SOMO:MAOMBI YA KUWEKA ALAMA KWA MUNGU
SOMO; MAOMBI YA KUWEKA ALAMA KWA MUNGU NAYE KUMWAMBIA AWEKE ALAMA KWAKO.
:::::::::::........';;,,;;,,,,,,,,,,,,::::::.........::::::::::'
Huwa Ipo nguvu Unapoona Umeomba Sana Kitu Hakijawa au Umefunga Sana Hujajibiwa ingia Maombi Ya Kuweka Alama Kwa Mungu Kuweka Makubaliano naye Kama Ezekiel; Soma Isaya:38 habari ya Hezekieli.
Kama Unaweka Alama Weka Alama Kubwa itakayoponya roho zilizopotea
MFANO:Una kiwaja unaweza toa hata robo kwa ajili ya Bwana Kanisa likasimama roho zikaokolewa au Nunua Mziki Kanisani. Mambo haya Mawili Yanahubiri Na Kuweka Alama Kubwa kwenye Moyo wa Bwana ila Kama uwezo upo chini huna kiwaja unaangalia nilichoelekeza hapa chini.
Kisha usiweke fikira au kuhesabu Ili ufanye Alama yako ilete matokeo kuliko uweke unaanza kunug,unika au kulaumu nisingetoa hiki Kwa Mungu kisa kachelewa ukiamua kuweka Alama Weka Huku ukijua unamuwekea Mungu iwe kama Sababu mimi nimeweka Alama hii nawewe weka Alama hii kwangu.
Tunasimamia Vitabu hivi: TAFADHALI SOMA
Matendo:20:35 "
Ipo nguvu kutoa kwa Mungu Kuliko Kusubiri Upokee Kutoka Kwake.
1 Wafalme;5 5 "
Sulemani Aliweka Alama Akamjengea Bwana Hekalu na Alibarikiwa Sana.
Mwanzo 4:15
[15]BWANA akamwambia, Kwa sababu hiyo ye yote atakayemwua Kaini atalipizwa kisasi mara saba. BWANA akamtia Kaini alama, mtu amwonaye asije akampiga.
ISAYA:19:20
20 Itakuwa alama na ushahidi kwa ajili ya Bwana Mwenye Nguvu Zote katika nchi ya Misri. Watakapomlilia Bwana kwa sababu ya watesi wao, Mungu atawapelekea mwokozi na mtetezi, naye atawaokoa.
YOHANA:20:25
25 Hivyo wale wanafunzi wengine wakamwambia, “Tumemwona Bwana.”
Lakini yeye akawaambia, “Nisipoona zile alama za misumari mikononi mwake, na kuweka kidole changu kwenye hizo alama za misumari na mkono wangu ubavuni mwake, sitaamini.”
MAMBO YA MSINGI KATIKA MAOMBI HAYA;
==================================
1:Kuwa na Levo Kubwa Ya Ufahamu wa Kumjua Mungu uliyenaye.
2:Jua Kitu Unachotakiwa Uwekewe Alama au Ufanyiwe na Mungu.
3: Uwe na Kitu Ambacho Kimeshindikana kwa Akili zako na Kimekusumbua.
4: Uwe na Imani Na Kiwango kikubwa kwa Mungu unayemweleza Aweke Alama yaani afanye kitu ambacho kitaacha Alama kuwa Mungu alifanya hili.
MAADALIZI YA ANAYEOMBA MAOMBI HAYA
====================================
1:Uwe na Uwezo wa Kuweka Alama Kanisani au madhabahuni kwa kutoa vitu vifatavyo.
KATIKA MADHABAHU HII.
a)Kununua Vyombo vya Sifa.
Kama vile: Sipika,Mic,magita,drums. nk
Bei ya vyombo
Kinanda sh.800000✅
Spika 1: =sh.1000000 mick 🎤 =Sh.250000 magita;=Sh.250000 Drums:2000000
Jenereta =Sh.800000 nakuendelea
#Simu ya Tachi;
Unaweza Kununua Simu kwa Ajili ifanye kazi ya kuhubiri injili mtandaoni Au ukajitoa simu yako ukaweka Alama itumike kwa Bwana.
Sumu Yenye Uwezo mkubwa.
700000/=
Simu itahubiri injili
b)Kununua Kiwanja Kwa Ajili ya kanisa. Au Unaweza Kujitoa Kiwaja kwa ajili ya kanisa.
Ukaandikisha Holy Spirit church Tanzania Tutafika nakuweka kanisa Na Utatukabidhi Eneo hii ni Alama kubwa.
Kiwanja kuanzia Sh.3000000/=
Au Kutoa Kiwanja Kwa Ajili Tujenge Kanisa hii huwa ndiyo Alama Yenye nguvu kubwa
c)Kujenga Kanisa Nzima peke yako
Kulipendezesha Kanisa au kuinua jengo la kanisa
d)Kununua Viti 10 nakuendelea
Viti vya kukalia nunua meza, makabati
#kiti 1: sh.23000 mpaka 25000 hivi vya plastic unaweza nunua vya maofisin pia bei zenyewe tofauti
Au Unaweza kutoa Meza au kabati 1: Sh.300000 Kwa Kununua
e)Kupendezesha Kanisa .
Kama vile kuweka madirisha, kupaka rangi nk
f)Kuipendezesha Madhabahu
Kama vile kuweka Tairis,Kununua Vitambaa,
Tairis gharama sh.6000000 Nakuendelea
TOA KIWANJA KWA AJILI YA KANISA NI ALAMA ITAKAYOKUFANYA HATA UKIFA INABAKI ALAMA KWA UZAO WAKO
g)Kujenga madarasa ya kujifunzia Sunday school na watoto. Kuinua majengo ya biashara kuliletea uchumi.
Unaweza Kununua huko ukasafirisha au kutuma hela yako Ni Sawa
2;Ukiwa na Uwezo Wa Hivi Kununua na Kutoa kwa Bwana Hakikisha Madhabahu yako Kwa Baba Yako Wa Kiroho Pastor Richard
Hakikisha Unanipigia Kabla hujanunua au kutuma hiyo hela ya kuweka Alama Nieleze ili nikushauri na kama ulishaweka nadhiri hujatengua nadhiri basi Usitoe mpaka utengue nadhiri kwanza au uifute.
MAOMBI YA KUOMBA KUWEKA MAKUBALIANO NA MUNGU MWENYEWE MHUSIKA;
============================
Yaani ipo nguvu Isiyo ya Kawaida Unapofanya maamuzi haya uwe na utayari moyoni mwako Mwenyewe Maana Ukiweka makubaliano na Mungu Amini Atajibu kama huna imani Usiweke makubaliano naye.
Warumi;10:17
.UTAOMBA HIVI:
Unaingia ndani kwako na hiyo hela ya kununulia vitu hivyo kama ipo kwa simu utaiacha kama kitu kipo Siyo cha kubembwa ukiache.
UTAMWAMBIA MUNGU HIVI;
Baba Ninaomba Tukubaliane Leo Mimi mwanao Richard na Wewe Ninatoa Kiwanja changu kwa Ajili ya Kanisa la Holy Spirit church (Utataja Kanisa) Kanisa lako Lijengwe namimi nataka utoe muda wako uweke Alama ya Watoto kwenye Tumbo langu Naomba Makubaliano Haya Uyadhibitishe Wewe Mimi ninaanza Kufanya Kwa Uaminifu mkubwa Kwako Naomba Nawewe Ufanye nataka niwe nakitu cha kujivunia mwaka huu umeniwekea Alama Ambayo Haitafutika kwenye moyo wangu katika Jina la Yesu.Amen
Hakikisha Kwenye kitu unachotoa viwe katika vitu nilivyovioredhesha na usifanye ukiwa huna Imani na Mungu wako.
Hakikisha ni Alama itakayoonekana kwa macho.
Ukimaliza Kuomba Hayo Maombi unipingie Simu yangu Pastor Richard.
Maombi Haya Yanalenga Watu Wanaotamani Kuweka Alama Kwa Mungu na Mungu naye Aweke Alama
Kama Hujayaelewa Maombi Haya Nifate inbox
Au
Simu Za Kupiga +255759861768
Tafadhali usifanye makosa kwenye makubaliano yako na Mungu kile utakachokubaliana kitoe hicho Na Usifanye maamuzi ya haraka Tulia uwe na Amani moyoni. Ukiona unaamani fanya jambo hilo ili uione nguvu ya maombi haya Usifanye kwa kulazimishwa.
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
USHAHIDI WA KIBIBLIA WALIOWEKA ALAMA KWA MUNGU
1. Ibrahimu: Alama ya Utayari wa Kutoa Kilicho Bora
Ibrahimu aliweka alama ya juu zaidi ya utii kwa kukubali kumtoa mwanawe wa pekee, Isaka.
- Alama:✍🏾 Kujenga madhabahu na kumfunga Isaka ili amtoe dhabihu (
- "Sasa najua ya kuwa unamcha Mungu, kwa kuwa hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee." (Mwanzo 22:12)
- Matokeo:✍🏾 Mungu alizuia kisu, akatoa kondoo mbadala, na akapaaza agano la baraka kwa uzao wake kuwa kama nyota za mbinguni.
2. Hana: Alama ya Nadhiri ya Sakramenti
Hana alikuwa tasa na alidhulumiwa na mke mwenza, lakini aliweka alama ya nadhiri mbele za Mungu.
- ➖Alama: ✍🏾Aliweka nadhiri kuwa akipata mtoto wa kiume, atamrudisha kwa Bwana awe mtumishi maisha yake yote
- (1 Samweli 1:11).✍🏾
- : "Ee BWANA wa majeshi... ukinipa mimi mjakazi wako mtoto mume, ndipo mimi nitakapomtoa kwa BWANA siku zote za maisha yake..."
- Matokeo: ✍🏾Mungu alimkumbuka; akamzaa Samweli (nabii mkuu), na baadaye Mungu alimpa watoto wengine watano zaidi.
3. Sulemani: Alama ya Dhabihu Isiyo na Kifani
Sulemani hakutoa dhabihu ya kawaida; aliamua kuweka alama kwa idadi kubwa ya wanyama.
- ➖Alama: ✍🏾Alitoa dhabihu ya ng'ombe elfu moja
- (1 Wafalme 3:4).✍🏾"Na huko Gibeoni BWANA akamtokea Sulemani katika ndoto ya usiku... Mungu akamwambia, Omba utakalo nikupe." (1 Wafalme 3:5)
- Matokeo: ✍🏾Mungu alimpa hekima kuliko mtu yeyote duniani, utajiri, na heshima ambayo hakuomba.
4. Gidioni: Alama ya Sadaka ya Unyenyekevu
Gidioni alikuwa anajiona kuwa mdogo kuliko wote, lakini alitaka ishara kwa kuweka dhabihu kwenye jiwe.
- ➖Alama:✍🏾 Aliandaa nyama ya mwana-mbuzi na mikate isiyotiwa chachu, akaiweka juu ya mwamba mbele ya Malaika wa Bwana
- (Waamuzi 6:18-21).
- : "Malaika wa BWANA akanyosha ncha ya fimbo... moto ukatoka katika ule mwamba, ukaiteketeza ile nyama na ile mikate..."
- ➖Matokeo: ✍🏾Gidioni alipata ujasiri wa kiungu na akafanikiwa kuwashinda Wamidiani 135,000 kwa watu 300 tu.
5. Hezekia: Alama ya Machozi na Unyenyekevu
Mfalme Hezekia aliambiwa na Nabii Isaya kuwa atakufa, lakini akaiweka "alama" ya kumbukumbu ya utumishi wake mbele za Mungu.
- ➖Alama: ✍🏾Aligeuza uso wake ukutani, akalia sana, na kumkumbusha Mungu jinsi alivyotembea kwa uaminifu
- (2 Wafalme 20:2-3).
- ✍🏾 "Nimeyasikia maombi yako, nimeyaona machozi yako; tazama, nitakuponya." (2 Wafalme 20:5)
- ➖Matokeo: ✍🏾Mungu alimwongezea miaka 15 ya kuishi na kuuokoa mji wa Yerusalemu kutoka kwa Waashuru.
6. Mjane wa Sarepta: Alama ya Imani Katika Uhitaji
Wakati wa njaa kali, mjane huyu aliweka alama kwa kumpa nabii chakula chake cha mwisho.
- ➖Alama: ✍🏾Alitengeneza mkate mdogo kwa ajili ya Eliya kwanza, kabla ya yeye na mwanawe
- (1 Wafalme 17:13-15).
- ✍🏾"Lile pipa la unga halitapunguka, wala lile kopo la mafuta halitapungua..."
- ➖Matokeo: ✍🏾Unga na mafuta yake havikuisha hadi mvua iliponyesha nchini, na mwanawe alipokufa, Eliya alimfufua.
Maoni
Chapisha Maoni