi pesa yote itaishia katika starehe tu atashindwa kununuq kitanda
hata ngodoro akili yake itawaza kuolewa au kuoa badala ya to fight life everytime man make postive life naver think negative life poor man your succes not camming coz the unprove mood pia umasikini mtu humkuta asipojipanga akiwa na nguvu yeye anakaribisha uvivu na kushinda kijiweni kujiuga na makundi ya ajabu kufumba na kufumbua uzee huo
hunaanza kulaamu ndugu wazazi marafiki unaanza mara kwa mjomba mara kwa shemeji mara huku unawapa mzingo watu kwa akili yako haikufanya
kazi ujanani unailazimisha uzeeni hapo
safari ya mtu maskini huishia
KAMA NAWE ULIKUWA UTENGEA KUFANYA KAZI JISHUGHULISHE
HATA KAMA UMEOLEWA USIKAE MMEO AKULETEE KILA UKIJA KUACHIKA UTATESEKA SANA MWANANGU NAKUOSIA KAMA BABA YAKO WA KIROHO NILIYEJIFUNZA NA KUYAONA.
SAFARI YA MTU TAJIRI.
huyu nae huanzia ujana yeye huyu akili yake kazi tu iwe kuuza maji karanga makopa iwe za ofsini ambagui kazi akili yake anajua kubajet anapaga kikomo cha
matumizi ya pesa kama awe kila siku ale elfu tano kati ya elfu kumi apatayo kila mwenzi atakula igne atatuza mtu huyu uwa anamipango mikumbwa atajitesa hata asivae nguo atajitaabisha bila uvivu wala kusubiri kazi aliyosomea hapana atafanya kazi yeyote hatawaza kuoa au kuolewa haraka haraka mpaka ajipange hasa hatasumbua wazazi watu uzee utamkuta anamaisha manzuri sana bidii zake zitamfanya aishi kimwinyi atakuw
kwake.
TAJIRI HUMTAWALA MASKINI na kumwajiri na kumtumikisha katika kaxi zake maskini humnyenyekea tajiri na maskini humlinda tajiri na mji wake
MASKINI NAE hutajirika kupitia kwa tajiri anapomtumikisha huumia nae akasema ipo siku nami nitakuwa bosi hapo nae
hujituma ili afikie hapo.
HIZI NDIO SAFARI ZA WATU WAWILI MAARUFU HAPA DUNIANI KIJANA FANYA KAZI MUWEKE MUNGU MBELE
UKIZISHIKA SHERIA ZAKE UTAFANIKIWA
NIMEKUANDIKIA HILI SOMO ILI UKAMILIKI OFISI YAKO UZEENI
USIMRUSU KUSHINDWA MKARIBISHE NAYAWEZA YOTE KATIKA YEYE ANITIAYE NGUVU NATAKA WANANGU
MKAFANIKIWE MSIJE MKAWA WATUMWA BAADAE.
NAITWA MCHUNGAJ RICHARD
MTUMWA WA KRISTO YESU
WASILIANA NAMI
SIMU.+255759861768
UBARIKIWE NA BABA KWA
KUKAZANA KUJIFUNZA NA KUFUGULIWA NASHUKURU SHUHUDA ZENU
MNAZONITUMIAA

Maoni
Chapisha Maoni