SOMO:ISHARA ZA PAKA KIROHO ZILIZOHATARI

SOMO: ISHARA ZA KIROHO ZA PAKA NA USHINDI DHIDI YA MAAGANO YA GIZA


Mwalimu: Pastor Richard (Morogoro)



​UTANGULIZI


​Ulimwengu wa roho hauna midomo ya nyama, hivyo hutumia ishara na viumbe hai kufikisha ujumbe au mashambulizi. Paka amekuwa akitumiwa kwa karne nyingi kama chombo cha upelelezi na madhabahu za kichawi. Muumini anapaswa kuwa na macho ya rohoni ili kutofautisha kati ya paka wa kimaumbile na paka aliyetumwa kama wakala wa giza.

 Ninaitwa Pastor Richard Wa Morogoro Veta Dakawa WhatsApp+255710889892

Hurusiwi kufuta au kuongeza hili ni somo la Kiroho soma mwisho naelekeza namn


Mstari wa Msingi Tunaosimamia


"Mwe na kiasi, kesheni; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ameze." (1 Petro 5:8)


​SEHEMU YA KWANZA: ✍🏾ISHARA 7 ZA KIROHO ZA PAKA

Hizi ni Ishara Usipuuze Unapoziona Kiroho Zinakuwa Zina Maana Kubwa PAKA unapomuona Atoa Ishara hizi Paka ni Madhabahu Ya Kichawi

​1. 1⃣➖PAKA KULIA SAUTI KAMA MTOTO NJE YA NYUMBA YAKO


​Paka wanapogombana wakilia kama watoto wachanga, ni ishara ya vita dhidi ya Hatima (Destiny). Wanapigania nyota yako au ya watoto wako ili kuizima kabla ya wakati au kuharibu kabisa maisha Yako  Jitaidi kemea Hiyo Ishara SEMA Mipango Yenu Imeshindwa Kwa Jina la Yesu. 

Mstari Wa Kusoma ni huu;-

  • : Mathayo 2:16 (Mashambulizi dhidi ya watoto/maono mapya).

​2. PAKA KUPIGANA KWENYE MLANGO AU UKUTA WA NYUMBA UNAPOISHI. 


​Huu ni uvamizi wa malango ya nyumba yako. Wanajaribu kujenga madhabahu ya kuzuia baraka zisiingie na kuruhusu mikosi na balaa kupenya ndani. Utaanza kuona mikosi na kugombana ndani Ya nyumba au familia Yako. Kemea hii Hali Useme Ninakata  na kuribu Madhabahu zenu Katika Jina la Yesu. Ameen


Mstari Wa Kusimamia 

  • ​ Zaburi 24:7 (Vita vya malango)


  • .

​3. PAKA KUPIGANA JUU YA PAA


​Paa inawakilisha ulinzi (Covering). 

Paka wanapopigana juu ya paa, wanaachilia roho ya mafarakano, kelele, na kutokuelewana kati ya mume, mke, na watoto Ukiona Ishara hii kemea


Mstari Wa Kusimamia

  • ​ Mathayo 12:25 (Nyumba iliyofitinika).

​4. PAKA KUPITA KATIKATI MLIPOKAA AU KUSIMAMA


​Paka anapopita kwa kusisitiza katikati ya watu wawili wanapoongea jambo la heri, ni ishara ya roho ya fitina na utengano wa kimaagano. Omba kukemea Hapatakuwa na roho ya mafarakano na kemea Katika Jina la Yesu. 


MSTARI WA KUSIMAMIA:

  • Mithali 6:19 (Wapandao mbegu za fitina).


​5. PAKA KUPANDA KITANDANI ANALALA NA WEWE AU ANAKAA KWENYE KITI ULIPOKAA 


​Paka wa ajabu kuingia ndani na kulala sehemu yako ya mapumziko ni ishara ya upelelezi wa kiroho na kupanda mbegu za uchovu au magonjwa ukiwa umelala. OMBA Kukemea Hiyo Hali na mfukuze atoke


Mstari Wa Kusimamia;-

  • ​ Mathayo 13:25 (Adui kupanda magugu usiku).


​6. PAKA KUKUTAZAMA MACHO BILA WOGA. 



​Paka kukutazama machoni bila kupepesa kwa muda mrefu ni jaribio la adui kupandikiza roho ya hofu na kuiba ujasiri wako wa kiroho. Omba Kila ujasiri na Imani Yangu Haitaibiwa Kwa Jina La Yesu. Amen


Mstari Wa Kusimamia:-

  • : 2 Timotheo 1:7 (Mungu hakutupa roho ya uoga).

​7. PAKA KULETA PANYA AU CHOCHOTE ALICHOKIUA MLANGONI PAKO



​Paka kuleta panya au ndege mfu na kumuacha mlangoni pako ni( "Sadaka ya madhabahu") inayolenga kunasa hatima yako unapovuka au kuigusa.hii huwa unapogusa chochote kilichokufa mlagoni bila Kukemea unajiugamanisha Katika mateso


Mstari Wa Kusimamia:-

  • : Isaya 54:17 (Silaha zinazofanywa juu yako).

​SEHEMU YA PILI: NINI CHA KUFANYA  (MWONGOZO WA USHINDI)


1:Andaa Sadaka Yako Yoyote nzuri utakayoguswa kuabatanisha na Maombi Haya

2:Tumia Amri na Toa Maneno kwa Ukakamavu
.
3:Tembea Tembea Unapoomba Usikae Huku mikono inafanya Ishara ya kuvunja

4:Omba Siku 2 Ukiombea MUDA utakaojiwekea. 

USIOMBE HAYA MAOMBI BILA SADAKA NA USICHUKULIE JUU JUu 


  1. ➖1⃣:​Kutumia Mamlaka ya Sauti:✍🏾.
  2. Usikae kimya. Kemea kwa sauti kwa jina la Yesu. Amuru kila wakala wa giza aondoke katika mazingira yako.

OMBA HIVI 

Kila Sauti Kila mawakala Kila Giza Au Madhabahu Wanazozijenga Kupitia PAKA Wao ninazivunja Katika Jina la Yesu..... Endelea KUOMBA mpaka Maneno yakate.
    • Mamlaka: Luka 10:19 – "Nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge... wala hakuna kitu kitakachowadhuru."

  1. ➖2⃣:Kuvunja Maagano na Alama: ✍🏾Ikiwa kuna kitu kimeachwa mlangoni (mzoga), usikishike kwa mikono mitupu. 

                  OMBA HIVI;-
Ninavunja Kila Agano na mtengo Kupitia Kitu hiki kilichowekwa MLAGONI Katika Jina La Yesu;Ameen
Kishike Sasa ukatupe 

  1. ➖3⃣:​Kutakasa Mazingira:
  1. ✍🏾Chukua maji na mafuta yaombee Hivi;

  2.  Haya mafuta nayabariki Yawe nguzo ya Moto nguzo ya Nuru Nguzo ya Ulizi Kuta za nyumba Yangu Nazimiliki Katika Jina Yesu. ameen 
Kisha chukua PAKA Mafuta mlagoni Pembeni Na Mlagoni Mwanga maji na kwenye Kuta uliyoyaombea Mwenyewe. 

  1. ​➖4⃣:MAOMBI Ya USIKU WA MANANE
Anzisha ratiba ya kuomba Usiku Wa Manane
Weka ratiba iwe endelevu


  1. ➖5:​Kuimarisha Ulinzi wa Ndani:
  2. ✍🏾 Hakikisha maisha yako ni masafi mbele za Mungu. Adui hapati nafasi mahali ambapo nuru ya Kristo inatawala.

  3. Hakikisha Unasimama Imara na Mungu
     
    • ​ Yohana 14:30 – "...maana yuaja mkuu wa ulimwengu huu, wala hana kitu kwangu."


BAADA YA KUMALIZA OMBEA SADAKA YAKO ILIKUKAMILISHA MAOMBI YAKO NA UKITUMA UNANIPINGIA


Baba hii Sadaka ikaongeee kwa habari Ya Ukombozi Wa Nyumba Yangu unitenge na Paka Wa Ajabu Ajabu Naileta Mbele ya KITI Chako ipokee Kupitia Madhabahu hii Ya Moto Wa Yesu. Ameen×4
Ukituma tu MUDA huo huo unipigie Simu

TUMA KWA . 

M-PESA+255759861768

Mix by Yas +255710889892

Halo Pesa +255628355985

Airtel Money+255780508066

JINA: RICHARD JULIUS KUSHOKA


​HITIMISHO:


​Muumini aliyeokoka ana nguvu zaidi ya kiumbe chochote kilichotumwa na kuzimu. Ishara hizi zisiwe sababu ya hofu, bali ziwe kichocheo cha kuongeza umakini katika maombi na ulinzi wa mazingira yako

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

MAOMBI YA USIKU WA MANANE 2025

KITABU IJUE NDOTO YAKO